Tunahitaji tume kumfahamu Samatta wa Bongomuvi?
Labda Edo Kumwembe ana uwezo wa kumuelezea kwa undani zaidi, hata kama humfahamu japo jina; anaweza kukusaidia kuelewa kwanini Mbwana Samatta ni miongoni wa wanasoka mahiri kutoka Afrika. Angeanzia uwanjani, hapa angekuambia jinsi anavyolijua goli na anavyoufahamu udhaifu wa mabeki, kisha angekuja kwenye dhamira, nidhamu ya anachokifanya, malengo na mikakati yake aliyojiwekea kuelekea malengo hayo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima12 Sep
‘Mtoto apate haki ya kumfahamu baba’
MJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba, Ezekiel Oluoch, ametaka katiba mpya iweke kipengele cha haki ya mtoto kumfahamu baba yake mzazi. Akichangia mjadala wa jumla kuhusu ibara za sura za...
11 years ago
Mwananchi07 Jan
Kapili arudi rasmi Bongomuvi
11 years ago
GPLMASTAA BONGOMUVI WASUSIA HITIMA
10 years ago
Michuzi27 Feb
UTEUZI KATIKA TUME YA UTUMISHI WA UMMA NA TUME YA USULUHISHI NA UAMUZI (CMA)
Katika uteuzi huo, Rais amemteua Mhe. DKT. STEPHEN JAMES BWANA, Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma na BWANA EDRISSA R. MAVURA, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA), Bw. Mavura ni Naibu Katibu Mkuu Mstaafu.
Sambamba na uteuzi huu, Rais amewateua Makamishna katika...
10 years ago
Michuzi.jpg)
Tume ya Kurekebisha Sheria nchini Uganda Yaitembelea Tume ya Tanzania
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Dewji Blog29 Oct
Tamko kuhusu ushauri wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Tom Nyanduga akiongea na waandishi wa habari (hawako pichani) leo mchana makao makuu ya ofisi za Tume, mtaa wa Barack Obama jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mhe. Nyanduga akitoa tamko kuhusu ushauri wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.
Ushauri wa THBUB kwa Tume ya Uchaguzi Zbar.doc
10 years ago
Mzalendo Zanzibar01 Oct
CHADEMA Wazidi Kuikaba Koo Tume Ya Uchaguzi……Wasema Watatangaza Matokeo Ya Urais Kabla Ya Tume Kuyatangaza
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika Thursday, October 1, 2015 TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imebanwa mbavu ikitakiwa kutoa hadharani Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mujibu wa uandikishaji wa wapigakura ulivyofanyika nchi […]
The post CHADEMA Wazidi Kuikaba Koo Tume Ya Uchaguzi……Wasema Watatangaza Matokeo Ya Urais Kabla Ya Tume Kuyatangaza appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Mwananchi11 Oct
Makamba: Tunahitaji ‘udikteta’
11 years ago
Tanzania Daima03 Aug
Tunahitaji katiba ya maridhiano
KESHOKUTWA Bunge Maalum la Katiba, lililoahirishwa Aprili 16 mwaka huu, linatarajia kuendelea na vikao vyake bila uwepo wa wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). UKAWA walisusia vikao vya...