Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Ni collabo ama P-Square kumsainisha Awilo Longomba?

Tangu aachie wimbo mpya ‘Bundelele’, muimbaji mkongwe kutoka DRC, Awilo Longomba ameonekana kuwa karibu na wasanii wakubwa wa Nigeria. Lakini picha iliyowekwa na Peter Okoyo wa P-Square inaashiria neema zaidi kwa Longomba aliyepo nchini Nigeria kujitangaza zaidi. Peter ameweka picha akisherehekea jambo na Longomba na kuandika: Will let y’all knw what we are celebrating soon…. […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

New Music Video: Awilo Longomba — Bundelele

Baada ya kimya cha muda mrefu mwanamuziki nyota kutoka DRC, Awilo Longomba amerudi tena. Ameachia video mpya ya wimbo uitwao ‘Bundelele’ ambayo imefanyika London, Uingereza. Itazame

 

10 years ago

Bongo5

Diamond atajwa kuwania tuzo za IRAWMA, Marekani kupitia ‘Mdogo mdogo’, anachuana na Davido, Awilo Longomba na Bracket

Kwa mara nyingine Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo nyingine za kimataifa nchini Marekani, ambapo safari hii wimbo wake wa ‘Mdogo mdogo’ wenye miezi miwili tangu utoke umemuwezesha kuingia kwenye tuzo za IRAWMA (International Reggae and World Music Awards). Wimbo wa ‘Mdogo mdogo’ wa Diamond umeingia kwenye tuzo hizo katika kipengele cha ‘Best African Song/Entertainer’. Kwa […]

 

10 years ago

Bongo5

New Video: P-Square ft. Don Jazzy — Collabo

Mapacha wa P-Square wametoa video ya wimbo wao ‘Collabo’ waliyomshirikisha Don Jazzy. Video imefanyika Afrika Kusini na kuongozwa na Clarence Peters na Jude Okoye.

 

10 years ago

Bongo5

Not So Fast: Collabo ya Diamond na P-Square bado haijatoka

Kama umedownload au kutumiwa wimbo unaosemekana kuwa ni wa Diamond featuring P-Square na pamoja na kuusikiliza kwa mara kibao ukashindwa kusikia sauti ya Paul au Peter Okoye, basi sikio lako halikudanganyi – hakuna collabo hiyo. Wimbo huo unaitwa ‘Marry Me’ ni wa Iyanya ambao kipindi muimbaji huyo wa Nigeria amekuja kwenye Fiesta mwaka juzi, alimpa […]

 

10 years ago

Vijimambo

Collabo ya Diamond na P-Square bado haijatoka, Iliyo sikika na kudownloadiwa sio yenyewe

Kama umedownload au kutumiwa wimbo unaosemekana kuwa ni wa Diamond featuring P-Square na pamoja na kuusikiliza kwa mara kibao ukashindwa kusikia sauti ya Paul au Peter Okoye, basi sikio lako halikudanganyi – hakuna collabo hiyo.Wimbo huo unaitwa ‘Marry Me’ ni wa Iyanya ambao kipindi muimbaji huyo wa Nigeria amekuja kwenye Fiesta mwaka juzi, alimpa nafasi Diamond kuingiza kitu kwakuwa alisafiri na producer wake, Tekno aliyetembea na vifaa vya muhimu vya studio. Kwenye wimbo huo Diamond...

 

9 years ago

Bongo5

P-Square wanusurika na ajali ya gari (Picha)

Mapacha wa kundi la P-Square, Peter na Paul Okoye jana walinusurika na ajali ya gari baada ya kugongwa na lori. Wawili hao walikuwa kwenye gari aina ya Range Rover. Kupitia Instagram, Peter alipost picha ya gari ya iliyoyobondeka na kuandika: Fans pls help us thank God. Myself @rudeboypsquare @papiijameh and our assistant manager @wandoskie had […]

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Lady Jaydee kufanya collabo na Nameless?

1172219_160953367603974_1540394864_n

Lady Jaydee yupo jijini Nairobi, Kenya pamoja na meneja wake mpya, Seven Mosha.

1172219_160953367603974_1540394864_n
Lady Jaydee na Seven Mosha

Wawili hao wamekuwa wakionekana pamoja tangu waanze kufanya kazi mwishoni mwa mwaka uliopita.

1170250_1014889388553205_1383993073_n
Nameless na Jaydee

Jaydee aliyekaa kimya kwa muda sasa huku akionesha kuwa kwenye mkakati mkubwa wa kurejea kwa kishindo, ameshare picha akiwa amekumbatiana studio na hitmaker wa ‘Nasinzia’ wakiwa studio hali inayoonesha kuwa huenda wakawa wamerekodi wimbo pamoja.

917473_813546168755731_308558682_n

Jide pia ameshare picha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani