Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kanye West alikaa miaka minne bila kuwa simu ya mkononi!

Wakati Kim Kardashian na Kanye West wanakutana kwa mara ya kwanza, Yeezy hakuwa na simu kwa miakA minne mfululizo. ‘Well, Kanye hakuwa na simu kwa miaka minne,” Kim aliliambia jarida la Paper. ‘Tulipoanza kuwa wapenzi ilikuwa ni kosa kama tulienda na simu zetu,” aliongeza staa huyo wa Keeping Up With The Kardashians. Hata hivyo hiyo […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Kanye West amteua Pusha T kuwa rais wa lebo ya G.O.O.D. Music

kanye-west-and-pusha-t-release-new-god-flow-in-full

Rapper Pusha T ameteuliwa kuwa rais wa lebo ya G.O.O.D. Music.

kanye-west-and-pusha-t-release-new-god-flow-in-full

Uteuzi huo umefanywa na mwanzilishi wa lebo hiyo, Kanye West.

Kwa mujibu wa Billboard, uamuzi huo ulifanyika miezi minne iliyopita baada ya kupigiwa simu na Yeeyz.

“I was flying home and I had just got into my car at the airport,” alisema Pusha. “‘Ye had called me and he was like, ‘Tell me something. What do you think about being the president of G.O.O.D. Music?’ And I was like, ‘Well, what are the things that you’re looking...

 

10 years ago

Bongo5

Video: Kanye West: Ndoa na Kim imenifanya kuwa binadamu bora

Kanye West amedai kuwa ndoa yake na Kim Kardashian imembadilisha kwa kiasi kikubwa. Akihojiwa kwenye The Ellen Show, Kanye alidai kuwa hivi sasa amejifunza kujizuia kukaa kimya na kwamba amekuwa ‘binadamu bora’ Akijibu swali la kama yeye na Kim wanataka kupata mtoto mwingine, Kanye alidai kuwa wanajaribu na kwamba idadi ya watoto atakayo Kim ndiyo […]

 

10 years ago

Bongo5

Amber Rose amchana Kanye West kuwa huandikiwa nyimbo zake

Amber Rose amemchana mpenzi wake wa zamani, Kanye West. Wakati wa show kwenye kiota cha Supperclub huko L.A., Rose aliongea maneno yaliyoashiria kuwa nyimbo za Kanye West huandikwa Travi$ Scott. “Stop playing n**gas I used to f**k,” Amber aliyekuwa amelewa alimwambia. “Why don’t we play the ni**a that writes the songs for the other ni**a—Travi$ […]

 

9 years ago

Bongo5

Hili linaweza kuwa jina atakalopewa mtoto wa kiume wa Kanye West na Kim Kardashian

Grand Opening of RYU Restaurant - Inside

Kanye West na Kim Kardashian wamejaaliwa mtoto wa kiume wikiendi iliyomalizika japo jina la mtoto bado halijafamika.

Grand Opening of RYU Restaurant - Inside

Hata hivyo kuna tetesi kuwa mtoto huyo ataitwa Robert, jina la baba yake Kim Kardashian ambaye ni marehemu kwa sasa.

2F166FE700000578-3348507-And_baby_makes_four_Kim_with_her_first_child_daughter_North_two_-m-28_1449435844411

Mtoto huyo alizaliwa kwenye hospitali ya Cedars-Sinai Medical Center ya Los Angeles kwenye wodi ya uzazi yenye gharama ya $4,000.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose...

 

11 years ago

Bongo5

Ndoto iliyotimia: Kanye West adai aliomba kumuoa Kim Kardashian miaka saba iliyopita

Kanye West na Kim Kardashian walifunga ndoa May 24 huko Florence, Italy lakini miaka mingi iliyopita Kanye alikuwa anamzimikia Kim japo hakufanikiwa kuwa naye. Akitumbuiza kwenye tamasha la Wireless Ijumaa hii jijini London, rapper huyo kama kawaida yake alisimamisha show na kuongea mambo mbalimbali likiwemo suala la ubaguzi kwenye fashion. Lakini pia Yeezus alizungumza kuhusu […]

 

9 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa Kim na Kanye West aitwa Saint West

Kim Kardashian West na Kanye West wamempa mtoto wao wa pili jina Saint West.

 

9 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA SIMU YA TIGO NA DTBi WAZINDUA HUDUMA YA KUREJESHA KUMBUKUMBU NA KUZUIA WIZI WA SIMU ZA MKONONI DAR ES SALAAM LEO

Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk.Binilith Mahenge (kulia), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kituo cha oparesheni  cha Kampuni ya MagilaTech, iliyotengeneza teknolojia ya tigo backup inayowezesha kurejesha kumbukumbu na kuzuia wizi wa simu za mkononi Dar es Salaam leo. Wanahabari na wadau wengine wakiwa kwenye uzinduzi huo.Ofisa Mtendaji Mkuu wa DTBi, Mhandisi George Mulamula (kulia), akizungumza katika uzinduzi huo.

Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez (kulia), akitoa hutuba...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNIYA SIMU ZA MKONONI ZA HUAWEI WAZINDUA SIMU MPYA AINA YA HUAWEI P8

 Meneja  Mkazi wa kampuni  ya Simu za mkononi,  Peter  Zhang akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu  uzinduzi wa simu mpya ya kisasa ya Huawei P8 katika Ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regence  leo Jiji Dar es Salaam. Mkurungenzi wa Masoko  wa Huawei Tanzania Mamson Mjwala  akizungumza juu ya ubora wa betri ya simu hiyo aina ya Huawei P8 kwamba mfumo wa simu imezingatia matumizi ya muda mrefu mtumiaji anaweza kutumia simu kwa  siku nzima bila kuiongezea umeme huku kwa wale watumiaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani