Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Music: Rihanna aachia wimbo mpya ‘Four Five Seconds’ Ft. Kanye West na Paul McCartney

Rihanna ameachia wimbo mpya unaoitwa “FourFiveSeconds”, ambao kawashirikisha rapper Kanye West pamoja na Paul McCartney. Wimbo huo ameuweka kwenye website yake rasmi rihannanow.com. Riri yuko kwenye matayarisho ya album yake mpya iatakayokuwa ya nane ambayo itakuwa inafuata baada ya “Unapologetic” aliyoitoa 2012.

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

New Video: Rihanna Ft Kanye West & Paul McCartney – Four Five Seconds

Video mpya ya Rihanna akiwashirikisha Kanye West na Paul McCartney wimbo unaitwa “Four Five Seconds”

 

9 years ago

Bongo5

New Music: Kanye West aachia nyimbo 2 mpya kimya kimya – When I See I & Say You Will

Wakati mashabiki wakisubiri kwa hamu album yake mpya ‘Swish’, rapper Kanye West ameachia nyimbo mbili mpya kimya kimya kupitia akaunti yake ya SoundCloud. Wimbo wa kwanza kati ya hizo mbili ni remix ya mwimbaji wa Canada, Abel Tesfay a.k.a Weeknd “Tell Your Friends,” ambayo Kanye ameiita “When I See It.” Kwenye wimbo huu ameimba kwa […]

 

10 years ago

Bongo5

Kanye West ndiye Executive producer wa albam mpya ya Rihanna ‘R8’ iliyoko jikoni

Miongoni mwa albam zinazosubiriwa kwa hamu mwaka huu ni pamoja na albam ya nane ya Rihanna “R8” ambayo iko jikoni. Kanye West ameweka wazi kuwa yeye ndiye Executive producer wa album hiyo ambayo itatoka hivi karibuni. Habari hiyo ameitoa wakati akizungumza na Ryan Seacrest kwenye Red carpet ya tuzo za Grammy zilizotolewa Jumapili iliyopita. Tayari […]

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Ne-Yo aachia wimbo mpya ‘Make It Easy’

Muimbaji wa R&B kutoka Marekani, Shaffer Chimere Smith maarufu kwa jina la Ne-Yo, ametoa wimbo mwingine kutoka kwenye album yake ijayo “Non-Fiction”. Wimbo mpya uliotoka Jan.7 unaitwa “Make It Easy”. “Non-Fiction” ni album ya sita ya muimbaji huyo ambayo mwanzo ilipangwa kutoka 2014, lakini sasa inatarajiwa kutoka Jan.27.

 

9 years ago

Bongo5

Music: K.O aachia wimbo mpya ‘Ding Dong’ kutoka kwenye album yake

K.O

Rapper wa Afrika Kusini K.O aka Cashtime ameachia wimbno mpya ‘Ding Dong’ kutoka kwenye album yake iitwayo ‘Skhanda Republic’.

K.O

K.O alisema video ya wimbo huu anategemea kuiachia mwishoni mwa mwezi huu.

Miezi michache iliyopita K.O ambaye amewahi kushirikishwa kwenye wimbo wa Vanessa Mdee ‘ No Body But Me’ alikuja Tanzania kufanya media tour.

Ding Dong | tayotv

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose...

 

9 years ago

Bongo5

New Music: Janet Jackson aachia wimbo mpya aliomshirikisha Missy Elliott — Burn It Up

Ikiwa imebaki wiki moja kabla album yake mpya ‘Unbreakable’ haijatoka rasmi Octoba 2, Janet Jackson ameachia single nyingine – Burn It Up. Katika single hiyo JJ kamshirikisha rapper mkongwe wa kike Missy Elliott. Janet aliwahi kutease wimbo huu alipokuwa akizindua ziara yake hivi karibuni. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na […]

 

9 years ago

Bongo5

Music: Janet Jackson aachia wimbo mpya unaobeba album yake ijayo ‘Unbreakable’

Janet Jackon ameendelea kuwaonjesha mashabiki wake kile kitakachopatikana katika album yake mpya kwa kuachia wimbo uliobeba album hiyo. Hii ni single ya tatu kuachia kutoka kwenye album hiyo ambayo imefata baada ya ‘No Sleep’ aliyomshirikisha J.Cole. Album ya ‘Unbreakable’ imepangwa kutoka October 2, 2015 Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani