Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BEN POL ATINGA GLOBAL TV ONLINE

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ben Pol akijiandaa kufanya mahojiano na Global TV online leo. Host wa kipindi cha Mtu Kati cha Global TV, Pamela Daffa akifanya mahojiano na Ben Pol (hayupo pichani)…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Kuna chochote tutarajie baada ya Ben Pol kukutana na Patoranking Afrika Kusini? Ben Pol ana majibu…

Ben SA-1

Safari ya Ben Pol Afrika Kusini imempa nafasi ya kukutana na mastaa wa Afrika ambao kwa namna moja ama nyingine alikuwa na ndoto za kuja kufanya nao kazi hapo baadae.

Ben SA-1

Ben Pol ambaye ameenda jijini Johannesburg kushoot video ya wimbo aliomshirikisha Avril na Rossie M, ambayo imefanyika jana, pia alipata nafasi ya kukutana na staa wa Nigeria, Patoranking.

Ben pol na Patoranking2
Ben Pol na Patoranking

Baada ya kupost picha akiwa na staa huyo kwenye Instagram, mashabiki walianza kupata hisia kuwa huenda kuna...

 

10 years ago

GPL

NUHU MZIWANDA ATINGA GLOBAL, AFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE

Nuhu Mziwanda ndani ya studio za Global TV Online. Nuhu Mziwanda akipozi na presenta wa Global TV Online, Pamela Daffa 'Pam D'.…

 

11 years ago

GPL

AMMY NANDO ATINGA GLOBAL NA BAISKELI, AHOJIWA NA GLOBAL TV ONLINE

Ammy Nando akiwa katika usafiri wake aliotinga nao Global akijiandaa kuondoka baada ya mahojiano na Global TV Online. Ammy Nando na mdogo wake wakitokomea baada ya mahojiano na Global TV Online.…

 

11 years ago

GPL

MKUDE SIMBA ATINGA GLOBAL, AFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE

Mkude Simba (kulia) na Stan Bakora wakipozi katika studio za Global TV Online kabla ya mahojiano. Mkude Simba a.k.a Kitale akiongea na wanahabari wa Global 'hawapo pichani'.…

 

11 years ago

GPL

MAKAMUA ATINGA GLOBAL, AFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE

Msanii wa Bongo Fleva, Mackpaul Sekimanga 'Makamua' akilonga na Global TV Online. Mtangazaji wa Global TV Online, Erick Evarist akimuweka mtu kati Makamua.…

 

10 years ago

GPL

MLELA ATINGA GLOBAL, AFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE

Staa wa filamu, Yusuph Mlela akiwa katika pozi. Mlela akijibu moja ya maswali aliyoulizwa na waandishi (hawapo pichani). Mlela akiwa katika pozi baada ya mahojiano.…

 

10 years ago

GPL

CHEGE ATINGA GLOBAL, AFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE

Mwanamuziki wa Muziki wa Kizazi Kipya nchini, Chege Chigunda 'Mtoto wa Kiumeni' akiwa ndani ya studio za Global TV Online na prizenta Pamela Daffa 'Pam D' (kushoto) jana. Mtangazaji wa Kipindi cha Mtu Kati cha Global TV, Pamela Daffa 'Pam D' (kushoto) akiongea na Chege Chigunda wakati wa mahojiano.…

 

10 years ago

GPL

AY ATINGA GLOBAL, AFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE

Mwanamuziki wa Muziki wa Kizazi Kipya nchini, Ambwene Yessaya 'AY' akipozi katika studio za Global TV Online kabla ya kuhojiwa. AY akiwa ndani ya studio za Global TV Online na prizenta Pamela Daffa 'Pam D'.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani