uzushi wa kifo feki cha muigizaji Will Smith watikisa dunia
Taarifa za kifo cha mwigizaji nguli wa Marekani Will Smith zilisambaa kama moto nyikani mapema wiki hii, na kusababisha mtafaruku kwa mashabiki wake duniani kote. Hata hivyo taarifa ya jana Ijumaa February 21, 2014 zimethibitisha kuwa habari hizo za uzushi na uwongo ni mojawapo ya nyingi zinazohusisha watu maarufu. Kwa mujibu wa uchunguzi wa kina uliofanywa na Globu ya Jamii, ukweli ni kwamba mwigizaji huyo aliyetamba katika filamu kadhaa ziiwemo The Pursuit of Happyness, Men in Black...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLUZUSHI WA KIFO CHA MZEE SMALL, SHILOLE YAMKUTA!
9 years ago
MichuziSerikali yatoa Ufafanuzi juu ya uzushi wa kifo cha Rais wa Awamu ya Tatu
10 years ago
Bongo519 Jan
Van Vicker, Genevieve, Rita Dominic waomboleza kifo cha muigizaji wa Nollywood, Muna Obiekwe
5 years ago
BBCSwahili19 Feb
Habari Feki: Namna ya kupambana na taarifa za uzushi
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Jeshi la Polisi: Vyeti feki vyawaondoa askari kazini ni uzushi
Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera John Bulimba – SSP.
TAARIFA YA JESHI LA POLISI KWA VYOMBO VYA HABARI
Katika siku za hivi karibuni, kumeibuka tabia ya baadhi ya watu kutoa taarifa za uzushi na uongo kutumia majina ya taasisi, mashirika ya umma na ofisi za Serikali na kueneza taarifa hizo katika mitandao ya kijamii kwa lengo la kupotosha wananchi.
Miongoni mwa taarifa hizo ni pamoja na taarifa kuhusu Jeshi la Polisi iliyosambazwa jana katika mitandao ya kijamii yenye kichwa cha habari...
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Jeshi Linawasaka Walioeneza Uzushi Kuhusu Vyeti Feki vya Polisi
Msemaji wa Jeshi la Polisi, SSP-Advera John Bulimba.
Katika siku za hivi karibuni, kumeibuka tabia ya baadhi ya watu kutoa taarifa za uzushi na uongo kutumia majina ya taasisi, mashirika ya umma na ofisi za Serikali na kueneza taarifa hizo katika mitandao ya kijamii kwa lengo la kupotosha wananchi.
Miongoni mwa taarifa hizo ni pamoja na taarifa kuhusu Jeshi la Polisi iliyosambazwa jana katika mitandao ya kijamii yenye kichwa cha habari ‘chujio Jesho la polisi, vyeti feki vyawaonndoa askari...
11 years ago
BBCSwahili06 Dec
Dunia yaomboleza kifo cha Mandela
11 years ago
GPLMZEE SMALL YUPO HAI, TAARIFA ZA KIFO CHAKE NI UZUSHI
9 years ago
Bongo506 Oct
Video: Will Smith kufanya ziara ya muziki ya dunia mwakani