Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAY-Z Vs DIAMOND, TIFFAH Vs BLUE IVY, WANAVYOFUNIKA KWA REKODI

Jay Z na Beyonce ...Wakiwa na mtoto wao Blue Ivy Diamond Platnumz na mpenzi wake Zarinah  Hassan 'Zari the Boss Lady' wakiwa na mtoto wao, Latiffah Nasbul 'Tiffah'. Mastaa na shoo za ‘kiprofesheno’ SEAN Carter ‘Jay-Z’ ni jina kubwa sana duniani kufuatia mchango wa msanii huyo katika gemu la muziki wa Hip Hop. Kupitia umaarufu wa jina lake, umeweza kumpatia mafanikio… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Beyonce na Jay Z kuhamia L.A kutoka New York, wamwandikisha Blue Ivy kwenye shule ya milioni 25 kwa mwaka

Beyonce na Jay Z wanahamia jijini Los Angeles baada ya kuishi jijini New York kwa miaka mingi, mtandao wa TMZ umedai. Umesema Beyonce na Jay Z kwa sasa wanaishi kwenye hoteli huko Beverly Hills na wanatafuta nyumba ya kununua. Mtandao huo pia umedai kuwa mastaa hao wamemwandikisha mtoto wao Blue Ivy mwenye miaka mitatu kwenye […]

 

9 years ago

Mtanzania

Jay Z ampeleka Blue Ivy makumbusho Thailand

FFN_Beyonce_JayZ_FF8_111114_515820037889567BANGKOK, Thailand

NYOTA wa muziki nchini Marekani, Jay Z, amempeleka mwanawe nchini Thailand kwa ajili ya kuangalia makumbusho nchini humo.

Jay Z aliungana na mke wake, Beyonce na mtoto wao, Blue Ivy kwa ajili ya kumuonesha makumbusho mbalimbali, ikiwa ni sehemu ya kuufurahia mwaka 2015.

Baada ya kuwasili katika makumbusho ya Fantasea nchini humo, alikutana na Chui ambaye alikuwa anang’ara kwa rangi ya dhahabu huku ikiwa sawa na rangi ya nguo ambayo alivaa mtoto huyo, hali hiyo ilimfanya...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Mtazame mtoto wa Beyonce na Jay Z, Blue Ivy alivyokua

Beyonce na Jay Z wamekuza. Tazama picha za juzi za mtoto wao Blue Ivy akiwa na mama yake.

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Jay Z na Beyonce na mtoto wao Blue Ivy wafurahia ‘vekesheni’ Paris

Jay Z na Beyonce wameendelea kuzipoteza tetesi za kuwa ndoa yao ipo kwenye mawe, kwa kuendelea na vekesheni na mtoto wao, Blue Ivy. Wanandoa hao walimpeleka mtoto wao kwenye makumbusho ya Louvre jijini Paris na kupiga picha kadhaa, bila kusahau selfies. Jionee.

 

10 years ago

Bongo5

MTV VMA 2014: Jay Z na Blue Ivy walipopanda jukwaani kumkabidhi Beyonce tuzo na ‘kiss’ (picha)

Beyonce, Jay Z na binti yao Blue Ivy au waite The Carters, Jumapili (Agosti 24) kwenye tuzo za MTV VMA wameendelea kuthibitisha kuwa ni ‘happy family’ licha ya ripoti mbalimbali ambazo zimeendelea kutolewa kuhusu matatizo ya ndoa yao. Beyonce alishinda tuzo ya ‘Michael Jackson Video Vanguard Award’ kwenye tuzo za MTV VMA 2014. Lakini kubwa […]

 

9 years ago

Bongo5

Mashavu kwa Tiffah hayajaja yenyewe tu, ni ubunifu wangu — Diamond

Makampuni makubwa hayajatangaza kupitia picha za kwanza za Diamond Platnumz, Latiffah hivi hivi. Kwa mujibu wa staa huyo ni ubunifu wake na proposal nzuri ndizo zimeyavutia. Diamond ameiambia 255 ya XXL kupitia Clouds FM kuwa yeye binafsi amepigana kuangalia mwanae atapata vipi deals zitakazomwingizia pesa. “Wakati mwingine kama mzazi wasanii na celebrity lazima tuangalie tunajiongunisha […]

 

9 years ago

Bongo5

Diamond aeleza kwanini ‘alidedicate’ tuzo zake za Afrimma kwa Tiffah

Diamond amesema alikuwa na ndoto siku moja akipata tuzo ya mafanikio ya kazi zake aielekeze kwa mtoto wake, Latiffah. Muimbaji huyo aliyeshinda tuzo tatu za Afrimma Jumapili hii ameiambia ya XXL ya Clouds FM kuwa amefanya hivyo kwa sababu mafanikio yake yanachangiwa na mtoto wake huyo. “Unajua ilikuwa ni moja ya ndoto zangu, kwamba hiyo […]

 

9 years ago

Bongo5

Diamond aitaja tarehe ambayo Tiffah ataoneshwa sura kwa mara ya kwanza

Hatimaye Diamond ameitaja tarehe ambayo sura ya binti yake Tiffah itaoneshwa hadharani kwa mara ya kwanza. Tarehe 20 Septemba ndiyo siku ambayo Diamond na Zari wamepanga kuitambulisha sura ya mtoto wao Latiffah kwa ulimwengu, lakini kuna jambo kubwa ambalo litaambatana na utambulisho huo. Licha ya kuwa Tiffah mwenye umri wa mwezi mmoja ni balozi wa […]

 

9 years ago

Bongo5

Diamond akanusha kuwalipisha pesa wanaotaka kumuona Tiffah uso kwa uso

Kwa umaarufu alionao mtoto wa Diamond na Zari, Latiffah Nasib Abdul au kama baba yake anavyopenda kumuita Tiffah, ni wazi kwamba mashabiki wengi wa staa huyo wangependa kumuona ama kumbeba mtoto huyo aliyejipatia umaarufu toka siku yake ya kwanza duniani. Hiyo inatokana pia na uamuzi wa wazazi wake kutomuonesha mapema sura yake hadi Jumapili iliyopita, […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani