Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BENKI YA EXIM TANZANIA YASHIRIKI MAONYESHO YA 18 YA WIKI YA MAZIWA KWA MAFANIKIO MAKUBWA.

 Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dr, Titus Kamani, (kulia) akisalimiana na Meneja Uendeshaji na Huduma kwa wateja wa benki ya Exim Tanzania tawi la Babati mkoani Manyara Bw. John Ndyebonera ,alipotembelea kwenye banda la maonyesho la benki hiyo ambayo ilishiriki kwenye maadhimisho ya 18 ya wiki ya maziwa yaliyofanyika kitaifa wilayani Babati hivi karibuni. Wengine ni wafanyakazi pia wa benki hiyo. Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dr, Titus Kamani, (kulia) akisaini kitabu cha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yafunga mauzo ya dhamana yake kwa mafanikio makubwa.

Benki ya Exim Tanzania imetangaza kufunga mauzo ya dhamana yake ya muda mrefu (hati fungani) huku ikibainisha kuwa kiasi kilichopatikana kutokana na mauzo ya hati hizo kimezidi mara dufu (asilimia 195) ya malengo ya awali.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na benki hiyo jijini Dar es Salaam jana, uuzwaji wa dhamana hizo ulifungwa rasmi Disemba 18 mwaka huu huku benki hiyo ikifanikiwa kukusanya kiasi cha sh bilioni 19.7 kutokana na mauzo ya dhamana hiyo tofauti na makadilio ya sh. bilioni 10...

 

11 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yashiriki hafla ya usiku ya kila mwaka ya wadau wa AIESEC Tanzania

 Mkuu wa Kitengo cha Oparesheni wa Benki ya Exim Tanzania Bw. Eugen Massawe (kushoto) akikabidhi moja ya tuzo zinazotolewa kila mwaka na AIESEC kwa Rais wa Chuo cha Uongozi wa Fedha (IFM) Bw. Abubakar Ahmed (kulia) wakati hafla ya kila mwaka ya wadau wa taasisi ya wanafunzi ya AIESEC iliyofanyika jijini mwishoni mwa wiki.
 Mkuu wa Kitengo cha Oparesheni wa Benki ya Exim Tanzania Bw. Eugen Massawe (kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Majanga na Udhibiti wa Benki hiyo Bw. David Lusala (kulia)...

 

11 years ago

Michuzi

PSPF YASHIRIKI MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE MKOANI LINDI KWA MAFANIKIO

MKUU WA WILAYA YA LINDI MJINI DOKTA HAMID NASSORO (KATIKATI)  AKISAINI KITABU CHA WAGENI ALIPOTEMBELEA BANDA LA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF KWENYE MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE MKOANI LINDI, (WAPILI KULIA) NI AFISA MAKOSO WA PSPF RAHMA NGASSA. (KUSHOTO) NI OMARI KALILO AFISA MFAWIDHI WA PSPF MKOA WA LINDI. 
BALOZI WA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF, MRISHO MPOTO “MJOMBA” AKIFURAHIA JAMBO NA MENEJA MASOKO WA PSPF, RAHMA NGASSA WAKATI AKITOA BURUDANI KWENYE MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE MKOANI LINDI.

 

11 years ago

Michuzi

MFUKO WA PSPF WAMALIZA WIKI YA UTUMISHI KWA MAFANIKIO MAKUBWA

Ofisa masoko wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma'PSPF' Bi, Rahma Ngassa kulia akimkaribishakatibu Mkuu Kiongozi  Balozi Ombeni Sefue katika banda la PSPF wakati wa maonesho ya wiki ya utumishi wa Umma yaliyomalizika jumatatu ya wiki hii Add caption Ofisa uhendeshaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF' Bw, Mohamed Masoud kulia akimpatia mahelezo katibu Mkuu Kiongozi  Balozi Ombeni Sefue alipotembeleabanda la PSPF wakati wa maonesho ya wiki ya utumishi wa Umma...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Diamond Trust (DTB) yatangaza mafanikio yake makubwa kwa nusu mwaka wa 2014

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Diamond Trust (DTB),Bwa.Viju Cherian akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari (hawapo pichani),Mapema leo ndani ya moja ya ukumbi wa mikutano Serena Hotel jijini Dar kuhusiana na ripoti ya nusu mwaka wa 2014 kuhusu utendaji wa benki hiyo kwa ongezeko kubwa la faida kabla yakodi (profit before Tax (PBT) ya sh.billioni 10.3 ikiwa ni  asilimia 38 ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka 2013 sambamba na mafanikio makubwa iliyoyapata benki hiyo.
Bwa.Viju alisema...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wizara ya viwanda na biashara yashiriki maonyesho ya wiki ya utumishi Mnazi Mmoja

1z

Mkurugenzi wa Utawala Wizara ya Viwanda na Biashara Bi. Mary Mwangisa akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea banda la Wizara yake katika maonyesho ya wiki ya Utumishi yanaoendelea kwenye viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam, Kushoto ni Debora Mofati Afisa Tawala wa Wizara hiyo.

2z

Mkurugenzi wa Utawala Wizara ya Viwanda na Biashara Bi. Mary Mwangisa wa tatu kutoka kulia na Fredy Mndewa Kaimu Mkurugenzi wa Manunuzi na Ugavi kushoto wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya...

 

11 years ago

GPL

WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA YASHIRIKI MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI MNAZI MMOJA.‏

Mkurugenzi wa Utawala Wizara ya Viwanda na Biashara Bi. Mary Mwangisa akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea banda la Wizara yake katika maonyesho ya wiki ya Utumishi yanaoendelea kwenye viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam, Kushoto ni Debora Mofati Afisa Tawala wa Wizara hiyo. Mkurugenzi wa Utawala…

 

5 years ago

Michuzi

Benki ya NMB yaadhimisha Wiki ya Maziwa


NMB Madaraka
NMB Bank House
NMB Kenyatta
NMB Clock Tower

Meneja Uhusiano Mwandamizi wa NMB Kanda ya Kaskazini anayeshughulikia Kilimo- Oscar Rwechungura alisema katika kuadhimisha Wiki ya Maziwa kwa kushirikiana na wadau wengine katika sekta ya...

 

5 years ago

CCM Blog

TANZANIA YASHIRIKI KWA MARA YA KWANZA KATIKA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIDHAA ZA KILIMO YA PARIS 2020, UFARANSA


 Tanzania inashiriki kwa mara ya kwanza katika Maonesho ya Kimataifa ya Bidhaa za Kilimo ya Paris 2020 yanayofanyika jijini Paris, Ufaransa kuanzia tarehe 22 Februari 2020 hadi tarehe 1 Machi 2020.
Maonesho hayo ambayo yalifunguliwa na Mhe. Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, yanatarajiwa kutembelewa na zaidi ya watu 600,000.
Wakati wa maonesho hayo, Tanzania itapata fursa ya kuonyesha bidhaa zake yakiwemo mazao ya kimkakati. Ujumbe wa Tanzania katika maonyesho hayo unaongozwa na Bw. Victor...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani