Linah nimesha kamilisha Collabo za kimataifa mbili kubwa bado kuzitoa tu
Msanii wa bongo fleva Linah Sanga a.k.a ndege Mnana ameweka wazi kwamba tayari ameshafanya kolabo mbili na wasanii wa kimataifa na amejipanga kuzitoa mwakani.
Linah akiongea na mtandao wa Saluti5 amesema kuwa, “Kabla sijafunga mwaka nilikuwa nataka kufanya kolabo kubwa za kimataifa na nashukuru tayari nimefanikiwa, ila siwezi kuweka wazi nimefanya na nani na nchi gani,” alisema Linah. kikubwa kwake ni kwamba ameshindwa kuziachia kwa sasa kutokana na muda uliobaki ila amedai mashabiki wake...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo527 Nov
Linah ana collabo mbili za kimataifa kibindoni
![12298833_944662165599178_1629279455_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12298833_944662165599178_1629279455_n-300x194.jpg)
Linah Sanga amesema tayari ameshafanya collabo mbili na wasanii wa kimataifa na amepanga kuzitoa mwakani.
Ameiambia Bongo5 kuwa kazi hizo zitatoka mwakani kutokana na muda uliobaki kila msanii kutaka kutoa wimbo.
“Kabla sijafunga mwaka nilikuwa nataka kufanya kolabo kubwa za kimataifa. Nashukuru tayari nimefanikiwa ila siwezi kuziweka wazi nimefanya na nani na nchi gani.
Lakini ni kubwa na nimeshindwa kuziachia kwa sasa kutokana na muda uliobaki. Ila mashabiki wangu sitawaacha hivyo hivyo,...
9 years ago
Bongo503 Dec
Msechu: Nina nyimbo 17 nilizorekodi kwa gharama kubwa lakini siwezi kuzitoa, ijue sababu
![Msechu](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Msechu-300x194.jpg)
Peter Msechu amekiri kuwa nyimbo zake za mwanzo hazikufanya vizuri kwasababu zilikuwa zikokiufundi sana, lakini ‘Nyota’ ndio ilikuja kumpa majibu kwamba mashabiki wa Tanzania wanataka nyimbo nyepesi zinazoweza kukaririka kirahisi.
Msechu ameyasema hayo alipozungumza na Planet Bongo ya East Africa Radio wiki hii.
“Kimuziki bado jamii yetu haijaelewa muziki wa professional…raia wa kibongo wanataka akiwa anapiga deki mmama akisikia chorus aimbe huku anapiga deki, lakini sio aanze kuhangaika...
10 years ago
Bongo521 Oct
D’Banj na Akon wafanya collabo mbili
10 years ago
Bongo Movies16 Jun
Linah Bado Ana Dukuduku na Wema
Siku chache baada kuenea kwa taarifa za kuporwa bwana na Wema Sepetu, staa wa Bongo Fleva Esterlinah Sanga ‘Linah’ amefunguka kuwa bado ana dukuduku kubwa moyoni ambalo anajipanga hivi karibuni kulianaika hadharani kwa njia ya tamko rasmi ambalo atalitoa kwa njia hiyo hiyo ya mtandao
Kwa mujibu wa linah ,amesema kuwa tamko hilokwa sehemu linahusiana na tuhuma za kulalamika kuibiwa bwana, kitu ambacho kinaendelea akiwa haoni sababu ya kuendelea kukaa kimya zaidi na kuumia roho.
Linah...
10 years ago
Bongo516 Feb
Not So Fast: Collabo ya Diamond na P-Square bado haijatoka
9 years ago
Mtanzania13 Nov
Ali Kiba: ‘collabo’ zitatuvusha kimataifa
NA MWANDISHI WETU
MWANAMUZIKI nguli wa miondoko ya Bongo Fleva, Ali Kiba, amesema moja ya mafanikio anayojivunia katika kazi ya muziki kwa mwaka huu ni ushiriki wake katika onyesho la Coke Studio msimu wa tatu.
Kiba, ambaye amefanya kolabo kwa kushirikiana na mwanamuziki wa kike anayetamba nchini Kenya, Victoria Kimani, alisema anajivunia kuwa miongoni mwa wanamuziki wanaoshiriki maonyesho hayo.
Alisema kuwa ushiriki wake huo umemwezesha kuongeza rekodi yake katika anga la kimataifa na...