Bayern na Barcelona,watinga Nusu Fainali
Klabu za Bayern Myunik ya Ujerumani na Barcelona ya Hispania zimetinga nusu Fainali katika ligi ya Mabingwa barani Ulaya.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLBAYERN MUNICH, BARCELONA ZATINGA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA
Wachezaji wa Bayern Munich wakishangilia ushindi wao dhidi FC Porto jana. Neymar (juu) akishangilia na Mbrazil mwenzake Dani Alves baada ya kufunga bao la pili jana. Robert Lewandowski akiifungia Bayern bao la tatu dakika ya 27.…
10 years ago
GPLBAYERN MUNICH KUKWAANA NA BARCELONA KATIKA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO
MECHI:Â Â Â Bayern Munich vs Barcelona
LIGI:Â Â Â Â Â Ligi ya Mabingwa Ulaya
HATUA:Â Â Nusu Fainali
MUDA:Â Â Â Saa 3:45 usiku
UWANJA: Allianz Arena
10 years ago
BBCSwahili04 Sep
Djokovic; Serena watinga nusu fainali.
Novak Djokovic na Serena William wametinga nusu fainali ya michuano ya tennis ya US Open
11 years ago
BBCSwahili11 Aug
Setif,TP Mazembe watinga nusu fainali
Michunao ya kuwania kombe la klabu bingwa barani Afrika sawa na CS Sfaxien ya Tunisia
11 years ago
GPLZAMBIA NAO WATINGA NUSU FAINALI CHALENJI
Wachezaji wa Zambia wakishangilia ushindi. Timu ya Zambia nayo imefanikiwa kutinga nusu fainali michuano ya Kombe la Chalenji inayoendelea nchini Kenya baada ya kuiondoa timu ya Burundi kwa penalti 4-3 muda mfupi uliopita! Mechi hiyo ilimalizika 0-0 katika muda wa kawaida wa dakika 90.
11 years ago
Michuzi29 Jul
KAGASHEKI CUP 2014 - KAGONDO FC WATINGA NUSU FAINALI KWA KUIFUNGA IJUGANYONDO KWA MIKWAJU YA PENATI 4-3
Wachezaji wa Timu ya Kagondo Fc wakimpongeza mchezaji wao aliyewapa ushindi wa kwenda hatua ya Nusu fainali Abdallatifu Khamis juu kwa juu.
Kufungwa kubaya!!! Wachezaji wa Timu ya Ijuganyondo wakitoka Uwanjani wakiwa hawana hamu. Kwa picha zaidi na Faustine Ruta BOFYA HAPA
Kufungwa kubaya!!! Wachezaji wa Timu ya Ijuganyondo wakitoka Uwanjani wakiwa hawana hamu. Kwa picha zaidi na Faustine Ruta BOFYA HAPA
11 years ago
GPLWATOTO 15 WATINGA FAINALI ZA SHINDANO LA "MO KIDS GOT TALENT 2013", FAINALI KUFANYIKA LEO JIONI LEDGER PLAZA - BAHARI BEACH
Lango kuu la kuingilia kwenye Hoteli ya Ledger Plaza Bahari Beach jijini Dar panapofanyika shindano kali la kusaka kipaji cha SUPA STAA wa watoto na vijana! la "MO Kids Got Talent 2013" Chief Judge wa Shindano la vipaji vya watoto na vijana wadogo la “MO Kids Got Talentâ€, Salma Mziray, akitoa maoni yake kwa baadhi ya washiriki walioingia semi finals za shindano hilo linalofanyika kwenye hotel ya Ledger Plaza...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania