Ripoti: Album mpya ya Kanye West ‘Swish’ kutoka ‘soon’
Kanye West ataachia album yake mpya na ya saba, ‘SWISH’ “very soon”, kwa mujibu wa mshkaji wake, Travis Scott. Awali West alitangaza ujio wa album hiyo March mwaka huu kwa jina ‘So Help Me God’. Jina lake lilibadilishwa kuwa ‘SWISH’ mwezi May. Akiongea kwenye Beats 1 Ijumaa, Scott alisema, “That Ye album is nothing to […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo514 Dec
Kanye West achimba mkwara, hataki kuulizwa chochote kuhusu album mpya
![kanye-west](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/09/kanye-west-300x194.jpg)
Baba Saint, Kanye West amecharuka na kupiga mkwara mzito kuwa hataki kuulizwa maswali kuhusu album yake mpya iitwayo ‘Swish’ ambayo amedai yuko anaimalizia.
Kupitia Twitter Kanye aliandika:
I’m finishing my album and my next collection…
— KANYE WEST (@kanyewest) December 13, 2015
no offense to anyone… I’m asking everyone DON’T ASK ME FOR ANYTHING TILL AFTER I’M FINISHED WITH MY ALBUM
— KANYE WEST (@kanyewest) December 13, 2015
Tweet hizo zinaondoa kabisa matumaini ya album hiyo ya saba ya...
10 years ago
Africanjam.Com![](http://4.bp.blogspot.com/-Z3yQUxyYcl8/Va-3G5gxHKI/AAAAAAAACwQ/1CZX_W-pEU4/s72-c/rs_1024x759-140526212702-1024-3kim-kardashian-kanye-west-wedding.ls.52614_copy.jpg)
PHOTOS: KIM & KANYE WEST WEDDING ALBUM
![](http://4.bp.blogspot.com/-Z3yQUxyYcl8/Va-3G5gxHKI/AAAAAAAACwQ/1CZX_W-pEU4/s640/rs_1024x759-140526212702-1024-3kim-kardashian-kanye-west-wedding.ls.52614_copy.jpg)
Kim Kardashian and Kanye West tied the knot at the Forte di Belvedere in Florence, Italy, back in May 2014. To commemorate the once-in-a-lifetime event, Kim took to Instagram to share some never-before-seen snaps from the day, including new shots from the photo booth and the carriage ride at Versailles in France. One year ago, the bride wore a Givenchy Haute Couture gown and was walked down the aisle by her stepfather, Bruce Jenner, while the rest of her family — including sisters Khloé and...
9 years ago
MillardAyo03 Jan
Rapper mtanzania aliyewahi kushirikishwa na Kanye West kuitoa hii yake album sokoni…
Ni headlines za rapper aishiye Marekani ‘Minnesota’ mwenye asili ya Tanzania ambaye aliwahi kushirikishwa na Kanye West kwenye ngoma iitwayo ‘All Day’. Good news ninayotaka kushea na wewe ni kwamba mtanzania huyo hivi karibuni anatarajia kuachia album yake mpya iitwayo ‘NORTHERN LIGHTS’ tarehe 6 mwezi January tukae mkao wa kuipokea. My new project NORTHERN […]
The post Rapper mtanzania aliyewahi kushirikishwa na Kanye West kuitoa hii yake album sokoni… appeared first on...
10 years ago
Bongo510 Feb
Kanye West ndiye Executive producer wa albam mpya ya Rihanna ‘R8’ iliyoko jikoni
10 years ago
Bongo526 Jan
New Music: Rihanna aachia wimbo mpya ‘Four Five Seconds’ Ft. Kanye West na Paul McCartney
10 years ago
Bongo502 Jan
Akon aachia nyimbo 5 mpya kwa mpigo kutoka kwenye album mpya ‘Stadium’
9 years ago
BBCSwahili08 Dec
Mtoto wa Kim na Kanye West aitwa Saint West
9 years ago
Bongo520 Oct
New Music: Kanye West aachia nyimbo 2 mpya kimya kimya – When I See I & Say You Will
9 years ago
Bongo503 Oct
Justin Bieber atangaza jina la album mpya na tarehe ya kutoka