Will Smith arudi rasmi kwenye muziki
NEW YORK, MAREKANI
NYOTA wa filamu nchini Marekani, Will Smith, anatarajia kurudi kwenye muziki baada ya kukaa kimya kwa zaidi ya miaka 10.
Msanii huyo alikuwa kimya mara baada ya kuachia albamu yake ya ‘Lost and Found’, aliyoiachia 2005 na kuingia
kwenye filamu na sasa amerudi katika muziki.
Tayari msanii huyo amemaliza baadhi ya video zake katika nyimbo alizotumia lugha ya Kiingereza na Kihispania.
“Nimekaa nje ya muziki kwa muda mrefu, lakini kwa sasa nimeamua kurudi tena kwa kuwa ni...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania24 Nov
Will Smith arudi kwenye muziki
LOS ANGELES, MAREKANI
MWIMBAJI na mcheza filamu mahiri nchini Marekani, Will Smith, amerudi kwenye muziki baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu.
Msanii huyo alikuwa kimya kwenye muziki huku akihamishia nguvu zake kwenye filamu, lakini wiki iliopita msanii huyo ameachiwa wimbo wake ambao unajulikana kwa jina la ‘Fiesta’.
Mara ya mwisho msanii huyo kuachia wimbo wake ilikuwa mwaka 2000, hivyo alikuwa kimya kwa miaka 15 sasa.
Hivi karibuni, msanii huyo alifanya shoo ya kujitambulisha kwamba...
9 years ago
Mtanzania28 Sep
Celine arudi kwenye muziki
Celine arudi kwenye muziki
LAS VEGAS, MAREKANI
BAADA ya Celine Dion kukaa kwa muda mrefu bila ya kufanya muziki kutokana na kumuuguza mume wake, Rene Angelil, sasa ameanza kazi ya muziki upya.
Celine alipanda jukwaani juzi huku mume wake akiwa pembeni na kabla ya kuimba aliwaambia mashabiki: ‘Nadhani kila mmoja anajua nini ninataka kukufanyia leo siku yangu rasmi.’
Hata hivyo, msanii huyo alijikuta akidondosha chozi kutokana na mapokezi aliyoyapata kutoka kwa mashabiki wake.
Baada ya...
10 years ago
CloudsFM17 Feb
Stara arudi kwenye muziki wa Bongo Fleva
“Nimeamua kurudi nilipotekea, najua mashabiki zangu wengi watakuwa wakikumbukua jinsi gani nilikuwa nafanya vizuri,” alisema Stara.
Alisema wimbo huo utaweza kuonyesha jinsi gani amezaliwa na...
9 years ago
Bongo526 Nov
Afande Sele ashauriwa aache siasa na arudi kwenye muziki
![Afande-Sele-nzuri_full](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/02/Afande-Sele-nzuri_full-200x128.jpg)
Baada ya kutangaza kuachana na muziki na kujikita zaidi kwenye kilimo na siasa, watu wa karibu na Afande Sele wamemshauri kutoachana na kitu anachokiweza zaidi – muziki.
Akizungumza na Bongo5 leo, Afande amesema bado anajifikiria kufanya hivyo lakini anapata wakati mgumu kutokana na siasa kumwingia kwenye damu.
“Sasa hivi kuna vitu vinaanza kunipa warning kuona jinsi siasa ilivyo, sasa hivi naenda mahakamani nina matatizo ya kesi lakini simuoni mtu. Kwahiyo ni hali ambayo inanipelekea...
9 years ago
Bongo506 Oct
Video: Will Smith kufanya ziara ya muziki ya dunia mwakani
9 years ago
Bongo516 Dec
Pasha arudi darasani kujifunza muziki
![12345887_1533819423602873_2031511668_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12345887_1533819423602873_2031511668_n-300x194.jpg)
Muimbaji wa R&B, Pasha ameamua kurudi shule ili kujifunza jinsi ya kutumia vifaa vya muziki.
Muimbaji huyo aliyeachia video ya wimbo ‘Mahaba Niue’ miezi michache iliyopita, ameambia Bongo5 kuwa ameamua kuingia darasani ili kutanua zaidi wigo wa muziki wake.
“Kuna center moja ipo huku Tabata ndio sehemu ambao nasoma. Najifunza kutumia vifaa vyote vya muziki kwa muda wa miezi sita,” amesema.
“Ni mafunzo ambayo nina imani yataniweka vizuri kimuziki kwa sababu sasa hivi muziki umebadilika kama...
11 years ago
Mwananchi07 Jan
Kapili arudi rasmi Bongomuvi
11 years ago
CloudsFM02 Jul
News:Dogo Janja arudi rasmi Tip Top Connection
Msanii wa Bongo Fleva,Dogo Janja ameAkifunguka kupitia XXL Clouds Fm Radio alisema kuwa ameona muziki wake hauendi sawa baada ya kuondoka kwenye kundi hilo ambapo sasa hivi yupo chini ya Meneja Babu Tale.rudi rasmi kwenye kundi lake la zamani Tip Top Conection baada ya kuzunguuka katika makundi tofauti tofauti.
10 years ago
Mtanzania06 May
Matusi yamuondoa Jaden Smith kwenye mitandao ya kijamii
BADI MCHOMOLO NA MTANDAO
MTOTO wa nguli wa filamu nchini Marekani, Will Smith ambaye ni mwanamuziki wa hip hop na filamu, Jaden Smith, ameamua kujiondoa kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kupokea ujumbe mbaya kutoka kwa mashabiki wake.
Msanii huyo aliyefikisha jumla ya mashabiki milioni tano katika akaunti yake ya Twitter, amesema sababu hiyo ndiyo iliyomtoa katika mtandao wa Twitter na sasa anajipanga kufunga kurasa zake katika mitandao mingine.
“Siyo lazima niendelee kutumia Twitter,...