Diamond aitaja ‘Kesho’ kama ngoma yake ambayo hajawahi kuipenda
Hit maker wa ‘Mdogo Mdogo’ Nasib Abdul aka Diamond Platnumz amesema ingawa watu wanaupenda wimbo wake ‘Kesho’ yeye binafsi hajawai kuupenda. Diamond alikuwa akizungumza kwenye kipindi cha The One Show cha TV1 jana “Kiukweli kabisa hata nikikaa na watu, Kesho watu wanaipenda nyimbo lakini mimi sijawahi kuipenda. Wa bishoo bishoo ndo wainaipenda Kesho lakini mimi […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo507 Sep
Diamond aitaja tarehe ambayo Tiffah ataoneshwa sura kwa mara ya kwanza
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-F49qdyK3cuI/VJm2rSNbabI/AAAAAAAAOnw/iruvh8VJsII/s72-c/DSC_3070.jpg)
KATIBU MKUU WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KAMA ANGELIJUA KESHO YAKE ANGESIMAMISHWA KAZI SIDHANI KAMA ANGEKUWEMO KWENYE HOTUBA YA JK
![](http://4.bp.blogspot.com/-F49qdyK3cuI/VJm2rSNbabI/AAAAAAAAOnw/iruvh8VJsII/s640/DSC_3070.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-m7xcLI9M1a0/VJm2tII2NeI/AAAAAAAAOn4/AAFUCZ-rSho/s640/DSC_3069.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-7bRn8dqEhWM/VJm22qu7xTI/AAAAAAAAOoA/F2WU-EOqlwk/s640/DSC_3827.jpg)
10 years ago
Bongo522 Jan
Madee amchana Lundenga kwenye ngoma mpya , ‘hao Ma-miss wazee kama vipi mwaka kesho namleta bibi yangu agombee’
9 years ago
Bongo517 Aug
Zari hajawahi kuolewa — Diamond
10 years ago
CloudsFM20 Nov
DIAMOND AACHIA AUDIO&VIDEO YA NGOMA YAKE MPYA IITWAYO NTAMPATA WAPI
Diamond Platinumz wakati akitambulisha ngoma yake mpya iitwayo Ntapata Wapi leo hii kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM.
Hapa akichagua barua za wale waliotuma kwa ajili ya watoto wao wanaompenda Diamond na atakayeshinda atatembelewa na msanii huyo nyumbani kwake.
11 years ago
CloudsFM29 May
DARASA APOTEZA ‘EXTERNAL HARD DISK’ AMBAYO ILIKUWA NA NGOMA ZAKE AMBAZO HAZIJATOKA
MSANII wa Hip Hop Bongo,Darasa jana amepoteza kitu muhimu sana kwa muziki wake wakati akiwa kwenye matembezi mida ya usiku pande za Sinza Kwa Wajanja, kitu hicho ni ‘external hard disk’ yenye ngoma zake ambazo hazijatoka na kuhofia ngoma hizo kuvuja, na anaomba kwa yeyote atakayefanikiwa kuona mali yake basi amtafute.
Darasa Huyu hapa anafunguka.
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-rqP7uHznJSU/VHc3NkxqO-I/AAAAAAAAY4k/_vImRzh8S_Q/s72-c/1.jpg)
MCHEZAJI EMERSON ALIYELETWA YANGA KWA MAJARIBIO HAJAWAHI CHEZA HATA MECHI MOJA KWENYE TIMU YAKE YA ZAMANI
![](http://1.bp.blogspot.com/-rqP7uHznJSU/VHc3NkxqO-I/AAAAAAAAY4k/_vImRzh8S_Q/s1600/1.jpg)
Timu anayochezea ya Bonsucesso FC inashika nafasi ya 13 na imeshinda michezo mitatu na kupoteza michezo 6 na kutoka suluhu michezo 6.
Habari kwa hisani ya...