P-SQUARE WAKUBALI UWEZO WA DIAMOND
![](http://api.ning.com:80/files/BKB8rO763wFzQ0ooUPLSmr5RzpKY8KeFygmqSNW2R1vObjqIoR9hgySe9SIsEIYk5Uz7BwzJCGTwmnbht5mndj5b6pnFelmb/psquare.jpg)
Stori: Musa Mateja MWACHENI Diamond aitwe Diamond! Hiyo kauli pekee unayoweza kuisema kufuatia wakali wa muziki wa R&B kutoka Nigeria, Peter na Paul Okoye ‘P-Square’ kuukubali uwezo wa kimuziki wa bwa’mdogo kutoka Tandale, Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Ijuma Wikienda linakupa mchapo hatua kwa hatua. Bwa’mdogo kutoka Tandale, Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima24 Feb
Diamond, P Square, Fally Ipupa pamoja
BAADA ya kutamba vilivyo na ngoma yake ya “My Number One Remex’ aliyoimba na msanii kutoka Nigeria, Davido, msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’ anatarajia kupanda...
10 years ago
Bongo516 Feb
Not So Fast: Collabo ya Diamond na P-Square bado haijatoka
10 years ago
Bongo524 Nov
Diamond awapoteza P-Square, Waje ammwagia sifa kibao!
9 years ago
Bongo516 Oct
P-Square na Fally Ipupa walitamani kuwachukua dancers wa Diamond
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-FJrHpwxo8Go/VOGKegEHtnI/AAAAAAAAGd4/s0mF1JeQ_hU/s72-c/IMG20150109WA0012.jpg)
Collabo ya Diamond na P-Square bado haijatoka, Iliyo sikika na kudownloadiwa sio yenyewe
![](http://4.bp.blogspot.com/-FJrHpwxo8Go/VOGKegEHtnI/AAAAAAAAGd4/s0mF1JeQ_hU/s640/IMG20150109WA0012.jpg)
10 years ago
CloudsFM01 Apr
Diamond: Nina uwezo wa kufanya muziki wowote
Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platinumz amefunguka kuwa ana uwezo wa kufanya muziki wa aina yoyote kipaji ambacho amejaaliwa na Mwenyezi Mungu.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/k3CULkKWsLb6C7SPSWHPZm87uS8HBPitVHZMpfqvaJ17tujMkxiTIbNw6uI8T7h3tB9Tl2Dc0hkk8ETZYnfp8uHm1YODEGe6/FRONTJUMAMOSI.jpg)
DIAMOND HANA UWEZO WA KUMPA MWANAMKE UJAUZOTO!
5 years ago
Africanjam.ComNEW VIDEO: DIAMOND PLATNUMZ ft. P-SQUARE - KIDOGO | Official Music Video |
Africanjam is website that was launched in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into service. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening...
10 years ago
Bongo508 Jan
P-Square ni mashabiki wa ‘Nitampata Wapi’ na Mdogo Mdogo za Diamond