Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Fenella: Wasanii jifunzeni muziki wa live

Dk. Fenella Mukangara, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na MichezoNa Festo Polea

WAZIRI wa Habari, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara, amewataka wasanii mbalimbali nchini wajifunze muziki wa moja kwa moja ‘live’ ili wajijenge kimuziki.

Dk Fenella alitoa kauli hiyo usiku wa juzi, wakati akifunga shindano la Club Raha Leo, lililoanza Januari 17, mwaka huu, likiwa na wasanii 60 na kukamilika juzi, likiwa na wasanii 21 ambapo 10 kati yao walipata zawadi ya fedha.

Alisema muziki wa live una wigo mpana kwa mwanamuziki na watu wanaomzunguka, kwa kuwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

Dk Fenella: Wasanii jifunzeni muziki wa live

WAZIRI wa Habari, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara, amewataka wasanii mbalimbali nchini wajifunze muziki wa moja kwa moja ‘live’ ili wajijenge kimuziki.
Dk Fenella alitoa kauli hiyo usiku wa juzi, wakati akifunga shindano la Club Raha Leo, lililoanza Januari 17, mwaka huu, likiwa na wasanii 60 na kukamilika juzi, likiwa na wasanii 21 ambapo 10 kati yao walipata zawadi ya fedha.

Alisema muziki wa live una wigo mpana kwa mwanamuziki na watu wanaomzunguka, kwa kuwa kupitia yeye...

 

9 years ago

Bongo5

Wasanii wajifunze kuimba muziki wa live kwendana na mabadiliko — Barnaba

Mwimbaji na mwandishi mahiri wa nyimbo, Barnaba amewashauri wasanii wenzake kujifunza kutumbuiza muziki wa live wanapokuwa kwenye majukwaa. Barnaba anafahamika kwa uwezo wake mkubwa wa kutumia vyombo mbalimbali vya muziki na ni miongoni mwa wasanii waliolelewa na kukuzwa na nyumba ya vipaji Tanzania – THT. Akizungumza kupitia Planet Bongo ya EA Radio, Barnaba amesema kutokana […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Fenella akutana na Wasanii Nchini

Hotuba Ya Waziri Wa Habari by moblog

1

Waziri wa Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akimueleza jambo Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. Francis Michael wakati wa mkutano na wasanii uliofanyika katika ukumbi wa uwanja mpya wa Taifa jana Jijini Dar es Salaam.

2

Mkurugenzi Idara ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo Prof. Herman Mwansoko akiongea na wasanii nchini na kuwaeleza kuhusu umuhimu wa sekta hiyo kushiriki kikamilifu...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Fenella akutana na wasanii nchini

Waziri wa Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akimueleza jambo Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. Francis Michael wakati wa mkutano na wasanii uliofanyika katika ukumbi wa uwanja mpya wa Taifa leo Jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi Idara ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo Prof. Herman Mwansoko akiongea na wasanii nchini na kuwaeleza kuhusu umuhimu wa sekta hiyo kushiriki kikamilifu katika masuala ya kitaifa hasa katika kipindi...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI FENELLA MUKANGARA AWATAKA WASANII WAIELIMISHE JAMII KUHUSU KATIBA MPYA

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Fenella Mukangara akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Baadhi ya wadau kutoka sekta mbalimbali za wizara hiyo.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Best Records kuwapa semina wasanii wa muziki

MKURUGENZI wa studio ya Best Records iliyopo jijini Dar es Salaam, Benjamin Nzogu, amesema wanakusudia kuanza kutoa semina kwa wasanii wote wanaofika kurekodi nyimbo zao kwao, hasa kwa wale wanaoonekana...

 

10 years ago

Michuzi

TUZO ZA WASANII BORA WA MUZIKI WA ZANZIBAR MWAKA 2015

Mkurugenzi wa Biashara Zanzibar Nd. Mohamed Baucha wa kulia akimkabidhi Tunzo ya Video bora ya mwaka muziki wa kizazi kipya Nassir Hassan (Vanila) mara baada ya kuibuka mshindi, tunzo hizo zimeandaliwa na Kampuni ya Zanzibar Media Corporation LTD katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Salama Hall  Bwawani Mjini Zanzibar. Mwanamitindo marufu wa Zanzibar Farouk Abdillahi akimkabidhi Tunzo ya Video bora mwaka ya Taraab Bi. Saada Nassor Meneja wa Zenji Entertainment Seif Moh'd (kushoto) akimkabidhi...

 

10 years ago

Mtanzania

Gharama za muziki kichocheo cha mapenzi kwa wasanii

vanessa...NA NYEMO MALECELA
VANESSA Mdee ambaye ameutambulisha rasmi wimbo wake mpya wa ‘No body but me’, ameweka wazi kwamba kushindwa kumudu gharama za uandaaji wa video, muziki bora kumekuwa sababu kubwa kwa wasanii wa kike kujiingiza katika mapenzi na watayarishaji wa muziki.
Vanessa alitoa siri hiyo juzi alipotembelea ofisi za New Habari (2006) Ltd inayochapisha magazeti ya Mtanzania, Bingwa, Dimba, Rai na The African.
Alisema wasanii wengi wa kike wanajikuta wanahitaji fedha kwa ajili ya...

 

10 years ago

Vijimambo

WASANII WA MUZIKI WA BONGO FLAVOUR WAIKACHA SEMINA MUHIMU YA TCRA

 Nick wa Pili na G-Nako walihudhuria semina hiyoRapper Nick wa Pili ambaye ni mmoja ya wasanii waliolikwa na mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA kwenye semina inayohusu masuala ya uhalifu wa mtandaoni Alhamis hii, ameshangazwa na muitikio hafifu wa wasanii wenzake.Viti vitupu!
Nick amesema kati ya wasanii 70 waliokuwa wamealikwa kwenye semina hiyo, ni chini ya wasanii watano waliohudhuria.
“Tupo katika seminar ya wasanii wa bongo fleva iliyoandaliwa na TCRA….imeuzuriwa na viongozi wa juu na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani