Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kanye West ndiye Executive producer wa albam mpya ya Rihanna ‘R8’ iliyoko jikoni

Miongoni mwa albam zinazosubiriwa kwa hamu mwaka huu ni pamoja na albam ya nane ya Rihanna “R8” ambayo iko jikoni. Kanye West ameweka wazi kuwa yeye ndiye Executive producer wa album hiyo ambayo itatoka hivi karibuni. Habari hiyo ameitoa wakati akizungumza na Ryan Seacrest kwenye Red carpet ya tuzo za Grammy zilizotolewa Jumapili iliyopita. Tayari […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

New Music: Rihanna aachia wimbo mpya ‘Four Five Seconds’ Ft. Kanye West na Paul McCartney

Rihanna ameachia wimbo mpya unaoitwa “FourFiveSeconds”, ambao kawashirikisha rapper Kanye West pamoja na Paul McCartney. Wimbo huo ameuweka kwenye website yake rasmi rihannanow.com. Riri yuko kwenye matayarisho ya album yake mpya iatakayokuwa ya nane ambayo itakuwa inafuata baada ya “Unapologetic” aliyoitoa 2012.

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Rihanna Ft Kanye West & Paul McCartney – Four Five Seconds

Video mpya ya Rihanna akiwashirikisha Kanye West na Paul McCartney wimbo unaitwa “Four Five Seconds”

 

9 years ago

Bongo5

Rihanna amuunga mkono Kanye West aliyetangaza kuwania urais wa Marekani 2020

Kanye West alitangaza uamuzi mkubwa kwenye VMAs weekend iliyopita – kuwania urais wa Marekani 2020. Haijalishi kama ataendelea na uamuzi huo, lakini tayari rapper huyo ameshapata support kutoka kwa mastaa wengine akiwemo Rihanna. Kwenye interview na ET, muimbaji huyo wa “Bitch Better Have My Money”alimuunga mkono Yeezy. “I mean people are voting for [Donald] Trump,” […]

 

9 years ago

Bongo5

Ripoti: Album mpya ya Kanye West ‘Swish’ kutoka ‘soon’

screen-shot-2015-04-16-at-8-54-18-amKanye West ataachia album yake mpya na ya saba, ‘SWISH’ “very soon”, kwa mujibu wa mshkaji wake, Travis Scott. Awali West alitangaza ujio wa album hiyo March mwaka huu kwa jina ‘So Help Me God’. Jina lake lilibadilishwa kuwa ‘SWISH’ mwezi May. Akiongea kwenye Beats 1 Ijumaa, Scott alisema, “That Ye album is nothing to […]

 

9 years ago

Bongo5

Kanye West achimba mkwara, hataki kuulizwa chochote kuhusu album mpya

kanye-west

Baba Saint, Kanye West amecharuka na kupiga mkwara mzito kuwa hataki kuulizwa maswali kuhusu album yake mpya iitwayo ‘Swish’ ambayo amedai yuko anaimalizia.

kanye-west

Kupitia Twitter Kanye aliandika:

I’m finishing my album and my next collection…

— KANYE WEST (@kanyewest) December 13, 2015

no offense to anyone… I’m asking everyone DON’T ASK ME FOR ANYTHING TILL AFTER I’M FINISHED WITH MY ALBUM

— KANYE WEST (@kanyewest) December 13, 2015

Tweet hizo zinaondoa kabisa matumaini ya album hiyo ya saba ya...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa Kim na Kanye West aitwa Saint West

Kim Kardashian West na Kanye West wamempa mtoto wao wa pili jina Saint West.

 

9 years ago

Bongo5

New Music: Kanye West aachia nyimbo 2 mpya kimya kimya – When I See I & Say You Will

Wakati mashabiki wakisubiri kwa hamu album yake mpya ‘Swish’, rapper Kanye West ameachia nyimbo mbili mpya kimya kimya kupitia akaunti yake ya SoundCloud. Wimbo wa kwanza kati ya hizo mbili ni remix ya mwimbaji wa Canada, Abel Tesfay a.k.a Weeknd “Tell Your Friends,” ambayo Kanye ameiita “When I See It.” Kwenye wimbo huu ameimba kwa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani