Lukuvi arudi jimboni
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi jana alikuwa miongoni mwa mawaziri waliorudi majimboni kuomba ridhaa ya kuwania kuteuliwa na CCM kuwania ubunge.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-j71gYvxL_YU/VaX_UOqG7rI/AAAAAAAHp04/3w0lk1xbEjY/s72-c/unnamed%2B%25286%2529.jpg)
nyalandu arudi jimboni kutetea kiti chake cha ubunge singida kaskazini
![](http://3.bp.blogspot.com/-j71gYvxL_YU/VaX_UOqG7rI/AAAAAAAHp04/3w0lk1xbEjY/s640/unnamed%2B%25286%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-uM1pXT79C9k/VaX_T-WKXbI/AAAAAAAHp00/i9MqSTZ15sA/s640/unnamed%2B%25287%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-7KbU1pnA5GM/VaX_T7bl5CI/AAAAAAAHp08/y9dDP36ub6A/s640/unnamed%2B%25288%2529.jpg)
10 years ago
Mtanzania25 May
Lukuvi apata mpinzani jimboni
NA RAYMOND MINJA, IRINGA
JOTO la uchaguzi limeendelea kupanda baada ya mtaalamu wa kilimo cha umwagiliaji kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), Mhandisi Sebastiani Kayoyo (39) kutangaza nia ya kuwani ubunge katika
Jimbo la Isimani kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Jimbo la Isimani linaongozwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi.
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutangaza nia yake juzi, Mhandisi Kayoyo alisema amepania kuhakikisha...
9 years ago
Mwananchi05 Nov
Gerrard arudi Liverpool
10 years ago
GPLLAVEDA ARUDI BBA
9 years ago
Habarileo24 Dec
Majabvi arudi kundini
MCHEZAJI Justice Majabvi wa Simba ameomba radhi kwa uongozi wa timu yake na tayari ameungana na wenzake kambini Shinyanga kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mwadui keshokutwa.
10 years ago
Bongo Movies15 Apr
Picha: Arudi Mzigoni
Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amerudi tena mbele ya kamera baada ya kuadimika kwa miezi kadhaa. Kupitia ukurasa wake mtandaoni, Lulu ame-share nasi picha akiwa yupo lokesheni akishoot filamu na kuandika kuwa amerudi kufanya kazi.
Mashabiki wengi wa filamu walionyesha ku-miss sana mwanadada huyu ambae kipajichake cha kuigiza niling’ara tangu utotoni, kwani ni takribani miezi saba imepita tangu kazi yake ya mwisho “MAPENZI YA MUNGU” ambapo moja kati ya washiriki katika...
9 years ago
Global Publishers30 Dec
Ray C arudi kuzimu!
Mrembo aliyewahi kutikisa kwenye ‘gemu’ la Bongo Fleva, Rehema Chalamilla ‘Ray C’.
Na Musa Mateja
KAMA ni kweli manenomaneno yanayozungumzwa mtaani kwamba, mrembo aliyewahi kutikisa kwenye ‘gemu’ la Bongo Fleva, Rehema Chalamilla ‘Ray C’, eti ameanza kubwia ‘unga’ (madawa ya kulevya) kama zamani, basi nyota huyo atakuwa anarudi ‘kuzimu’ ambako alishatoka miaka miwili nyuma, Risasi Jumatano linakupa zaidi.
Hata hivyo, kwa kuweka sawa mzani wa habari hii kama maadili ya uandishi yanavyotaka,...
10 years ago
BBCSwahili31 Dec
Rais wa Gambia arudi nyumbani