Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa: Nina ari, shauku na uwezo wa kuongoza Tanzania

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Ngoyai Lowassa amesema ana ari, shauku na uwezo wa kuongoza Taifa wakati alipotangaza nia yake ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na maelfu ya watu kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Sitta: Nina sifa zote kuongoza Bunge lijalo

Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Samuel Sitta amesema kutokana na hali ya joto la kisiasa ilivyo,  ambayo ilidhihirika zaidi wakati wa uchaguzi, wabunge walioshinda wengi ni vijana na ni wazi spika anayehitajika ni mwenye uzoefu.

 

10 years ago

CloudsFM

Diamond: Nina uwezo wa kufanya muziki wowote

Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platinumz amefunguka kuwa ana uwezo wa kufanya muziki wa aina yoyote kipaji ambacho amejaaliwa na Mwenyezi Mungu.

Hivi karibuni Diamond aliwashangaza mashabiki wake baada ya kuachia wimbo wake mpya kwenye mtandao wa You Tube wenye asili ya mduara uutwao ‘’Nasema Nawe’’ambao amemshirikisha Malkia wa Mipasho,Khadija Kopa. ‘’Namshukuru Mungu amenijalia kipaji kwani nina uwezo wa kufanya muziki wa aina yoyote ule na pia kupitia Video ya wimbo huu nitakuwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Tulia Ackson: Sikubebwa bali nina uwezo na uzoefu wa kutosha

Kwa zaidi ya wiki sasa jina la Dk Tulia Akson si geni masikioni mwa Watanzania kutokana na kutawala katika vyombo vya habari, Bungeni, mitandao ya kijamii na  hata katika vijiwe mbalimbali nchini.

 

10 years ago

Vijimambo

ABDULMAN OMAR DENDEGO NG'ARI NG'ARI NA MAMA MWENYE NYUMBA WAKE

 Abdulman Omar na mama mwenye nyumba wake wameremeta kiroho safi siku ya harusi yaho Bwana harusi akiachia tabasamu kiroho safi pembeni ya mama mwenye nyumba wake.
 Bwana harusi na bibi harusi katikati wakiwa na wapambe wao wakisoma dua

 

10 years ago

Vijimambo

NG'ARI NG'ARI YA OSWALD NA SUSAN BURMINGHAM, ALABAMA LEO JUMAMOSI



Oswald na Susan wakivalisha pete ya ndoa mbele ya mchungaji wa kanisa la St Peter's Catholic Birmingham. AL na baada ya hapo  kulifuatiwa na sherehe ndani ya St Peter's Reception Hall, Oswald na Susan walijumuhika  na ndugu pamoja  marafiki kusheherekea siku hii muhimu katika maisha yao.

Hapa ni mzazi wa Bibi harusi wakiingia kanisani 
Watoto wakiwa kwenye sale maalum wakiingia kanisani hapo
Hawa watoto nao walikuwa kivutio kanisani hapo jinsi walivyokuwa wamependeza, kwa picha zaidi za...

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA NG'ARI NG'ARI TAIFA SASA KWENDA ZIMBABWE WAKIWA NA MZUKA ZAIDI

Amisi na Msavu waing'arisha Yanga taifa kiroho safi warudi kileleni baada ya kuilaza Kagera 2-1 sasa kwenda Zimbabwe wakiwa full mziki kiroho safi.

Simba huko Tanga wakalia kigoda na kuogeshwa mara 2 bila majibu na maafande wa mgambo JKT licha ya majigambo mengi baada ya kuilaza Yanga na Mtibwa, wagoma kuingia vyumba vya kubadirishia nguo na kwenda kubadirishia kwenye basi lao

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani