UZUSHI WA KIFO CHA MZEE SMALL, SHILOLE YAMKUTA!
![](http://api.ning.com:80/files/6vIMLmuhUcrC9K46ZlJy-*TFuorRG7lFG4GuJDpxrVqbw1zzOqsmOL3SBDEnrD3YQjyjJBoIX5vK2BMYAWDkqi76mMvrhzDZ/shilole.jpg?width=650)
Stori: MUSA MATEJA MSANII wa muziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuandika juu ya uzushi wa kifo cha msanii mkongwe, Said Ngamba ‘Mzee Small’ kupitia mtandao wa Instargram. Said Ngamba ‘Mzee Small’ aliyezushiwa kifo Shilole ambaye baada ya kugundua kuwa hakuwa sahihi kuandika juu ya kifo hicho kwani haikuwa kweli, alilazimika kukanusha na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MZEE SMALL YUPO HAI, TAARIFA ZA KIFO CHAKE NI UZUSHI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/a5b4X5Lcvi2DThYI5x1utWCaCcp34RyJ-TLFIh5198gpRYZqx0purTgGkQh6LhLYvBC-774fDYwN83xUmwzlt2jEEv71p-9c/mzeesmall1.jpg)
MZEE SMALL SIKU 790 ZA KIFO
11 years ago
Tanzania Daima13 Dec
Mzee Small amlaani aliyemzushia kifo
NGULI wa filamu na maigizo nchini, Saidi Ngamba ‘Mzee Small’ amemlaani mtu aliyesambaza taarifa za uongo kwamba amefariki juzi usiku. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mzee Small alisema, alipata...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-IymI2BNX_Ns/UwgKvSpT4ZI/AAAAAAAFOrQ/g-rP3MlJHBA/s72-c/ir.jpg)
uzushi wa kifo feki cha muigizaji Will Smith watikisa dunia
9 years ago
MichuziSerikali yatoa Ufafanuzi juu ya uzushi wa kifo cha Rais wa Awamu ya Tatu
10 years ago
GPL17 Feb
11 years ago
Dewji Blog10 Jun
Rais Kikwete aungana na waombolezaji kwenye Msiba wa marehemu Mzee Said Ngamba “Mzee Small” Jijini Dar
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye Msiba wa msiba wa msanii maarufu wa filamu ya vichekesho hapa nchini,Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam jana Juni 9, 2014.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amejumuika na waombolezaji mbali mbali kwenye Msiba wa msanii maarufu wa filamu za vichekesho nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam jana.Kushoto ni Rais wa Chama cha Filamu nchini,Simon Mwakifwamba na...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-7Cn9ebi4iYw/U5XUqFJIFyI/AAAAAAAFpLM/CEwN9msyvP0/s72-c/16.jpg)
RAIS KIKWETE AWAONGOMA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KWENYE MSIBA WA MAREHEMU MZEE SAID NGAMBA "MZEE SMALL" JIJINI DAR LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-7Cn9ebi4iYw/U5XUqFJIFyI/AAAAAAAFpLM/CEwN9msyvP0/s1600/16.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-1KVXjmxkPmM/U5XUplUezCI/AAAAAAAFpLI/rz-rCnDTMfU/s1600/17.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-UjNnWqonmuI/U5XWQy_pcAI/AAAAAAAFpP4/-ElXwHuRzVk/s1600/_5.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-gwrGe28cIOU/U5XWQZ_LE-I/AAAAAAAFpPw/1rkRJa3Ip8s/s1600/_4.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-jEvs4iaCsmA/VeZqEcX5uZI/AAAAAAAH1s8/whaKl6Id9a0/s72-c/IMG_20150901_132357.jpg)
KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MZEE MANG'ANYA
![](http://3.bp.blogspot.com/-jEvs4iaCsmA/VeZqEcX5uZI/AAAAAAAH1s8/whaKl6Id9a0/s320/IMG_20150901_132357.jpg)
We thought of you with love today,But that is nothing new.We thought about you yesterday.And days before that too.We think of you in silence.We often speak your name.Now all we have is memories.And your picture in a frame.Your memory is our keepsake.With which we'll never part.God has you in his keeping.We have you in our heart.We as family will remember all you taught usWe are hurt but we won't be sadBecause he'll send us...