Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DARASA APOTEZA ‘EXTERNAL HARD DISK’ AMBAYO ILIKUWA NA NGOMA ZAKE AMBAZO HAZIJATOKA

MSANII wa Hip Hop Bongo,Darasa jana amepoteza kitu muhimu sana kwa muziki wake wakati akiwa kwenye matembezi mida ya usiku pande za Sinza Kwa Wajanja, kitu hicho ni ‘external hard disk’ yenye ngoma zake ambazo hazijatoka na kuhofia ngoma hizo kuvuja, na anaomba kwa yeyote atakayefanikiwa kuona mali yake basi amtafute.Darasa Huyu hapa anafunguka.

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

GameSpot

The Best External Hard Drive Deals For PS4 And Xbox One

The Best External Hard Drive Deals For PS4 And Xbox One  GameSpotHere Are 10 Games (And One DLC) Coming To Xbox One Next Week  Pure Xbox17 Best Spring Game Deals for PS4, Xbox, Switch, and PC  WIREDXbox Sales And Subscriptions Are Spiking Right Now, Reveals Xbox Boss  Pure XboxXbox, PlayStation leaders set console-war tensions aside during pandemic  Windows CentralView Full coverage on Google News

 

9 years ago

MillardAyo

Cheki video ya magoli ya Azam FC dhidi ya Yanga katika mechi ambayo ilikuwa ya kukamiana …

Mtu wangu wa nguvu kama kawaida naendelea kukusogezea kila kitu kinachonifikia kutoka Zanzibar katika michuano ya Kombe la Mapinduzi. Usiku wa January 5 ulipigwa mchezo wa nne wa Kundi B kwa kuzikutanisha timu za Yanga dhidi ya Azam FC katika dimba la Amaan. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusoogezee video ya magoli ya mchezo huo […]

The post Cheki video ya magoli ya Azam FC dhidi ya Yanga katika mechi ambayo ilikuwa ya kukamiana … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Bongo5

Diamond aitaja ‘Kesho’ kama ngoma yake ambayo hajawahi kuipenda

Hit maker wa ‘Mdogo Mdogo’ Nasib Abdul aka Diamond Platnumz amesema ingawa watu wanaupenda wimbo wake ‘Kesho’ yeye binafsi hajawai kuupenda. Diamond alikuwa akizungumza kwenye kipindi cha The One Show cha TV1 jana “Kiukweli kabisa hata nikikaa na watu, Kesho watu wanaipenda nyimbo lakini mimi sijawahi kuipenda. Wa bishoo bishoo ndo wainaipenda Kesho lakini mimi […]

 

10 years ago

Bongo5

Matonya ataja sababu za kwanini ngoma zake hazihit kama zamani

Matonya amesema sababu kubwa iliyomfanya apotee kwenye muziki na nyimbo zake za sasa kutofanya vyema kama mwanzo ni kukosa uongozi mzuri wa kumsimamia. Matonya ameambia Bongo5 kuwa muziki wa sasa hivi upo tafauti na ule wa zamani uliokuwa hauhitaji mambo mengi kama muziki wa sasa. “Tatizo kubwa kadri siku zinapozidi kwenda wasanii tunazidi kuwa wengi, […]

 

9 years ago

Bongo5

Dully awakusanya Diamond, Christian Bella na Mzee Yusuf kwenye ngoma zake mbili mpya

Dully

Baada ya kuachia kolabo yake akiwa na vijana wa Yamoto Band, Dully Sykes anatarajia kuachia kolabo zake nyingine mbili ambapo moja akiwa na Diamond na nyingine akiwa na Christian Bella na Mzee Yusuf.

Dully

Akizungumza na kipindi cha Siz Kitaa kinachoruka kupitia Clouds TV, Dully alisema tayari ameshafanya nyimbo nyingi akiwa peke yake na wakati huu ni wa kolabo.

“Mimi nimefanya nyimbo nyingi sana mwenyewe na nyingi zimefanya vizuri. Kwahiyo sasa hivi mimi natoa nyimbo ambazo nimeshirikiana. Baada...

 

9 years ago

Bongo5

BASATA ianze kukagua nyimbo kabla hazijatoka — Roma

Roma Mkatoliki amelishauri baraza la sanaa la taifa, BASATA kuunda kutengo cha kukagua nyimbo kabla hazijatoka. Hivi karibuni baraza hilo liliufungia wimbo wake mpya, Viva Roma kwa madai una matusi na unatukana viongozi. Roma ameiambia Planet Bongo ya EA Radio kuwa ili kwenda sawa na BASATA wanatakiwa kuunda chombo cha ukaguzi wa kazi za wasanii […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani