Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BENKI YA CRDB YASHEREHEKEA MWAKA MPYA NA WATEJA WAKE

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akisoma hotuba yake wakati wa hafla ya kuukaribisha mwaka mpya iliyowaandalia wateja iliyofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kulia), akipeana mkono na Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, wakati wa hafla ya kuukaribisha mwaka mpya iliyofanyika mwishoni mwa wiki Dar es Salaam. Kushoto ni Juma Abdulrahman. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB TAWI LA MLIMANI CITY YASHEREHEKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA


Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City, Allen Killango (katikati) akifurahia jambo na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB anayeshughulikia Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyopadhayay (kushoto). Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB anayeshughulikia Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyopadhayay akisalimiana na Ofisa wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City.Keki.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM TANZANIA YASHEREHEKEA MSIMU WA DIWALI NA WATEJA WAKE

 Meneja Bidhaa wa benki ya Exim Tanzania Bw. Aloyse Maro akitoa neno la shukrani kwa wageni waalikwa  waliohudhuria hafla ya jioni iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja wake ili kusherehekea msimu wa diwali, jijini Dar es Salaa, mwishoni mwa juma.Meneja Mwandamizi Wateja wakubwa na Uwekezaji wa Benki ya Exim Tanzania Bi. Khilna Mamlani (mwenye vazi jekundu) akitoa zawadi kwa mmoja wa wateja wa benki hiyo aliyehudhuria hafla ya jioni iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA AZANIA TAWI LA MOSHI, YAWAANDALIA WATEJA WAKE NA WAFANYAKAZI PARTY YA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA

Wafanyakazi wa Benki ya Azania Tawi la Moshi, wakiwa wamejumuika katika sherehe ya kupongezana kwa mafanikio waliyoyapata katika mwaka ulioisha wa 2014 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2015. Sherehe hiyo ilifanyika jana katika Benki hilo, lililoko, mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro.Meneja wa Benki ya Azania Tawi la Moshi, Bi.Hajira Mmambe, akifungua zawadi katika hafla ya kuuaga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2015 iliyofanyika jana kama sehemu ya kuwapongeza wafanyakazi wa Benki hiyo....

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA AZANIA TAWI LA MOSHI YAPITA MITAANI NA KUTOA MKONO WA KRISMASI NA HERI YA MWAKA MPYA KWA WATEJA WAKE

Mkurugenzi wa Idara ya Oparesheni ya Benki ya Azania, Togolani Mramba (wa pili kushoto), akimkabidhi zawadi mmoja wa wateja wakuu wa Benki hiyo mkoani Kilimanjaro, Mfanyabiashara wa Nafaka, Izina Rashid Msangi, ikiwa ni utaratibu wa kawaida wa Benki hiyo kutoa mkono wa shukrani kwa wateja wake na kuwatakia heri katika sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya, wanaoshuhudia ni wafanyakazi wa Benki hiyo, wakiongozwa na Meneja wa Azania Tawi la Moshi, Bi. Hajira Mmambe.Timu ya Wafanyakazi wa Benki ya...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAZIDI KUMWAGA PASSO KWA WATEJA WAKE

 Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (kushoto) akimkabidhi mfano wa ufunguo wa gari mshindi wa Promosheni ya 'Tuma Pesa na Simbanking Shinda Passo’, Peter Fundi katika hafla iliyofanyika kwenye viwanja vya Maonyesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akimkabidhi mfano wa funguo mshindi wa Promosheni ya ‘Tuma Pesa na Simbanking Shinda Passo’, Peter Fundi. Kushoto...

 

11 years ago

GPL

BENKI YA CRDB TAWI LA UBUNGO YASHEREHEKEA KUTIMIZA MIAKA 2

Keki iliyoandaliwa na uongozi wa Benki ya CRDB tawi la Ubungo kwa ajili ya sherehe za kutimiza miaka 2 tangu kuanzishwa kwa tawi hilo, ambapo wateja wa benki hiyo walijumuika na wafanyakazi wa tawi hilo kusherehekea kwa pamoja.…

 

9 years ago

Dewji Blog

Benki ya BOA waletea wateja wake huduma mpya ya kutuma fedha Kimataifa ya ‘WARI’

boa

Mkurugenzi wa ICT , Bw. Willington Munya  akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa utambulisho wa huduma hiyo mpya ya BOA. anayefuatia ni  Meneja wa E.Banking, Bi. Editha Jumbe na wa mwisho ni Afisa masoko Danieli Sarungi. ( Picha na Niccomediatz).

Benk ya BOA Tanzania imeleta huduma mpya kwa wateja wake ijulikanayo kama WARI-huduma ya kutuma fedha kimataifa ambapo kwa sasa huduma hiyo imeingia nchini na mteja anaweza kutuma na kupokea  fedha ndani na nje bila ya kuwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Benki ya CRDB yampa tunzo Mohammed Dewji ‘MO’ kwa ushiriki mkubwa wa benki hiyo katika wiki ya huduma kwa wateja

MO D

Meneja wa Benki ya CRDB wa tawi la Water Front, Donath Shirima akimpa tunzo pamoja na barua ya kumshukuru Afisa Mtendaji  mkuu wa Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL GROUP), Mohammed Dewji ‘Mo’ kuwa ni mshiriki mkubwa wa benki ya CRDB katika tawi la Water Front  wakati wa  kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika katika ofisi za MeTL GROUP,  jijini Dar es Salaam.

MO2

Afisa Mtendaji  mkuu wa Mohammed enterprises Tanzania Limited (MeTL GROUP), Mo dewji  akionyesha barua ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani