ali Choki atinga ukumbini na Ambulance kuzindua albamu yake ya "Mtenda akitendewa!"
![](http://2.bp.blogspot.com/-LrTfp29F3oo/UwuOjch21qI/AAAAAAAFPSA/teiwqLyW2HY/s72-c/unnamed+(10).jpg)
Ilikuwa ni siku ya aina yake kwa bendi ya Extra Bongo "wazee wa kizigo" walipokuwa wakizindua albamu yao ya "Mtenda akitendewa" na kuacha gumzo kwa mamia ya mashabiki waliojitokeza katika ukumbio wa Dar Live kitongojini Mbagala jijini Dar es salaam wikiendi hii. Asante kwa udhamini wa Vodacom kufanikisha Tamasha hilo. Palikuwa hapatoshi katika ukumbi huo wa taifa wa burudani wa Dar Live uliopo Mbagala jijini Dar es Salaam ambapo bendi kaadhaa za muziki wa dansi na wasanii wa bongo flava...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLBENDI YA EXTRA BONGO IMEZINDUA ALBAMU YAKE YA ‘MTENDA AKITENDEWA’ DAR LIVE
11 years ago
Tanzania Daima07 Feb
Extra Bongo kuzindua ‘Mtenda Akitendewa’
BENDI inayokuja kwa kasi katika tasnia ya muziki wa dansi hapa nchini, Extra Bongo ‘Wazee wa Kimbembe, Kizigo’ wanatarajia kuzindua albamu yao mpya ijulikanayo kama ‘Mtenda Akitendewa’. Uzinduzi huo wa...
11 years ago
Tanzania Daima15 May
Extra Bongo kuzindua Mtenda Akitendewa Handeni
BENDI ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kimbembe Next Level’ wanatarajiwa kutoa burudani ya aina yake katika Ukumbi wa CCM Handeni mkoani Tanga, Ijumaa. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar es...
11 years ago
Tanzania Daima17 Feb
‘Usiku wa mtenda akitendewa’ Feb. 22
BAADA ya kimya cha muda mrefu, hatimaye albamu ya ‘Mtenda akitendewa’ ya Extra Bongo Next Level ‘Wazee wa Kimbembe’ ipo tayari na inatarajiwa kuzinduliwa Ukumbi wa Dar Live Mbagala jijini...
11 years ago
Tanzania Daima28 Feb
Uzinduzi Mtenda Akitendewa wahamia Meeda
BAADA ya bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kimbembe’ kuwapagawisha wakazi wa Mbagala na vitongoji vyake katika uzinduzi wa albamu ya ‘Mtenda Akitendewa’ sasa uzinduzi huo unahamia Ukumbi wa Meeda...
11 years ago
Tanzania Daima24 Feb
Uzinduzi Mtenda Akitendewa waacha gumzo
UZINDUZI wa albamu ya ‘Mtenda Akitendewa’ umeacha gumzo kwa mashabiki waliojitokeza kwenye ukumbi wa Dar Live Mbagala jijini Dar es Salaam juzi, ambapo mnenguaji mahiri hapa nchini, Super Nyamwela, alipagawisha...
11 years ago
GPLALI CHOKI 'MZEE WA FARASI' ATINGA GLOBAL, ALONGA NA WANAHABARI
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-tztDqFY5VK8/VEeqRqxpxqI/AAAAAAAGsqQ/YnYIRiiUYsk/s72-c/DSCF9964.jpg)
Mwanamuziki Tarsis Masela kuzindua albamu yake ya kwanza Novemba 21
![](http://3.bp.blogspot.com/-tztDqFY5VK8/VEeqRqxpxqI/AAAAAAAGsqQ/YnYIRiiUYsk/s1600/DSCF9964.jpg)
Akizungumza na wanahabari jijini dar leo Masela, ambaye pia ni mwanamuziki na Rais wa bendi ya Akudo, alisema kuwa albamu hiyo itakuwa na nyimbo saba na zina ujumbe mbalimbali ambao unalenga kuelimisha jamii.
Masela alizitaja nyimbo zilizoko katika albamu hiyo...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-eHNxhiy7miM/U6voN8Gk2YI/AAAAAAAFtDI/f3ooCqa7lY0/s72-c/3.jpg)
ROSE MUHANDO KUZINDUA ALBAMU YAKE YA FACEBOOK AGOSTI 3/2014 JIJINI DAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-eHNxhiy7miM/U6voN8Gk2YI/AAAAAAAFtDI/f3ooCqa7lY0/s1600/3.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-yWDKCahWAYQ/U6vpFAfnd9I/AAAAAAAFtDg/oh_1t9rs2cI/s1600/IMG_0558.jpg)