Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diamond aitaja tarehe ambayo Tiffah ataoneshwa sura kwa mara ya kwanza

Hatimaye Diamond ameitaja tarehe ambayo sura ya binti yake Tiffah itaoneshwa hadharani kwa mara ya kwanza. Tarehe 20 Septemba ndiyo siku ambayo Diamond na Zari wamepanga kuitambulisha sura ya mtoto wao Latiffah kwa ulimwengu, lakini kuna jambo kubwa ambalo litaambatana na utambulisho huo. Licha ya kuwa Tiffah mwenye umri wa mwezi mmoja ni balozi wa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

KWA MARA YA KWANZA TIFFAH LIVE!

Staa wa Bongo Fleva,  Nasibu Abdul ‘Diamond’ na mzazi mwenzake Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ wakimtoa mtoto wao, Latiffah Nasibu 'Princes Tiffah'. Sherehe yake ya 40 usipime, Zari, Diamond waandika historia Na waandishi wetu YAMETIMIA! Baada ya kutoonekana sura kwa zaidi ya siku 40 tangu azaliwe, hatimaye mtoto wa mkali wao ndani ya Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Latifah...

 

10 years ago

Bongo5

Diamond aitaja ‘Kesho’ kama ngoma yake ambayo hajawahi kuipenda

Hit maker wa ‘Mdogo Mdogo’ Nasib Abdul aka Diamond Platnumz amesema ingawa watu wanaupenda wimbo wake ‘Kesho’ yeye binafsi hajawai kuupenda. Diamond alikuwa akizungumza kwenye kipindi cha The One Show cha TV1 jana “Kiukweli kabisa hata nikikaa na watu, Kesho watu wanaipenda nyimbo lakini mimi sijawahi kuipenda. Wa bishoo bishoo ndo wainaipenda Kesho lakini mimi […]

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Zari ndani ya Dar, athibitisha kwa mara ya kwanza kwa kauli yake kuwa mpenzi wa Diamond

Katika mitoko yako ya weekend hii usije kushtuka utakapokutana na couple fulani ya ‘Ameizing’ ya TZ+UG, sababu Zari Tlale a.k.a The Boss Lady yupo ndani ya jiji la Dar au kama anavyopaita mrembo huyo D-City. Kupitia Instagram mrembo huyo wa Uganda ambaye makazi yake yako Afrika Kusini amepost picha kadhaa akiwa na mpenzi wake Diamond […]

 

9 years ago

Bongo5

Zari asema wataionesha sura ya Tiffah baada ya siku…

Shauku kubwa ambayo mashabiki wa Diamond Platnumz na Zari the Boss Lady wako nayo kwa sasa ni kuiona sura ya mtoto wao wa kike Latiffah Naseeb a.k.a Princess Tiffah. Hii ni kutokana na maneno mengi ambayo yanaendelea hivi sasa kwenye mitandao ya kijamii, wengi wanahamu ya kujua mtoto anafanana na nani kati ya baba na […]

 

9 years ago

GPL

JAY-Z Vs DIAMOND, TIFFAH Vs BLUE IVY, WANAVYOFUNIKA KWA REKODI

Jay Z na Beyonce ...Wakiwa na mtoto wao Blue Ivy Diamond Platnumz na mpenzi wake Zarinah  Hassan 'Zari the Boss Lady' wakiwa na mtoto wao, Latiffah Nasbul 'Tiffah'. Mastaa na shoo za ‘kiprofesheno’ SEAN Carter ‘Jay-Z’ ni jina kubwa sana duniani kufuatia mchango wa msanii huyo katika gemu la muziki wa Hip Hop. Kupitia umaarufu wa jina lake, umeweza kumpatia mafanikio… ...

 

9 years ago

Bongo5

Mashavu kwa Tiffah hayajaja yenyewe tu, ni ubunifu wangu — Diamond

Makampuni makubwa hayajatangaza kupitia picha za kwanza za Diamond Platnumz, Latiffah hivi hivi. Kwa mujibu wa staa huyo ni ubunifu wake na proposal nzuri ndizo zimeyavutia. Diamond ameiambia 255 ya XXL kupitia Clouds FM kuwa yeye binafsi amepigana kuangalia mwanae atapata vipi deals zitakazomwingizia pesa. “Wakati mwingine kama mzazi wasanii na celebrity lazima tuangalie tunajiongunisha […]

 

9 years ago

Bongo5

Diamond aeleza kwanini ‘alidedicate’ tuzo zake za Afrimma kwa Tiffah

Diamond amesema alikuwa na ndoto siku moja akipata tuzo ya mafanikio ya kazi zake aielekeze kwa mtoto wake, Latiffah. Muimbaji huyo aliyeshinda tuzo tatu za Afrimma Jumapili hii ameiambia ya XXL ya Clouds FM kuwa amefanya hivyo kwa sababu mafanikio yake yanachangiwa na mtoto wake huyo. “Unajua ilikuwa ni moja ya ndoto zangu, kwamba hiyo […]

 

9 years ago

Mtanzania

Sura ya mtoto wa Diamond itaonyeshwa kwa fedha

DiambidNA MELCKZEDECK SIMON

MKALI wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’ na mpenzi wake, Zarina Hassani ‘Zari’, wamekubaliana kutoonyesha sura ya mtoto wao wa kike, Tiffah hadi atakapofikia siku arobaini tangu kuzaliwa kwake.

Alisema makubaliano ya kuendelea kumficha mtoto huyo asionekane kwa jamii yametokana na makubaliano waliyonayo na makampuni mbalimbali yanayomdhamini.

Diamond alieleza hayo juzi katika kipindi kipya cha Uhondo kinachorushwa na Redio Efm chini ya uongozi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani