Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BENKI YA CRDB TAWI LA UBUNGO YASHEREHEKEA KUTIMIZA MIAKA 2

Keki iliyoandaliwa na uongozi wa Benki ya CRDB tawi la Ubungo kwa ajili ya sherehe za kutimiza miaka 2 tangu kuanzishwa kwa tawi hilo, ambapo wateja wa benki hiyo walijumuika na wafanyakazi wa tawi hilo kusherehekea kwa pamoja.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB TAWI LA MLIMANI CITY YASHEREHEKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA


Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City, Allen Killango (katikati) akifurahia jambo na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB anayeshughulikia Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyopadhayay (kushoto). Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB anayeshughulikia Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyopadhayay akisalimiana na Ofisa wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City.Keki.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

Michuzi

CLOUDS FM YASHEREHEKEA KUTIMIZA MIAKA 15 TANGU KUANZISHWA KWAKE.

Mmoja wa Watangazaji machachari wa Clouds FM,Adam Mchomvu akitoa muongozo mfupi kwa baadhi ya Wafanyakazi wenzake waliomzunguka,kuhusiana na ukataji na ulaji wa Ndafu kama ionekavyo pichani,wakati wa hafla ya kutimiza miaka 15 ya kituo cha redio ya Clouds FM,tangu kuanzishwa kwake nchini.Redio hiyo imejizolea umaarufu mkubwa Afrika Mashariki na Kati na Duniani kwa ujumla.
Globu ya Jamii inaitakia kheri na fanaka Clouds FM katika kusherehekea miaka 15 tangu kuzaliwa kwake. Ndafu wa...

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YASHEREHEKEA MWAKA MPYA NA WATEJA WAKE

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akisoma hotuba yake wakati wa hafla ya kuukaribisha mwaka mpya iliyowaandalia wateja iliyofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kulia), akipeana mkono na Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, wakati wa hafla ya kuukaribisha mwaka mpya iliyofanyika mwishoni mwa wiki Dar es Salaam. Kushoto ni Juma Abdulrahman. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei...

 

11 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB TAWI LA MOSHI WAFURAHIA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Moshi wakiwa katika picha ya pamoja ,aliyekaa ni meneja wa tawi hilo Francis Mollel.Baadhi ya afanyakazi wa kike wa Benki ya CRDB tawi la Moshi wakiweka pozi la picha pembeni ya Keki.Mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Moshi akikata keki kwa ajili ya wateja.Keki maalumu iliyoandaliwa kwa ajili ya wateja wa Benki ya CRDB tawi la Moshi wakati wa week ya huduma kwa wateja. Na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii kanda ya kaskazini.

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB TAWI LA WATER FRONT WAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA MTEJA LEO

Mkurugenzi msaidizi wa benki ya CRDB huduma kwa wateja, Saugata Bandyopadhyay akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kufika katika benki ya  CRDB tawi la Water Front leo jijini Dar es Salaam,  wakati wa kuadhimisha wiki ya utumisha wa huduma kwa mteja ambayo hufanyika kila Oktoba 5 kila mwaka katika banki hiyo.Keki ya kuwashukuru wateja wanaotembelea katika tawi la Water Front.Wateja waliotembelea tawi la Water Front, Mr &Mrs Prakash Shah wakishirikiana na Genoveva Kiliba kukata keki...

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: BENKI YA CRDB KUJENGA TAWI LA KISASA KATIKA KIWANDA CHA DANGOTE, MTWARA

  Ndege ya Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group of  Industries, Alhaji Aliko Dangote ikiwasili katika uwanja wa Mtwara.Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei (wa pili kushoto), akiwa na balozi wa Nigeria, Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Mtwara, Francis Kasoyaga (wa pili kulia) wakiwa uwanja wa Ndege wa Mtwara wakati wakimsubiri kumpokea Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group of  Industries, Alhaji Aliko Dangote.   Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group of...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB TAWI LA MLIMANI CITY YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA NA JUMBO JUNIOR ACCOUNT

Keki iliyoandaliwa na wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika.Watoto Halima Revocatus (7) na Filex Mustach (6) wakikata keki wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto Afrika yaliyofanyika katika tawi la Benki ya CRDB Mlimani City jijini Dar es Salaam, Benki ya CRDB uadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika kila mwaka. Ujumbe wa mwaka huu ni Timiza Ndoto Yako na Junior Jumbo Account. Nyuma ya watoto hao ni Naibu Mkurugenzi Uendeshaji na Huduma...

 

10 years ago

Michuzi

SIKU YA 2 :BENKI YA CRDB TAWI LA WATER FRONT WAENDELEA KUADHIMISHA WIKI HUDUMA KWA WATEJA

Meneja wa Benki ya CRDB wa tawi la Water Front, Donath Shirima akimpa tunzo pamoja na barua ya kumshukuru Afisa Mtendaji  mkuu wa Mohamed Interpraises, Mo dewji  kuwa ni mshiriki mkubwa wa benki ya CRDB katika tawi la Water Front leo katika kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika katika ofisi zake jijini Dar es Salaam.Mteja wa benki ya CRDB tawi la Water front akipima akipima Shinikizo la Damu leo jijini dar es Salaam katika tai hilo. Wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la Water...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB TAWI LA WATER FRONT WAWASHUKURU WATEJA KWA KUWAPA ZAWADI JIJINI DAR LEO.

 Meneja wa Benki ya CRDB  tawi la Water Front, Donath Shirima akimkabidhi tunzo katika ofisi za Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Reli, Benhdard Tito,kwa kumshukuru kuwa mteja benki hiyo katika tawi la Water Front kwa kuadhimisha wiki ya huduma kwa mteja inayoendelea kufanyika katika tawi hilo jijini Dar es Salaam leo. Meneja wa Benki ya CRDB  tawi la Water Front, Donath Shirima akimkabidhi tunzo, Mkurugenzi Mkuu wa Fedha wa kampuni ya NAS, Prakash Shenoy kumshukuru mteja huyo wakati wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani