Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinenuka..Audio: Shilole na Nuhu Mziwanda wameongea haya juu ya kuachana kwao walipo hojiwa


Ugomvi baina ya wapenzi waliodumu kwa takribani miaka miwili namzungumzia Shilole na Nuhu Mziwanda umeonekana kuthibitishwa kuwa sio kutafuta Kick kama ilivyo dhaniwa bali niukweli wamemwagana kama wenyewe walivyo thibitisha kwaGossip Cop wa XXL ya Clouds FM.
Shilole ameweka wazi kuwa Nuhu kwake sio mpenzi tena na ikibidi kutafuta mwingine atakaye weza kumfaa na kukaa naye maisha yakaendelea, Akimainisha kuwa walishafanya ngoma ya pamoja lakini hawezi kuitoa kwa sasa kutokana na kuachana...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Nuhu Mziwanda: Sipo na Shilole Hivi Sasa

Msaniii Nuhu Mziwanda ambaye kwa sasa anafanya poa na wimbo wake mpya 'Bilima' amefunguka na kusema kuwa kwa sasa hayupo na Shilole, Nuhu amesema hayo jana alipokuwa Kikaangoni akichat na mashabiki kupitia ukurasa wa facebook wa EATV.


Toka ulipoaanza mwezi wa ramadhan kulikuwa na tetesi kuwa msanii Nuhu amehama kutoka kwa Shilole na sasa anaishi kwake mwenywe hilo limethibitishwa Nuhu alipokuwa akijibu swali la kwanini mpaka sasa anaendelea kuishi na Shilole kwenye nyumba ambayo Shilole...

 

10 years ago

Bongo Movies

Nuhu Mziwanda afunguka tuhuma za kupewa kichapo kizito na Shilole

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda amefunguka kuwa  watu wanaomsema vibaya kuhusu yeye kupewa kichapo na mpenzi wake, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ wanakosea kwani anaamini kufanywa hivyo ni mahaba.

Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Mziwanda alisema kuna taarifa zimeenea kuwa huwa anapigwa na Shilole pindi anapokosea lakini ukweli si kupigwa ‘live’ bali ni kupigwa kimahaba.

‘Shilole’ akiwa na mpenzi wake 'Nuh Mziwanda'.

‘Shilole’ akiwa na mpenzi wake ‘Nuh Mziwanda’.

“Jamani kupigwa wanakozungumzia watu sielewi...

 

11 years ago

CloudsFM

NUHU MZIWANDA APONDWA MTANDAONI BAADA YA KUJICHORA TATOO YENYE JINA LA SHILOLE

STAA wa Bongo Fleva,Nuhu Mzuwanda amepondwa na mashabiki wake mtandaoni baada ya kujichora tattoo yenye jina la mpenzi wake ambaye pia ni msanii mwenziye Zuwena Mohamed’Shilole’ambapo wamemuhoji kama wakiachana atachoma tattoo hiyo kwa pasi?Msanii amepost picha hiyo ya tattoo kwenye mtandao wa Instagram na kuandika…Coz nampenda mke wangu nimeamua kuchora jina lake! Ila imeuma kuliko tattoo iliyopita! Siju kwa nn??...Baadhi ya mashabiki walisema kuwa…. Duuh namuonea huruma sana huyu...

 

10 years ago

Bongo Movies

Shilole Atoboa Sababu ya Kuachana na Nuh Mziwanda

Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amedai kuwa wivu ndiyo uliosababisha yeye na mchumba wake Nuh Mziwanda kuachana.

“Nuh haniamini kabisa na ana wivu kupitiliza ndo chanzo cha kuachana”  Shilole  amenukuliwa na Eatv.tv akieleza.

Wawili hao wamekuwa wakijibizana kwa maneno ya shombo kwenye midandao ya kijamii mara baada ya kuachana.

 

 

10 years ago

Bongo Movies

"Hata iweje siwezi kuachana na Nuh Mziwanda" - Shilole huyo

Baada ya varangati lililotokea Tabora katika Tamasha la Serengeti Fiesta 2014,  baada mpenzi wa mwanamuziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’,  Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ kukataliwa na mashabiki, Shilole ameamua kufunguka kuwa Nuh atabaki kuwa mpenzi wake katika hali yoyote.

Akizungumza na paparazi wa kampuni ya GPL, Shilole alisema lengo lake lilikuwa ni kumtambulisha mpenzi wake kwa mashabiki wake japo walimkataa kuwa shemeji yao.

“Wakati namtambulisha Nuh kwa wakazi wa Tabora kuwa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Baada Sauti ya Mziwanda Akimtongoza Wema Sepetu Kuvuja, Shilole Kayaandika Haya mtandaoni

Nakukutanisha na msanii wa bongofleva Shilole ambaye aliingia kwenye headlines baada ya boyfriend wake msanii Nuh Mziwanda kunaswa kwa sauti akimtongoza mwigizaji Wema Sepetu.

 

Ilionekana kama baada ya kusambaa hadharani kwa sauti hiyo kungefanya mapenzi yao yayumbe au waachane lakini imekua tofauti na matarajio kwani Shilole alithibitisha kuendelea kwao pamoja kwa kupost hiyo picha hapo juu na kuandika ‘Mi siachani nawe na ntakupenda zaidi’

MillardAyo.com

 

10 years ago

Bongo Movies

Una nini cha kusema kuhusu kauli hii ya Sintah juu ya Shilole na Nuh Mziwanda?

“Jamani jamani mnaosema ooh umasikini mmbaya kwanini Shilole anamdhalilisha bwana yake, jamani kwani huyo ‘so calle’ Nuh or ‘whatever’ his name is kalazimishwa?? unajua siku hizi mapenzi yamemekuwa ‘free’ sana yaani ukiona mtu anakupa vitasa mara humuelewi yanini kun'ga'gania ‘as if’ umezaliwa naye, mtu uliyemjua ukubwani nae akupe shida ‘BIG NO i would rather stay single for the rest of my life’, kwanza sio adhabu kuwa ‘single’ kuliko kuwa katika ‘unhealthy relationship’ ...

 

 Mnaomuonea...

 

9 years ago

Bongo5

Nuhu Mziwanda ni limbukeni — BASATA

Baada ya Nuh Mziwanda kulitaka Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) kwendana na wakati kuhusiana na jinsi inavyokwenda, baraza hilo limemjibu kwa kumuita limbukeni. Akizungumza na na Planet Bongo ya EA Radio, Mkuu wa matukio wa baraza hilo, Maregesi alisema Nuh asidhani kufanya muziki wa nje ndio kuwa na soko. “Huyo anayesema kitu kama hicho ana […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani