Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BENDI YA EXTRA BONGO IMEZINDUA ALBAMU YAKE YA ‘MTENDA AKITENDEWA’ DAR LIVE

Kiongozi wa Extra Bongo, Ally Choky (kushoto) na Muumin Mwinjuma wakiimba kwa pamoja katika uzinduzi wa albamu ya Mtenda akitendewa usiku huu Dar Live. ...Banza Stone mmoja wa vivutio.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Extra Bongo kuzindua ‘Mtenda Akitendewa’

BENDI inayokuja kwa kasi katika tasnia ya muziki wa dansi hapa nchini, Extra Bongo ‘Wazee wa Kimbembe, Kizigo’ wanatarajia kuzindua albamu yao mpya ijulikanayo kama ‘Mtenda Akitendewa’. Uzinduzi huo wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Extra Bongo kuzindua Mtenda Akitendewa Handeni

BENDI ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kimbembe Next Level’ wanatarajiwa kutoa burudani ya aina yake katika Ukumbi wa CCM Handeni mkoani Tanga, Ijumaa. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar es...

 

11 years ago

Michuzi

ali Choki atinga ukumbini na Ambulance kuzindua albamu yake ya "Mtenda akitendewa!"

Ilikuwa ni siku ya aina yake kwa bendi ya Extra Bongo "wazee wa kizigo" walipokuwa wakizindua albamu yao ya "Mtenda akitendewa" na kuacha gumzo kwa mamia ya mashabiki waliojitokeza katika ukumbio wa Dar Live kitongojini Mbagala jijini Dar es salaam wikiendi hii. Asante kwa udhamini wa Vodacom kufanikisha Tamasha hilo.   Palikuwa hapatoshi katika ukumbi huo wa taifa wa burudani wa Dar Live uliopo Mbagala jijini Dar es Salaam ambapo bendi kaadhaa za muziki wa dansi na wasanii wa bongo flava...

 

11 years ago

GPL

UZINDUZI WA ALBAMU YA EXTRA BONGO: RED CARPET YA DAR LIVE!

Baadhi ya safu ya wanenguaji mahiri wa kiume wa Extra Bongo. Amini akishoo Love na Linah (kushsoto) pamoja na mwimbaji wake.…

 

11 years ago

GPL

AMIN AFUNIKA DAR LIVE KATIKA UZINDUZI WA ALBAMU YA EXTRA BONGO

Msanii wa muziki wa kizazi kipya 'Bongo Fleva', Amin Mwinyimkuu 'Amin', akitoa burudani usiku huu ndani ya Dar Live katika uzinduzi wa albamu ya Extra Bongo iitwayo 'MTENDA AKITENDEWA'…

 

11 years ago

GPL

LINAH NA AMIN KATIKA UZINDUZI WA ALBAMU YA EXTRA BONGO DAR LIVE

Wasanii Linah na Amin wakipagawisha katika uzinduzi wa albamu ya Extra Bongo 'Mtenda akitendwa' ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala Zakheem jijini Dar Jumamosi iliyopita.

 

11 years ago

GPL

UZINDUZI WA ALBAMU KESHO: EXTRA BONGO WAAHIDI KUFUNIKA DAR LIVE

Kiongozi wa Extra Bongo, Ally Choky, akizungumzia uzinduzi huo ndani ya hoteli ya Atriums iliyopo Afrika Sana, Sinza . Mratibu wa Burudani Dar Live, Luqman Maloto, akizungumza na waandishi wa habari. Kushoto ni Choky na Hamis…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani