Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BBC yazindua ofisi mpya Dar es Salaam

Idhaa ya kiswahili ya BBC imezindua rasmi studio zake mjini Dar es Salaam kwa mbwe mbwe na haiba kuu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

BBC yafungua ofisi Dar es Salaam

SHIRIKA la Utangazaji la Uingereza, kupitia Idhaa ya Kiswahili imefungua ofisi zake hapa nchini zitakazotumika kuendesha shughuli zake mbalimbali kikiwemo kipindi cha Amka na BBC pamoja na kuendesha tovuti ya BBC Swahili.

 

9 years ago

Michuzi

BANKI YA BARCLAYS WAZINDUA OFISI MPYA JIJINI DAR ES SALAAM LEO.


Mwenyekiti wa bodi wa Benki ya Barclays hapa nchini, Ramadhani Dau akikata utepe kuashiria uzinduzi wa ofisi mpya kwenye ghorofa ya pili ya jengo la benki hiyo lililopo jengo la Makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam leo. Katikati ni Mkurugenzi mkuu mtendaji wa benki ya Barclays Tanzania, Kihara Maina akiwa na baadhi ya wadau wa benki hiyo wakati wa kuzindua ofisi ya benki hiyo ghorofa ya pili ya benki hiyo.
Mwenyekiti wa bodi wa Benki ya Barclays hapa nchini, Ramadhani Dau  akifungua...

 

9 years ago

Vijimambo

ORIFLAME YAZINDUA OFISI MPYA TANZANIA

Mshindi wa Bidhaa za Kampuni ya Oriflame, 2013, Jessica Mwakyulu wapili (kushoto) akikata utepe wakati wa uzinduzi wa Ofisi mpya ya Kampuni hiyo jijini Dar es Salaam hivi karibuni wapili kulia ni Mkurugenzi Mtendaj Mkuu wa Kampuni hio kwa Nchi za Afrika, Piyush Chandra, na kulia ni Meneja masoko kwa nchi za Afrika, Mary Makena.Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Oriflame kwa Nchi za Afrika, Piyush Chandra, (kulia) akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam wakati wa kuzindua...

 

11 years ago

Dewji Blog

BBC Swahili yazindua studio nchini, Kipindi cha asubuhi cha amka na BBC kuruka moja kwa moja kutokea Dar

1

Mkuu wa Habari wa BBC Idhaa ya Ulimwengu,Bi. Nikki Clarke akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kituo cha kurushia Matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC jijini Dar es Salaam,katika Jengo lao lililopo Mikocheni.Kushoto ni Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC, Ali Saleh.(Picha zote na Othman Michuzi).

BBC Idhaa ya Ulimwengu, imezindua ofisi zake jijini Dar es Salaam. Ofisi za Dar es Salaam zina studio ambazo zinatumika kuandaa matangazo maarufu ya redio ya asubuhi, Amka na BBC, na pia...

 

11 years ago

Michuzi

BBC yazindua studio zake nchini,kipindi cha asubuhi cha Amka na BBC kuruka moja kwa moja kutokea dar

Mkuu wa Habari wa BBC Idhaa ya Ulimwengu,Bi. Nikki Clarke akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kituo cha kurushia Matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC jijini Dar es Salaam,katika Jengo lao lililopo Mikocheni.Kushoto ni Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC, Ali Saleh.Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC, Ali Saleh (wa tatu kulia) akiwapatia maelekezo Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Dkt. Salim Ahmed Salim na Mwenyekiti wa CUF,Prof. Ibrahim Lipumba ya namna Idhaa hiyo inavyoandaa vipindi yake na...

 

11 years ago

GPL

BBC YAZINDUA STUDIO ZAKE NCHINI, KIPINDI CHA ASUBUHI CHA AMKA NA BBC KURUKA MOJA KWA MOJA KUTOKEA DAR

Mkuu wa Habari wa BBC Idhaa ya Ulimwengu,Bi. Nikki Clarke akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kituo cha kurushia Matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC jijini Dar es Salaam,katika Jengo lao lililopo Mikocheni.Kushoto ni Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC, Ali Saleh.
Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC, Ali Saleh (wa tatu kulia) akiwapatia maelekezo Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Dkt. Salim Ahmed Salim na Mwenyekiti wa CUF,Prof....

 

10 years ago

BBCSwahili

BBC Yazindua kituo Dar

Wasikilizaji wetu wa kanda ya Afrika Mashariki na Kati kunufaika na kuletwa barani Afrika kwa matangazo ya BBC.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani