Majabvi arudi kundini
MCHEZAJI Justice Majabvi wa Simba ameomba radhi kwa uongozi wa timu yake na tayari ameungana na wenzake kambini Shinyanga kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mwadui keshokutwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/jU0fTRQJp_4/default.jpg)
11 years ago
Mwananchi03 Jul
Aveva amrudisha kundini Dewji
10 years ago
Mwananchi01 Sep
Yanga yamrudisha Bin Kleb kundini
9 years ago
Mtanzania22 Dec
Majabvi aiangukia Simba
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
MCHEZAJI wa kimataifa wa Simba, Justice Majabvi, ameuomba uongozi wa klabu hiyo kumpa nafasi nyingine ya kuendelea kuichezea timu hiyo katika mechi zijazo za Ligi Kuu Tanzania Bara.
Majabvi ambaye ni raia wa Zimbabwe alitishia kuondoka katika timu hiyo kwa madai kuwa uongozi umeshindwa kumtimizia mahitaji yake ya msingi.
Habari za kuaminika kutoka ndani ya klabu hiyo zililipasha MTANZANIA jana kuwa, Majabvi aliwapigia simu viongozi wa timu hiyo kuomba...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-rzWBhdGNh5c/VIiQwToWoTI/AAAAAAAG2YY/Fy1CwqWkT3Y/s72-c/unnamed%2B(17).jpg)
Maalim Hassan yahya Hussein afurahia kurudi kundini CCM
10 years ago
Habarileo14 Aug
Simba yaingia mkataba na Majabvi
KLABU ya Simba imemsainisha kiungo mkabaji wa kimataifa kutoka Zimbabwe, Justice Majabvi, mkataba wa miaka miwili wa kuichezea timu hiyo inayojiandaa kushiriki msimu ujao wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara.
10 years ago
Mtanzania10 Aug
Kerr awapa kazi Majabvi, Angban
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Dylan Kerr, ameridhishwa na viwango vya kiungo, Justice Majabvi raia wa Zimbabwe na kipa Muivory Coast, Vincent Angban, wanaosaka nafasi ya kusajiliwa na timu hiyo.
Mwingereza huyo amesema hayo baada ya kumalizika kwa mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya SC Villa ya Uganda kwenye sherehe za Simba Day na kushinda bao 1-0 juzi, lakini amewapa mtihani nyota hao akiwataka waonyeshe makubwa zaidi.
“Nimefurahishwa na baadhi ya...
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Simba wamshtukia Majabvi, wamkata mshahara
Kiungo wake mkabaji Mzimbabwe, Justice Majabvi.
Wilbert Molandi, Dar es Salaam
KUTISHIA kumtimua haikutosha, uongozi wa Simba umeamua kumkata mshahara wa mwezi huu kiungo wake mkabaji Mzimbabwe, Justice Majabvi.
Hiyo ni siku chache tangu kiungo huyo alipoujia juu uongozi wa timu hiyo akilalamikia kutotimiziwa mahitaji yake kwa mujibu wa mkataba tangu ajiunge na Simba, hasa suala la malazi.
Uongozi wa Simba ulikasirishwa na kitendo hicho na kuchukua uamuzi wa kumtimua nyota huyo mwenye...
10 years ago
Mwananchi06 Aug
Nyota Nibomana, Majabvi wamkuna kocha wa Simba