BENKI YA CRDB YAZINDUA HUDUMA YA INDIA DESK
Balozi wa India, Shri Debnath Shaw (wa tatu kulia), Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRD, Dk. Charles Kimei (wa pili kushoto), wakizindua kwa pamoja huduma mpya ya India Desk inayowaunganisha wawekezaji na wafanyabiashara nchini India kufanya huduma za kibenki bila ya kuwa na akaunti nchini. Wa pili kulia ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo anayeshughulika na Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyadhiyay, mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi, Ally Laay (kushoto), Celina Mkonyi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA
10 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YAZINDUA KAMPENI YA UTUMIAJI WA SimBanking NA FAHARI HUDUMA WAKALA
BENKI ya CRDB imezindua kampeni maalum ya utumiaji wa huduma zake kupitia simu za mkononi ‘SimBanking’ kupitia kwa mawakala wa ‘FahariHuduma’.
Akizungumza jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa kampeni hiyo ijulikanayo kama ‘Tuma Pesa na SimBanking Shinda Passo’, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Dk. Charles Kimei alisema lengo la kuanzisha kampeni hiyo ni kuwakumbusha wateja wake na watanzania wote kwa ujumla umuhimu wa kutumia njia hizo mbadala ili kupata huduma kwa...
11 years ago
TheCitizen08 Aug
CRDB Bank establishes India Desk
10 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA NA KUTOA VIFAA TIBA KWA MANISPAA YA KONONDONI
11 years ago
GPLBENKI YA COVENANT YAZINDUA HUDUMA YA BENKI MTAANI KWAKO
10 years ago
Dewji Blog06 Oct
Benki ya CRDB yampa tunzo Mohammed Dewji ‘MO’ kwa ushiriki mkubwa wa benki hiyo katika wiki ya huduma kwa wateja
Meneja wa Benki ya CRDB wa tawi la Water Front, Donath Shirima akimpa tunzo pamoja na barua ya kumshukuru Afisa Mtendaji mkuu wa Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL GROUP), Mohammed Dewji ‘Mo’ kuwa ni mshiriki mkubwa wa benki ya CRDB katika tawi la Water Front wakati wa kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika katika ofisi za MeTL GROUP, jijini Dar es Salaam.
Afisa Mtendaji mkuu wa Mohammed enterprises Tanzania Limited (MeTL GROUP), Mo dewji akionyesha barua ya...
11 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YABORESHA HUDUMA ZA SIMBANKING
11 years ago
Michuzi.jpg)
CRDB WAFUNGUA HUDUMA ZA BENKI BABATI
Wananchi wa Mkoa wa Manyara, wametakiwa kutumia fursa ya kuwepo kwa huduma ya benki ya CRDB Tawi la Babati, kwa kujiwekea akiba na kuchukua mikopo kwa lengo la kujinufaisha kiuchumi na kuongeza pato la Taifa.
Mkuu wa mkoa wa Manyara, Elaston Mbwilo aliyasema hayo wakati wa zoezi la benki ya CRDB tawi la Babati, lilipoanza kutoa huduma ya fedha kwa wateja wake na yeye kuwa mtu wa kwanza kuweka fedha kwenye tawi hilo.
Mbwilo aliwataka wananchi wa mkoa huo kufungua...
5 years ago
Michuzi
BENKI YA CRDB YAZINDUA MPANGO MAALUM WA KUTOA MAONI KWA NJIA YA "QR CODE"
"Anachotakiwa kufanya mteja ni kuscan kwenye QR Code kwa kutumia simu yake ya smart ambayo imeunganishwa na internet, Mteja atafungua camera ya simu yake na kuscan kwenye QR Code ambazo zinapatikana kwenye matawi yote...