Collabo ya Diamond na P-Square bado haijatoka, Iliyo sikika na kudownloadiwa sio yenyewe
![](http://4.bp.blogspot.com/-FJrHpwxo8Go/VOGKegEHtnI/AAAAAAAAGd4/s0mF1JeQ_hU/s72-c/IMG20150109WA0012.jpg)
Kama umedownload au kutumiwa wimbo unaosemekana kuwa ni wa Diamond featuring P-Square na pamoja na kuusikiliza kwa mara kibao ukashindwa kusikia sauti ya Paul au Peter Okoye, basi sikio lako halikudanganyi – hakuna collabo hiyo.Wimbo huo unaitwa ‘Marry Me’ ni wa Iyanya ambao kipindi muimbaji huyo wa Nigeria amekuja kwenye Fiesta mwaka juzi, alimpa nafasi Diamond kuingiza kitu kwakuwa alisafiri na producer wake, Tekno aliyetembea na vifaa vya muhimu vya studio. Kwenye wimbo huo Diamond...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo516 Feb
Not So Fast: Collabo ya Diamond na P-Square bado haijatoka
10 years ago
Bongo Movies09 Oct
Kajala yamkuta baada ya kuweka picha simu ambayo bado haijatoka sokoni akidai anayo
Kupitia mtandao maarufu wa picha wa kijamii, mwanadada Kajala amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuweka picha ya simu aina ya samsung galaxy note 4 kwenye account yake kuwa anamiliki simu hiyo ilihali simu yenyewe ikiwa bado hata haijaanzwa kuuzwa sehemu yoyote duniani. Kupitia picha hiyo kajala aliambulia maneno kadhaa ya kashfa toka kwa watu mbalimbali wengi wao wakimtaka aache maisha ya kuigiza.
Baadhi ya maoni hayo ni:-
"Hahahaha watu ndo wanatoa pre order october 16 ndo ina...
10 years ago
Bongo524 Feb
New Video: P-Square ft. Don Jazzy — Collabo
10 years ago
Bongo504 Sep
Picha: Ni collabo ama P-Square kumsainisha Awilo Longomba?
10 years ago
Dewji Blog12 Mar
Tahariri: Mimba ya Aunt Ezekiel bado bado sana, blogs zitafute ukweli kwanza na sio kukurupuka
Na Andrew Chale wa Mo dewji blog
Huenda nawe umezisikia taarifa zilizozagaa kwenye mitandao yaa kijaamii na kwingineko juu ya kuwa star mwenye mvuto wa asili anayetikisa Bongo kwa filamu mbalimbali, Msanii wa kike, Aunt Ezekiel ambaye kwa sasa ni mjamzito, amejifungua?.
Kwa taarifa za uhakika kutoka katikaa moja ya mtandao wa kijamii wa Global Publisher inayokubalika hapa nchini (http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/aunt-ezekiel-akanusha-taarifa-za-kujifungua-asema-video-ya) ...
9 years ago
Bongo521 Sep
Mashavu kwa Tiffah hayajaja yenyewe tu, ni ubunifu wangu — Diamond
9 years ago
Bongo511 Nov
Sio kwamba kila msanii wa nje tutampapatikia kufanya naye collabo — Joh Makini
![Johmakini.1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/09/Johmakini.1-300x194.jpg)
Ni karibia saa 24 toka mashabiki wa muziki wa Afrika waishuhudie kwa mara ya kwanza video ya wimbo mpya wa rapper wa Tanzania Joh Makini ‘Don’t Bother’ ambayo kamshirikisha rapper wa Afrika Kusini AKA iliyotambulishwa kwa mara ya kwanza na MTV Base Nov.10.
Ni wazi kuwa collabo hiyo itawasaidia Joh Makini na AKA kuongeza mashabiki wapya kutokana na kwamba wote ni wasanii wakubwa kwenye nchi zao na tayari wana fanbase kubwa, lakini Joh Makini pia ametoa maoni yake juu ya mitazamo ya watu...
9 years ago
Bongo502 Dec
Linah nimesha kamilisha Collabo za kimataifa mbili kubwa bado kuzitoa tu
![linah 2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/linah-2-300x194.jpg)
Msanii wa bongo fleva Linah Sanga a.k.a ndege Mnana ameweka wazi kwamba tayari ameshafanya kolabo mbili na wasanii wa kimataifa na amejipanga kuzitoa mwakani.
Linah akiongea na mtandao wa Saluti5 amesema kuwa, “Kabla sijafunga mwaka nilikuwa nataka kufanya kolabo kubwa za kimataifa na nashukuru tayari nimefanikiwa, ila siwezi kuweka wazi nimefanya na nani na nchi gani,” alisema Linah. kikubwa kwake ni kwamba ameshindwa kuziachia kwa sasa kutokana na muda uliobaki ila amedai mashabiki wake...