Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sensa ya watu wenye uwezo wa kufanya kazi yaja

WANANCHi wa Mkoa wa Kusini Pemba wametakiwa kujitokeza kwa wingi kushiriki katika sensa ya kujua idadi ya watu wenye uwezo wa kufanya kazi nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KAMISHNA WA SENSA ATOA SOMO KWA WADADISI NA WAHARIRI WA MADODOSO YA UTAFITI WA WATU WENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI 2014 KUZINGATIA MAADILI NA WELEDI

Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi Bi. Hajjat Amina Mrisho Said akizungumza na Wadadisi na Wahariri wa madodoso ya Utafiti wa watu wenye Uwezo wa Kufanya Kazi kutoka mikoa ya Dar es salaam, Pwani, Morogoro, Lindi na Mtwara walio katika mafunzo ya siku 16 leo mjini Morogoro. Kulia Bw. Mhidini Mtindo, Mtakwimu Mkuu Ofisi ya Taifa ya Takwimu. Wadadisi na Wahariri wa madodoso ya watu wenye uwezo wa kufanya Kazi kutoka mikoa ya Dar es salaam, Pwani, Morogoro, Lindi na Mtwara wakiwa kwenye...

 

11 years ago

Michuzi

HAFLA YA KUFUNGA MAFUNZO YA WADADISI NA WAHARIRI WA MADODOSO YA UTAFITI WA WATU WENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI WA MWAKA 2014

 Baadhi ya Wadadisi na Wahariri wa Madodoso ya Utafiti wa watu wenye uwezo wa kufanya kazi wa mwaka 2014 , katika ngazi ya Kanda ya Pwani na Kusini yenye Mikoa ya Mtwara , Lindi, Dar es Salaam , Pwani na Morogoro ambao walishiriki mafunzo ya wiki  tatu, mjini hapa , wakimsikiliza mgeni rasmi ( hayupo pichani) wakati wa kufunga mafunzo hayo  Baadhi ya Wadadisi na Wahariri wa Madodoso ya Utafiti wa watu wenye uwezo wa kufanya kazi wa mwaka 2014 , katika ngazi ya Kanda ya Pwani na Kusini...

 

10 years ago

Michuzi

BODI YA BARABARA MKOA WA DODOMA YAZITAKA HALMASHAURI ZA WILAYA DODOMA KUCHAGUA WAKANDARASI WENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI WANAPOTOA KANDARASI

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa Bodi ya Barabara ya Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akifugua Mkutano wa bodi hiyo Feb. 17,2015 Mjini Dodoma.Wajumbe wa Bodi ya barabara ya Mkoa wa Dodoma wakimsikiliza mwenyekiti wa Bodi Mhe. Chiku Gallawa wakati akifungua Mkutano wa kwanza wa Bodi hiyo kwa mwaka 2015 mjini Dodoma Feb. 17.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

9 years ago

StarTV

Watu wenye uwezo watakiwa kuisaidia Serikali Kupambana Na Umasikini

Watu wenye uwezo wa kifedha wameaswa kujitoa kuisaidia serikali katika kupambana na janga la umasikini nchini ikiwa pamoja na kuwainua kiuchumi baadhi ya wananchi wasiojiweza kimaisha.

Rai hiyo imetolewa katika hafla ya kuwatunuku shahada ya uzamivu baadhi ya watendaji wa serikali pamoja na Baadhi ya watu wanaofanya kazi kiroho iliyofanyika Jijini Mwanza.

Chuo cha Africa Graduate University, makao makuu yake  nchini Sierra Leone limejikita mkoani Mwanza Kutunuku vyeti Vya heshima shahada ya...

 

10 years ago

Michuzi

MBEYA CITY COUNCIL F.C INAKARIBISHA KAMPUNI ZENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI NA CLUB YETU.

Kazi zinazotangazwa ni kama ifutazo:
I.    Kuwa mwagizaji wa vifaa mbalimbali vya club
II.    Kuuza vifaa mbalimbali vya club
Zabuni hii inafuati utekelezaji wa club kutaka kukuza mapato yake ili
iweze kujijenga msingi imala ya mapato na hivyo kuiwezesha kuendesha
shughuli zake mbalimbali.

Mwombaji anatakiwa atimize masharti yafuatayo.
1. Awe na Leseni hai ya biashara husika
2. Awe amesajiliwa kama mlipa kodi
3. Maelezo ya kampuni yaani Company profile ikieleza aina ya kampuni au
biashara unayoifanya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani