Mashavu kwa Tiffah hayajaja yenyewe tu, ni ubunifu wangu — Diamond
Makampuni makubwa hayajatangaza kupitia picha za kwanza za Diamond Platnumz, Latiffah hivi hivi. Kwa mujibu wa staa huyo ni ubunifu wake na proposal nzuri ndizo zimeyavutia. Diamond ameiambia 255 ya XXL kupitia Clouds FM kuwa yeye binafsi amepigana kuangalia mwanae atapata vipi deals zitakazomwingizia pesa. “Wakati mwingine kama mzazi wasanii na celebrity lazima tuangalie tunajiongunisha […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/Beyonce-Jay-Z-Best-PDA-Moments-Pictures.jpg?width=650)
JAY-Z Vs DIAMOND, TIFFAH Vs BLUE IVY, WANAVYOFUNIKA KWA REKODI
Jay Z na Beyonce ...Wakiwa na mtoto wao Blue Ivy Diamond Platnumz na mpenzi wake Zarinah Hassan 'Zari the Boss Lady' wakiwa na mtoto wao, Latiffah Nasbul 'Tiffah'. Mastaa na shoo za ‘kiprofesheno’ SEAN Carter ‘Jay-Z’ ni jina kubwa sana duniani kufuatia mchango wa msanii huyo katika gemu la muziki wa Hip Hop. Kupitia umaarufu wa jina lake, umeweza kumpatia mafanikio… ...
9 years ago
Bongo512 Oct
Diamond aeleza kwanini ‘alidedicate’ tuzo zake za Afrimma kwa Tiffah
Diamond amesema alikuwa na ndoto siku moja akipata tuzo ya mafanikio ya kazi zake aielekeze kwa mtoto wake, Latiffah. Muimbaji huyo aliyeshinda tuzo tatu za Afrimma Jumapili hii ameiambia ya XXL ya Clouds FM kuwa amefanya hivyo kwa sababu mafanikio yake yanachangiwa na mtoto wake huyo. “Unajua ilikuwa ni moja ya ndoto zangu, kwamba hiyo […]
9 years ago
Bongo507 Sep
Diamond aitaja tarehe ambayo Tiffah ataoneshwa sura kwa mara ya kwanza
Hatimaye Diamond ameitaja tarehe ambayo sura ya binti yake Tiffah itaoneshwa hadharani kwa mara ya kwanza. Tarehe 20 Septemba ndiyo siku ambayo Diamond na Zari wamepanga kuitambulisha sura ya mtoto wao Latiffah kwa ulimwengu, lakini kuna jambo kubwa ambalo litaambatana na utambulisho huo. Licha ya kuwa Tiffah mwenye umri wa mwezi mmoja ni balozi wa […]
9 years ago
Bongo522 Sep
Diamond akanusha kuwalipisha pesa wanaotaka kumuona Tiffah uso kwa uso
Kwa umaarufu alionao mtoto wa Diamond na Zari, Latiffah Nasib Abdul au kama baba yake anavyopenda kumuita Tiffah, ni wazi kwamba mashabiki wengi wa staa huyo wangependa kumuona ama kumbeba mtoto huyo aliyejipatia umaarufu toka siku yake ya kwanza duniani. Hiyo inatokana pia na uamuzi wa wazazi wake kutomuonesha mapema sura yake hadi Jumapili iliyopita, […]
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-FJrHpwxo8Go/VOGKegEHtnI/AAAAAAAAGd4/s0mF1JeQ_hU/s72-c/IMG20150109WA0012.jpg)
Collabo ya Diamond na P-Square bado haijatoka, Iliyo sikika na kudownloadiwa sio yenyewe
![](http://4.bp.blogspot.com/-FJrHpwxo8Go/VOGKegEHtnI/AAAAAAAAGd4/s0mF1JeQ_hU/s640/IMG20150109WA0012.jpg)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pwNUcGVK-dU2ULZdzz-jV5KI3PnZes4d81IXEz9TOCxTxPFbRjxeFkKra5BtmnYUix90oSsoyNqhsiP8OvOSK2JvitavY9dl/FRONTRISASIJMOSI.gif?width=650)
TIFFAH SI MTOTO WA DIAMOND
Mwandishi wetu Kazi ipo! Siku chache baada ya kuliona jua, mtoto wa kike ‘baby girl’ wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ aliyempata kupitia kwa mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Latifah a.k.a Princess Tiffah anazidi kuwa gumzo. ...Soma zaidi===>http://goo.gl/VD59sx
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JWVmD*3ooUc3x7Uw-4nLIXo0ElgpRdLiMVYEv-1PDoYGHhx7s7trsbfCxOxXGdxpOEs-y6A*GWpGfx1VaWVtlSqHafnjIzbl/FRONTIJUMAA.jpg?width=650)
DIAMOND AMUAIBISHA MAMA TIFFAH
Mwandishi wetu Kitendo cha mwanamuziki wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kudaiwa kutupia mtandaoni video inayomuonesha mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ au Mama Tiffah akioga bafuni, kimetafsiriwa kuwa ni kumuabisha mzazi mwenziye huyo. NI NDANI YA WHITE HOUSE Video hiyo ya hivi karibuni, inadaiwa Diamond aliitupia kwenye akaunti yake ya Mtandao wa Instagram kisha kuitoa...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/y*wDQ4ub4BkvACp04wRNHq1P0nYATIzPco-sG-4vaZveQ1OrSXpk7*Tkz1-Cpznidk6b5wziZCZNfNr1iQ83S811VWTVICvK/ymCTBkp.jpg?width=650)
DIAMOND: ZARI AMEMHARIBU TIFFAH!
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’
Musa mateja Kila kitu ukizidisha ni sumu! Ndivyo ilivyotokea kwa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambaye anadaiwa kumtupia lawama mzazi mwenzake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kuwa amemharibu mtoto wao, Latifah Nasibu ‘Princes Tiffah’ kwa kumzidishia vikorombwezo vya urembo, Ijumaa Wikienda limetonywa. Zarinah Hassan ‘Zari The...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rkTNz-F-b8ZrDoifoKEcJGGdOZ-179aFmW9KrVfrqQAcjssRx1Is--lNxqUnZtNGNMRimpJq7KfmL0epI5BD94G78azYihxg/FRONTWIKIENDA1.gif?width=650)
TIFFAH AWAGOMBANISHA DIAMOND, ZARI
Mwandishi Wetu
MVUTANO! Ndivyo unavyoweza kusema baada mastaa wapendanao, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kujikuta wakipishana kauli kutokana na mvutano wa kibiashara unaohusu Sherehe ya Arobaini ya mtoto wao mchanga, Latiffah Nasibu ‘Tiffah’ ambaye amedhaminiwa Sh. Mil. 40 na makampuni mbalimbali yanayojishughulisha na bidhaa za watoto, Ijumaa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania