Kapili arudi rasmi Bongomuvi
Baada ya kufanya kazi ya matangazo kwa muda mrefu sasa, mwigizaji aliyewahi kutamba katika filamu ya Safari, Kapili Boniventure ametangaza kurudi rasmi kwenye sanaa hiyo huku tayari akiwa ameshatengeneza filamu tatu kupitia kampuni ya 5 Effect Movie Ltd.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania06 Oct
Will Smith arudi rasmi kwenye muziki
NEW YORK, MAREKANI
NYOTA wa filamu nchini Marekani, Will Smith, anatarajia kurudi kwenye muziki baada ya kukaa kimya kwa zaidi ya miaka 10.
Msanii huyo alikuwa kimya mara baada ya kuachia albamu yake ya ‘Lost and Found’, aliyoiachia 2005 na kuingia
kwenye filamu na sasa amerudi katika muziki.
Tayari msanii huyo amemaliza baadhi ya video zake katika nyimbo alizotumia lugha ya Kiingereza na Kihispania.
“Nimekaa nje ya muziki kwa muda mrefu, lakini kwa sasa nimeamua kurudi tena kwa kuwa ni...
11 years ago
CloudsFM02 Jul
News:Dogo Janja arudi rasmi Tip Top Connection
Msanii wa Bongo Fleva,Dogo Janja ameAkifunguka kupitia XXL Clouds Fm Radio alisema kuwa ameona muziki wake hauendi sawa baada ya kuondoka kwenye kundi hilo ambapo sasa hivi yupo chini ya Meneja Babu Tale.rudi rasmi kwenye kundi lake la zamani Tip Top Conection baada ya kuzunguuka katika makundi tofauti tofauti.
10 years ago
GPLMASTAA BONGOMUVI WASUSIA HITIMA
9 years ago
Mwananchi21 Nov
Tunahitaji tume kumfahamu Samatta wa Bongomuvi?
10 years ago
Habarileo17 Jul
Lukuvi arudi jimboni
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi jana alikuwa miongoni mwa mawaziri waliorudi majimboni kuomba ridhaa ya kuwania kuteuliwa na CCM kuwania ubunge.
9 years ago
Mwananchi05 Nov
Gerrard arudi Liverpool
10 years ago
GPLLAVEDA ARUDI BBA
9 years ago
Habarileo24 Dec
Majabvi arudi kundini
MCHEZAJI Justice Majabvi wa Simba ameomba radhi kwa uongozi wa timu yake na tayari ameungana na wenzake kambini Shinyanga kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mwadui keshokutwa.