Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUMBE LINEX ALIKUJA DAR KUFANYA MUZIKI WA HIPHOP MWISHO AKAISHIA KUIMBA

STAA wa Bongo Fleva,Linex Sunday Mjeda amesema mashairi ya ngoma zake yana ufundi sana kama wanavyofanya watunzi wa ngoma za hiphop na yeye alisafiri kutoka mkoani Kigoma kuja Dar Es Salaam kama rapa japokuwa ngoma ya kwanza iliyomtambulisha ilikuwa ya kuimba, ya Mama Halima aliyoitoa mwaka 2010 na 2011.Linex anafunguka ilikuaje na kina nani walimshauri kuimba.

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAD ICE MKONGWE WA MUZIKI ANAYEVUTIWA NA LINEX

Stori: Deogratius Mongela MMOJA wa wasanii wa muda mrefu kunako Bongo Fleva, Ahmed Mohamed Kakoyi ‘Mad Ice’, ambaye kwa sasa anafanya muziki wake kimataifa zaidi, amesema anavutiwa na wasanii wa nyumbani, lakini anasikitika kwamba wengi wao wanaiga muziki wa Nigeria. Msanii wa muda mrefu kunako Bongo Fleva, Ahmed Mohamed Kakoyi ‘Mad Ice’, Katika mahojiano maalum yaliyofanyika ofisini kwake, Mikocheni...

 

9 years ago

Bongo Movies

Wema Sepetu Kanihamasisha Kuimba Muziki - Leyla

Msanii wa kike ambaye ameingia kwenye muziki wa Bongo Flava na kuachia wimbo wake mmoja wenye mahadhi ya Reggae Leyla Walden, amesema msanii Wema Sepetu ndiye aliyemuhamasisha kuingia rasmi kwenye muziki.

Leyla ameyasema hayo alipokuwa akiongea na East Africa Radio, na kueleza kuwa baada ya Wema Sepetu kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagram kuwa binti huyo ana kipaji, ilikuwa ni msaada mkubwa kwake na kuamini kuwa anaweza kufanya kitu.

"Nimekuwa nikiimba muda mrefu tangia nipo mdogo, it...

 

9 years ago

Bongo5

Wasanii wajifunze kuimba muziki wa live kwendana na mabadiliko — Barnaba

Mwimbaji na mwandishi mahiri wa nyimbo, Barnaba amewashauri wasanii wenzake kujifunza kutumbuiza muziki wa live wanapokuwa kwenye majukwaa. Barnaba anafahamika kwa uwezo wake mkubwa wa kutumia vyombo mbalimbali vya muziki na ni miongoni mwa wasanii waliolelewa na kukuzwa na nyumba ya vipaji Tanzania – THT. Akizungumza kupitia Planet Bongo ya EA Radio, Barnaba amesema kutokana […]

 

11 years ago

Mwananchi

Ally Kiba: Aeleza mambo matatu yaliyomsimamisha kuimba muziki kwa miaka mitatu

Kwa muda mrefu wafuasi wa mwanamuziki Ally Salehe Kiba maarufu Alikiba, wamekuwa wakijiuliza sababu zilizomfanya mwimbaji huyo kukaa kando ya muziki kwa muda mrefu.

 

9 years ago

Bongo5

Una kipaji cha kuimba? Unaweza kushinda zawadi kibao kutoka #TecnoOwnTheStage kwa kufanya hivi

12356592_764354003692580_994120953_n

Je una kipaji cha kuimba? Unahisi unaweza kuwafunika washiriki wa shindano la Tecno Own The Stage?

Basi una nafasi ya kushinda zawadi kibao kutoka Tecno.

Unachotakiwa kufanya ni kuupload video ya sekunde 15 ya wimbo alioimba mshiriki yeyote na kuipost kwenye ukurasa wa Facebook wa TECNO Own The Stage.

Video yako ikipata likes nyingi utashinda zawadi kila wiki.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose...

 

10 years ago

CloudsFM

Kumbe Dully alipata taarifa za kifo cha baba yake akijiandaa kupanda stejini kufanya shoo

Habari zinasema kuwa msanii wa Bongo Fleva,Dully Sykes alipata taarifa za msiba wa baba yake wakati akijiandaa kupanda stejini kwenye shoo moja iliyofanyika mwishoni mwa wiki hii maeneo ya Mbezi Luis,jijini Dar.

Kwa mujibu wa muandaaji wa shoo hiyo aitwaye Ney Steve alipost picha kwenye mtandao wa Instagram akimbembeleza Dully baada ya kupata taarifa hizo hivyo kushinda kupanda jukwaani. Picha hiyo iliambatana na maneno haya.. ney_steve Wakat unapanga lako Mungu nae anapanga lake.....Leo...

 

11 years ago

GPL

LINEX AKIPAGAWISHA MASHABIKI DAR LIVE

Staa wa muziki wa kizaki kipya, Linex…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani