Wasanii wajifunze kuimba muziki wa live kwendana na mabadiliko — Barnaba
Mwimbaji na mwandishi mahiri wa nyimbo, Barnaba amewashauri wasanii wenzake kujifunza kutumbuiza muziki wa live wanapokuwa kwenye majukwaa. Barnaba anafahamika kwa uwezo wake mkubwa wa kutumia vyombo mbalimbali vya muziki na ni miongoni mwa wasanii waliolelewa na kukuzwa na nyumba ya vipaji Tanzania – THT. Akizungumza kupitia Planet Bongo ya EA Radio, Barnaba amesema kutokana […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM14 Apr
Dk Fenella: Wasanii jifunzeni muziki wa live
Dk Fenella alitoa kauli hiyo usiku wa juzi, wakati akifunga shindano la Club Raha Leo, lililoanza Januari 17, mwaka huu, likiwa na wasanii 60 na kukamilika juzi, likiwa na wasanii 21 ambapo 10 kati yao walipata zawadi ya fedha.
Alisema muziki wa live una wigo mpana kwa mwanamuziki na watu wanaomzunguka, kwa kuwa kupitia yeye...
10 years ago
Mtanzania14 Apr
Dk Fenella: Wasanii jifunzeni muziki wa live
Na Festo Polea
WAZIRI wa Habari, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara, amewataka wasanii mbalimbali nchini wajifunze muziki wa moja kwa moja ‘live’ ili wajijenge kimuziki.
Dk Fenella alitoa kauli hiyo usiku wa juzi, wakati akifunga shindano la Club Raha Leo, lililoanza Januari 17, mwaka huu, likiwa na wasanii 60 na kukamilika juzi, likiwa na wasanii 21 ambapo 10 kati yao walipata zawadi ya fedha.
Alisema muziki wa live una wigo mpana kwa mwanamuziki na watu wanaomzunguka, kwa kuwa...
9 years ago
Bongo Movies16 Nov
Wema Sepetu Kanihamasisha Kuimba Muziki - Leyla
Msanii wa kike ambaye ameingia kwenye muziki wa Bongo Flava na kuachia wimbo wake mmoja wenye mahadhi ya Reggae Leyla Walden, amesema msanii Wema Sepetu ndiye aliyemuhamasisha kuingia rasmi kwenye muziki.
Leyla ameyasema hayo alipokuwa akiongea na East Africa Radio, na kueleza kuwa baada ya Wema Sepetu kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagram kuwa binti huyo ana kipaji, ilikuwa ni msaada mkubwa kwake na kuamini kuwa anaweza kufanya kitu.
"Nimekuwa nikiimba muda mrefu tangia nipo mdogo, it...
10 years ago
CloudsFM23 Dec
KUMBE LINEX ALIKUJA DAR KUFANYA MUZIKI WA HIPHOP MWISHO AKAISHIA KUIMBA
STAA wa Bongo Fleva,Linex Sunday Mjeda amesema mashairi ya ngoma zake yana ufundi sana kama wanavyofanya watunzi wa ngoma za hiphop na yeye alisafiri kutoka mkoani Kigoma kuja Dar Es Salaam kama rapa japokuwa ngoma ya kwanza iliyomtambulisha ilikuwa ya kuimba, ya Mama Halima aliyoitoa mwaka 2010 na 2011.
Linex anafunguka ilikuaje na kina nani walimshauri kuimba.
11 years ago
Mwananchi14 Jun
Ally Kiba: Aeleza mambo matatu yaliyomsimamisha kuimba muziki kwa miaka mitatu
9 years ago
Bongo523 Oct
Barnaba aanzisha label yake ya muziki, ‘High Table’
10 years ago
Bongo516 Mar
Wasanii wa kuimba hatushirikishani kwasababu kila mmoja anamtegea mwenzie amuanze — Rich Mavoko
9 years ago
Bongo530 Sep
Fid Q asema ataendelea kuimba live band ili kuboresha show za Hip Hop