Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sura ya mtoto wa Diamond itaonyeshwa kwa fedha

DiambidNA MELCKZEDECK SIMON

MKALI wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’ na mpenzi wake, Zarina Hassani ‘Zari’, wamekubaliana kutoonyesha sura ya mtoto wao wa kike, Tiffah hadi atakapofikia siku arobaini tangu kuzaliwa kwake.

Alisema makubaliano ya kuendelea kumficha mtoto huyo asionekane kwa jamii yametokana na makubaliano waliyonayo na makampuni mbalimbali yanayomdhamini.

Diamond alieleza hayo juzi katika kipindi kipya cha Uhondo kinachorushwa na Redio Efm chini ya uongozi wa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Diamond aitaja tarehe ambayo Tiffah ataoneshwa sura kwa mara ya kwanza

Hatimaye Diamond ameitaja tarehe ambayo sura ya binti yake Tiffah itaoneshwa hadharani kwa mara ya kwanza. Tarehe 20 Septemba ndiyo siku ambayo Diamond na Zari wamepanga kuitambulisha sura ya mtoto wao Latiffah kwa ulimwengu, lakini kuna jambo kubwa ambalo litaambatana na utambulisho huo. Licha ya kuwa Tiffah mwenye umri wa mwezi mmoja ni balozi wa […]

 

10 years ago

Michuzi

Isomeni Katiba Mpya Inayopendekezwa sura kwa sura na ibara kwa ibara ili muweze kupata uelewa - Dkt. Migiro

Na Magreth Kinabo
WANANCHI   wameshauriwa kuisoma Katiba Mpya Inayopendekezwa  sura kwa sura na ibara kwa ibara ili waweze kupata uelewa wa masuala mbalimbali yaliyomo ndani ya Katiba hiyo na kuacha kusikiliza maneno  ya watu yenye nia ya kupotosha ukweli.
Kauli hiyo ilitolewa jana  na  Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha   Rose Migiro wakati  wa sherehe za mahafali ya pili ya Shule ya Sekondari ya Wasichana  wanaoishi katika mazingira hatarishi  ya WAMA  Nakayama, iliyopo  wilayani Rufiji...

 

10 years ago

Habarileo

Ajifungua mtoto mwenye sura ya chura

Kitanda cha Upasuaji.MKAZI wa kijiji cha Chibwechangula –Behelo katika wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Ruth Matonya (26) amejifungua mtoto wa ajabu ambaye nusu ya sura yake inafanana na binadamu na nusu ikifanana na chura.

 

10 years ago

GPL

DIAMOND AANZA MAANDALIZI KWA AJILI YA MTOTO WAKE WA KIKE

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ameonyesha kuanza maandalizi kwa kijacho wake ambaye imeelezwa ni mtoto wa kike. Diamond na mpenzi wake Zarinah Hassan 'The Boss Lady' wanatarajia mtoto wa kike mwaka huu. Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Diamond ametupia picha akiwa na kitanda cha magurudumu kwa ajili ya mtoto mchanga.

 

10 years ago

GPL

DIAMOND WIMBO WAKE WA KWANZA ALIUREKODI KWA FEDHA ZA KUMTAPELI PETE MAMA YAKE

Mkali wao katika Bongo Fleva, 'Diamond Platinumz' akiwa na Bi. mkubwa wake. WIKI iliyopita tuliishia pale Diamond alipokuwa hana kazi ya kufanya nyumbani hivyo alianza kutafuta vibarua mbalimbali vya kumuwezesha kupata riziki ya siku.Miongoni mwa kazi hizo ni kuuza mitumba, kuweka mafuta kwenye magari (vituo vya mafuta), kupiga picha, kupigisha simu na kazi za kwenye viwanda.Endelea sasa… ACHEZA KAMARI
Wakati mwingine...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Davido a-share picha mpya za mtoto wake wa kike zinazomuonesha vizuri sura

Ukiachilia mbali Diamond Platnumz wa Tanzania na rapper AKA wa Afrika Kusini, Davido ni staa mwingine wa Afrika aliyepata mtoto hivi karibuni na anajivunia kuwa BABA. Davido na mama wa mwanaye Davido ambaye ni miezi mitatu imepita toka apate mtoto wa kike, amekuwa akishare na followers wake picha za mwanaye, ikiashiria kuwa ni jinsi gani […]

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA FEDHA ZANZIBAR, MHE. OMAR YUSSUF MZEE AWASILISHA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2015/2016

Waziri wa Fedha akiinua Begi lenye Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakati akiingia katika ukumbi wa mkutano kuwasilisha Hutuba ya Bajeti jana jioni katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Chukwani.Waziri wa Fedha wa Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee, akishindikizwa na Askari wa Baraza kuingia katika ukumbi wa Mkutano kwa ajili ya kusoma Hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar jana jioni.Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe. Omar Yussuf Mzee akisoma Hutuba ya Bajeti ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani