Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video: Will Smith kufanya ziara ya muziki ya dunia mwakani

Kwa waliomfahamu hivi karibuni tu Will Smith ni maarufu zaidi kwenye ulimwengu wa filamu lakini kwa muziki pia amekuwa na historia kubwa na yenye mafanikio ikiwemo kushinda tuzo kibao za Grammy kwa nyimbo zake za miaka ya 90. Na sasa rapper huyo anadai kuwa amerudi studio kutengeza ngoma mpya. Amedai hadi sasa amesema hadi sasa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Will Smith arudi kwenye muziki

Will SmithLOS ANGELES, MAREKANI

MWIMBAJI na mcheza filamu mahiri nchini Marekani, Will Smith,  amerudi kwenye muziki baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu.

Msanii huyo alikuwa kimya kwenye muziki huku akihamishia nguvu zake kwenye filamu, lakini wiki iliopita msanii huyo ameachiwa wimbo wake ambao unajulikana kwa jina la ‘Fiesta’.

Mara ya mwisho msanii huyo kuachia wimbo wake ilikuwa mwaka 2000, hivyo alikuwa kimya kwa miaka 15 sasa.

Hivi karibuni, msanii huyo alifanya shoo ya kujitambulisha kwamba...

 

10 years ago

Bongo Movies

Kallage Aeleza Kwanini Ameacha Kufanya Video za Muziki

Mtayarishaji video za muziki na filamu anayeshikilia rekodi ya kushinda tuzo mbili za filamu za TAFA 2015, John Kallaghe amefunguka juu ya sababu za kuacha kufanya video za muziki, kubwa ikiwa ni mabadiliko ya soko na kupungua kwa wawezeshaji katika soko hilo.

Kallaghe ameiambia eNewz ya EATV kuwa soko la utayarishaji video linabadilika kwa kasi kinguvu kazi na kiteknolojia likihitaji vipaji vipya na mtu aliye tayari kwenda kwa kasi hiyo, pili ikiwa ni kuanza kupotea kwa wadau ambao...

 

9 years ago

Mtanzania

Will Smith arudi rasmi kwenye muziki

smithNEW YORK, MAREKANI

NYOTA wa filamu nchini Marekani, Will Smith, anatarajia kurudi kwenye muziki baada ya kukaa kimya kwa zaidi ya miaka 10.

Msanii huyo alikuwa kimya mara baada ya kuachia albamu yake ya ‘Lost and Found’, aliyoiachia 2005 na kuingia
kwenye filamu na sasa amerudi katika muziki.

Tayari msanii huyo amemaliza baadhi ya video zake katika nyimbo alizotumia lugha ya Kiingereza na Kihispania.
“Nimekaa nje ya muziki kwa muda mrefu, lakini kwa sasa nimeamua kurudi tena kwa kuwa ni...

 

9 years ago

Bongo5

Mwaka 2016 ni kazi tu – Shaa, aliweka ‘pending’ deal nono la Kenya ili kufanya muziki (Video)

12345711_718016738342763_71673018_n

Shaa ameutangaza mwaka 2016 kuwa ni mwaka wa ‘hapa kazi tu.’

Akiongea kwenye kipindi cha Uhondo cha EFM kinachoendeshwa na Dina Marious na Swebe Santana, Shaa alisema alilazimika kutolea nje deal nono aliyokuwa aifanye Kenya ili kuutumia mwaka ujao nyumbani na kufanya muziki zaidi.

“Kuna kazi nyingine tena inabidi itoke mwezi wa tatu, na nyingine tena inabidi itoke mwezi wa sita, nyingine tena mwezi wa tisa. Kwahiyo utakuwa ni mwaka ambao nitakuwa niko busy sana. Nataka niutumie kimuziki...

 

11 years ago

Michuzi

uzushi wa kifo feki cha muigizaji Will Smith watikisa dunia

Taarifa za kifo cha mwigizaji nguli wa Marekani Will Smith zilisambaa kama moto nyikani mapema wiki hii, na kusababisha mtafaruku kwa mashabiki wake duniani kote. Hata hivyo taarifa ya jana Ijumaa February 21, 2014 zimethibitisha kuwa habari hizo za uzushi na uwongo ni mojawapo ya nyingi zinazohusisha watu maarufu.  Kwa mujibu wa uchunguzi wa kina uliofanywa na Globu ya Jamii, ukweli ni kwamba mwigizaji huyo aliyetamba katika filamu kadhaa ziiwemo The Pursuit of Happyness, Men in Black...

 

9 years ago

Bongo5

Rihanna kuanza ziara ya album yake ‘Anti World Tour’ mwakani

Riri

Taarifa zisizo rasmi zinasema kuwa album mpya ya Rihanna ‘ANTI’ huenda ikatoka Ijumaa hii (Nov.27), japokuwa Rihanna wala msemaji wake hawajathibitisha.

Riri

Inasemekana kuwa album hiyo ya nane itatoka exclusively kupitia mtandao wa Jay Z, Tidal mpaka Dec 4 ndio itaanza kupatikana kwenye platform zingine.

Riri pia ametangaza ziara yake ya kuitangaza album hiyo ‘Anti World Tour’ itakayoanza Feb 2016. Kwenye ziara hiyo atakuwa na Big sean, Travis scott na The Weekend.

#ANTIWorldTour starts Feb...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Sam Smith — Writing’s On The Wall (from Spectre)

Msanii wa Pop kutoka Uingereza Sam Smith… Adele alishawahi kutoa wimbo ambao ulitumika kama soundtrack kwenye movie ya 007 James Bond mwaka 2012, na safari hii. Sam Smith ametoa wimbo unaitwa ‘Writing’s on the Wall’ ambao ndo official soundtrack kwenye movie ya James Bond ‘Spectre’ inayotegemea kutoka tarehe 6 November mwaka huu single hii ipo […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Bomba Estereo & Will Smith – Fiesta (Remix)

Will Smith baada ya kupotea kwa miaka 10 kwenye muziki wa HipHop Marekani. Amechia video mpya ya wimbo wake wa kwanza wa HipHop unaitwa “Fiesta”. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Video: Trailer ya filamu mpya ya Will Smith aliyoigiza kama daktari kutoka Nigeria, ‘Concussion’

Muigizaji wa Marekani, Will Smith ameigiza kama daktari (Dr. Omalu) kwenye filamu mpya ya Hollywood iitwayo ‘Concussion’. Movie hiyo inatokana na hadithi ya kweli ya maisha ya dr. Bennet Ifekandu Omalu wa Nigeria. Tazama kionjo cha filamu hiyo itakayotoka December 25, 2015. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani