Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video: Trailer ya filamu mpya ya Will Smith aliyoigiza kama daktari kutoka Nigeria, ‘Concussion’

Muigizaji wa Marekani, Will Smith ameigiza kama daktari (Dr. Omalu) kwenye filamu mpya ya Hollywood iitwayo ‘Concussion’. Movie hiyo inatokana na hadithi ya kweli ya maisha ya dr. Bennet Ifekandu Omalu wa Nigeria. Tazama kionjo cha filamu hiyo itakayotoka December 25, 2015. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Video: Trailer ya filamu mpya ya mwigizaji wa Nigeria Genevieve Nnaji — ‘Road to Yesterday’

Mwigizaji maarufu wa Nigeria, Genevieve Nnaji amecheza kwenye filamu mpya iitwayo ‘Road to Yesterday’, ikiwa ndio filamu yake ya kwanza ndani ya miaka miwili iliyopita. Kwenye filamu hiyo aliyocheza na muigizaji mpya Muingereza mwenye asili ya Nigeria aitwaye Oris Erhuerho, Genevieve ameigiza kama ‘Victoria Izu’ ambaye ni mke pamoja na mama. ‘Road to Yesterday’ ni […]

 

10 years ago

Bongo5

Video: Trailer ya mwisho ya filamu mpya ya James Bond ‘Spectre’

Hii ni trailer mpya na ya mwisho ya filamu mpya ya James Bond, ‘Spectre’ ambayo imetoka mtandaoni Oct.2. ‘Spectre’ inatarajiwa kuanza kuoneshwa kwenye majumba ya sinema ya Marekani Nov.6. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali […]

 

10 years ago

Bongo5

Music: Soundtrack ya filamu mpya ya James Bond iliyoimbwa na Sam Smith — ‘Writing’s On The Wall’

Soundtrack ya filamu mpya ya James Bond ‘Spectre’ imetoka. Ni wimbo ulioimbwa na Muingereza, Sam Smith – “Writing’s On the Wall”. Smith ameingia kwenye orodha ya wanamuziki waliowahi kutumika katika kutengeneza soundtrack kwenye filamu zilizopita za James Bond. Wengine ni Adele, Tina Turner, Paul McCartney, na Shirley Bassey. Spectre inatarajiwa kuanza kuoneshwa kwenye majukmba ya […]

 

10 years ago

Bongo5

Video: Trailer ya filamu ya Arnold Schwarzenegger ‘Terminator Genisys’

Arnold Schwarzenegger anarejea na ‘Terminator Genisys’. Filamu hiyo itatoka mwakani. Hii ni trailer yake rasmi ya kwanza.

 

11 years ago

Dewji Blog

Trailer: Filamu mpya ya Kiswahili iliyochezwa nchini Uholanzi kuingia mtaani hivi karibuni

swahili movie 1

Filamu mpya ya kiswahili iliyochezwa nchini Uholanzi chini ya Director mpya Hija Salehe.Filamu yenye mafunzo,ucheshi na vingi vihoja ndani ya wasanii wapya wenye mvuto na ujuzi mwingi ndani yake.tazama kibwagizo tu kidogo uhondo unakuja hivi karibu.Jina la filamu ni NIMPENDE NANI

movie swahili 2

Kutana na wasanii wenye makeke kama Omary Abbas, Khatib Mustapha, Nicolas Gabino, Mrembo anayekubalika Sonia Kasuka, Shamim Sudi, na wengine kibao ambao ni gumzo katika filamu hii mpya ya Kiswahili.

 

10 years ago

Bongo5

Davido aigiza kwa mara ya kwanza kwenye filamu mpya ya Nollywood, tazama Trailer

Tumezoea kuwaona wasanii wengi wa muziki wa Marekani wakishiriki pia kwenye filamu ama reality tv shows, kitu ambacho hakifanywi sana na wasanii wa Afrika. Staa wa Nigeria, David Adeleke a.k.a Davido ameamua kukionesha kipaji chake kingine mbali na muziki kwa kuigiza kwenye filamu mpya ya Nollywood iitwayo ‘John Zerebe’ ikiwa ndio mara yake ya kwanza […]

 

10 years ago

Bongo5

Video: Trailer ya documentary mpya ya ‘Maisha ya Bi Kidude’

Hii ni trailer ya documentary mpya ya maisha ya aliyekuwa mwanamuziki mkongwe wa taarabu asilia nchini, marehemu Fatuma Binti Baraka maarufu kama Bi Kidude, aliyefariki dunia miaka miwili iliyopita (April 17, 2013). Documentary hii imeandaliwa na mtengenezaji wa filamu Andy Jones kutoka Uingereza. Bi Kidude alifariki kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya sukari na uvimbe […]

 

10 years ago

Bongo5

Video: Trailer ya documentary mpya ya Nicki Minaj ‘My Time Again’

November 2010, Nicki Minaj alitokea kwenye documentary yake ya kwanza ya MTV iliyopewa jina, ‘Nicki Minaj: My Time Now’. Na sasa MTV wanarejea tena na documentary mpya ya rapper huyo iitwayo ‘Nicki Minaj: My Time Again.’ Tazama trailer yake hapo chini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani