Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MZEE SMALL SIKU 790 ZA KIFO

Maehemu Mzee Small akiwa hospitali enzi za uhai wake. Stori: MWANDISHI WETU Msiba tena! Ukweli ni kwamba gwiji wa maigizo na vichekesho Bongo, Said Ngamba ‘Mzee Small’ ameandamwa na roho wa kifo kwa siku 790 hadi alipokutwa na umauti usiku wa kuamkia jana, Ijumaa Wikienda lilikuwa naye bega kwa bega.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mzee Small amlaani aliyemzushia kifo

NGULI wa filamu na maigizo nchini, Saidi Ngamba ‘Mzee Small’ amemlaani mtu aliyesambaza taarifa za uongo kwamba amefariki juzi usiku. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mzee Small alisema, alipata...

 

11 years ago

GPL

UZUSHI WA KIFO CHA MZEE SMALL, SHILOLE YAMKUTA!

Stori: MUSA MATEJA
MSANII wa muziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuandika juu ya uzushi wa kifo cha msanii mkongwe,  Said Ngamba ‘Mzee Small’ kupitia mtandao wa Instargram. Said Ngamba ‘Mzee Small’ aliyezushiwa kifo Shilole ambaye baada ya kugundua kuwa hakuwa sahihi kuandika juu ya kifo hicho kwani haikuwa kweli, alilazimika kukanusha na...

 

11 years ago

GPL

MZEE SMALL YUPO HAI, TAARIFA ZA KIFO CHAKE NI UZUSHI

KUNA taarifa zilizagaa kuwa msanii mkongwe wa vichekesho na maigizo nchini, Said Ngamba ‘Mzee Small’ amefariki dunia. Taarifa hizo ni za uongo na uzushi maana mwandishi wetu ameongea na mke wa Mzee Small pamoja na Mzee Small mwenyewe ambaye ni mzima kabisa!  Mke wa Mzee Small anadai usiku kucha hajalala maana alikuwa anapokea meseji za pole kutoka kwa watu mbalimbali kuhusu taarifa hizo za uzushi. Mzee Small...

 

11 years ago

GPL

SIKU 730 ZA MATESO YA MZEE SMALL

STORI: Nyemo Chilongani
GWIJI la sanaa nchini, Said Ngamba ‘Mzee Small’ ameanika mateso mazito aliyopitia kwa takriban miaka miwili (siku 730) akiugua ugonjwa wa kupooza. Gwiji la sanaa nchini, Said Ngamba ‘Mzee Small’ akiwa nyumani kwake Tabata-Mawenzi, jijini Dar. Akizungumza na paparazi wetu nyumbani kwake Tabata-Mawenzi, jijini Dar, Mzee Small alisema ugonjwa huo uliomuanza tangu Mei, mwaka 2012,...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aungana na waombolezaji kwenye Msiba wa marehemu Mzee Said Ngamba “Mzee Small” Jijini Dar

16

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye Msiba wa msiba wa msanii maarufu wa filamu ya vichekesho hapa nchini,Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam jana Juni 9, 2014.

17

_1

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amejumuika na waombolezaji mbali mbali kwenye Msiba wa msanii maarufu wa filamu za vichekesho nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam jana.Kushoto ni Rais wa Chama cha Filamu nchini,Simon Mwakifwamba na...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWAONGOMA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KWENYE MSIBA WA MAREHEMU MZEE SAID NGAMBA "MZEE SMALL" JIJINI DAR LEO

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye Msiba wa msiba wa msanii maarufu wa filamu ya vichekesho hapa nchini,Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014. Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika dua wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii maarufu wa filamu vichekesho Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014. Rais Dkt Jakaya Mrisho...

 

11 years ago

GPL

MAZISHI YA MZEE SMALL

Mazishi ya gwiji la maigizo nchini, Said Ngamba 'Mzee Small' yaliyofanyika katika makaburi ya Tabata, Segerea jijini Dar Juni 9, 2014  na kuhudhuriwa na mamia ya watu. Awali Rais Jakaya Kikwete alifika nyumbani kwa marehemu,Tabata kutoa pole kwa familia ya Mzee…

 

11 years ago

GPL

HISTORIA YA MAREHEMU MZEE SMALL

Marehemu Mzee Small akiwa na mkewe Bi. Fatuma. Jina lake ni Said Ngamba maarufu kwa jina la Mzee Small (58). Amezaliwa mwaka 1955. Alikuwa msanii mkongwe wa vichekesho na maigizo hapa Bongo. Mzee Small (kushoto) akiwavunja mbavu JB, Mzee Mbizo na Richie. Mzee Small alipata elimu ya msingi katika Shule ya Mingumbi huko Kilwa mkoani Pwani. Mbali na kuwa mkongwe, Mzee Small kila ulipozungumza naye alikuwa na kawaida ya kutamba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani