Kanye West amteua Pusha T kuwa rais wa lebo ya G.O.O.D. Music
Rapper Pusha T ameteuliwa kuwa rais wa lebo ya G.O.O.D. Music.
Uteuzi huo umefanywa na mwanzilishi wa lebo hiyo, Kanye West.
Kwa mujibu wa Billboard, uamuzi huo ulifanyika miezi minne iliyopita baada ya kupigiwa simu na Yeeyz.
“I was flying home and I had just got into my car at the airport,” alisema Pusha. “‘Ye had called me and he was like, ‘Tell me something. What do you think about being the president of G.O.O.D. Music?’ And I was like, ‘Well, what are the things that you’re looking...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo504 Jan
Video: Pusha T Ft Kanye West,A$AP Rocky, & The-Dream – M.P.A.
![pusha-t-mpa](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/pusha-t-mpa-300x194.jpg)
Rapper Pusha T amefungua mwaka 2016 na video mpya wimbo unaitwa “M.P.A.” amewashirikisha Kanye West, A$AP Rocky, & The-Dream. Wimbo huu upo kwenye album ya King Push — Darkest Before Dawn: The Prelude, iliyokamata namba 20 kwenye Billboard 200.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo520 Oct
Music: Kanye West — When I See It’ + ‘Say You Will (Remix)
9 years ago
Bongo501 Oct
Music: The Game Ft. Kanye West — Mula
10 years ago
Bongo530 Jan
Video: Kanye West: Ndoa na Kim imenifanya kuwa binadamu bora
10 years ago
Bongo513 Dec
Kanye West alikaa miaka minne bila kuwa simu ya mkononi!
10 years ago
Bongo509 May
Amber Rose amchana Kanye West kuwa huandikiwa nyimbo zake
10 years ago
Bongo526 Jan
New Music: Rihanna aachia wimbo mpya ‘Four Five Seconds’ Ft. Kanye West na Paul McCartney
9 years ago
Bongo507 Dec
Hili linaweza kuwa jina atakalopewa mtoto wa kiume wa Kanye West na Kim Kardashian
![Grand Opening of RYU Restaurant - Inside](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/042412-fashion-beauty-kim-kardashian-kanye-west-3-300x194.jpg)
Kanye West na Kim Kardashian wamejaaliwa mtoto wa kiume wikiendi iliyomalizika japo jina la mtoto bado halijafamika.
Hata hivyo kuna tetesi kuwa mtoto huyo ataitwa Robert, jina la baba yake Kim Kardashian ambaye ni marehemu kwa sasa.
Mtoto huyo alizaliwa kwenye hospitali ya Cedars-Sinai Medical Center ya Los Angeles kwenye wodi ya uzazi yenye gharama ya $4,000.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose...