Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Biashara ya matunda? Wizi kwenye mizani? kufumuliwa Jeshi la Polisi? Mganga na nyamapori? #Uchambuzi

Hizi ni baadhi ya stori kubwa zilizoguswa na uchambuzi wa redioni leo December 29 2015 kutoka kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania. Serikali yaweka mkakati wa udhibiti wa uuzaji wa matunda kando ya barabara, kipindupindu chaendelea kuwa tishio Mwanza, mmoja afariki… iko stori pia ya Waziri Ndalichako kuahidi kurudisha heshima kwenye sekta ya elimu Tanzania. […]

The post Biashara ya matunda? Wizi kwenye mizani? kufumuliwa Jeshi la Polisi? Mganga na nyamapori? #Uchambuzi appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Jeshi la Polisi lawashikilia watuhumiwa kumi na mbili wa wizi wa Makontena

PIX 1

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai  Bw.Diwani Athumani (CP) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo katika picha) jana jijini Dar es Salaam kuhusu uchunguzi wa sakata la watuhumiwa wa wizi wa makontena 329.

PIX 2

Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Bw.Diwani Athumani (CP) alipokuwa akitoa ufafanuzi kuhusu uchunguzi wa watuhumiwa wa wizi wa makontena kwa Mamlaka ya Bandari na Mamlaka ya Mapato Tanzania.

Na Nyakongo...

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA LAKAMATA MALI ZIDHANIWAZO KUWA ZA WIZI, WAKAMATA WAHARIFU SUGU

Mali zilizokamatwa.
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kukabiliana na vitendo vya uhalifu na ajali za barabarani ili kuhakikisha kuwa wageni na wakazi wa Mkoa huu wanaendelea kuwa salama na mali zao. Aidha Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea kushirikiana na wananchi na wadau wengine wa usalama ali inayopelekea kupata mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na kupungua kwa matukio makubwa ya uhalifu pamoja na ajali za barabarani. 
KUPATIKANA NA MALI ZIDHANIWAZO KUWA ZA WIZI. Jeshi la...

 

11 years ago

Michuzi

Jeshi la Polisi Mkoani Lindi lamsaka askari Mwenye tuhuma za kujihusisha na biashara haramu ya Meno ya Tembo

Jeshi la polisi mkoani Lindi linamtafuta askari wake mmoja mwenye namba F6508 Detective Constable JOSEPH YONA MASANJA mwenye Umri wa miaka 34 mzaliwa wa Wilaya ya ILEMELA Mkoani MWANZA Abae alikuwa akifanya kazi kituo cha polisi KILWA kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa vipande 62 vya meno ya tembo vyenye uzito wa kilo 568 yaliyokuwepo kituoni hapo kama Vielelezo.
Hayo yamebainishwa na Kamanda wa polisi mkoa wa Lindi,Kamishna Msaidizi Renatha Mzinga alipokuwa Akitoa taarifa kwa waandishi...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mganga asimamishwa kazi kwa wizi wa dawa

court-hammer

Na Mwandishi wetu

BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Igunga, Mkoani Tabora wamependekeza kuwa Mganga wa    zahanati ya kata ya Sungwizi, Tarafa ya Nsimbo John Malaba asimamishwe kazi, kumfutia uhamisho aliopata wa kwenda makao makuu ya wilaya.

Licha ya kusimamishwa kazi baraza hilo pia limeamua kumfungulia mashtaka Mahakamani kwa tuhuma za wizi wa madawa ya binadamu yenye thamani ya shilingi 1,600,000/=.

Madiwani hao walifikia hatua hiyo baada ya kujibadili kutoka Baraza la...

 

9 years ago

Michuzi

Jeshi la Polisi laja na mpango wa kuboresha usalama kwenye jamii.

Na Tamimu Adam, Jeshi la Polisi.

Jeshi la polisi nchini, limeanzisha mpango wa   kuboresha usalama wa jamii  nchi nzima ambao unalenga  kuboresha  utoaji wa huduma bora kwa wananchi, kuboresha mawasiliano  ya ndani na nje ya Jeshi la polisi kwa kuwashirikisha wadau  mbalimbali wa usalama ambapo mpango huo utaanza kutekelezwa katika mkoa wa kipolisi kinondoni  ambapo lengo lake ni  kupunguza uhalifu kwa asilimia kumi ifikapo mwaka 2019.


Akihitimisha  maabara ya mpango huo iliyofanya kazi kwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Jeshi la Polisi laja na mpango wa kuboresha usalama kwenye jamii.

1 (1)

Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Abdulrahmani Kaniki akisalimiana na askari Polisi wa wa jeshi hilo. (Picha ya Maktaba).

Na Tamimu Adam, wa Jeshi la Polisi.

Jeshi la polisi nchini, limeanzisha mpango wa   kuboresha usalama wa
jamii  nchi nzima ambao unalenga  kuboresha  utoaji wa huduma bora kwa wananchi, kuboresha mawasiliano  ya ndani na nje ya Jeshi la polisi kwa kuwashirikisha wadau  mbalimbali wa usalama 

ambapo mpango huo utaanza kutekelezwa katika mkoa wa kipolisi kinondoni ...

 

9 years ago

Michuzi

TANGAZO KWA UMMA:JESHI LA POLISI TANZANIA LINAWAITA KWENYE USAILI


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

JESHI LA POLISI TANZANIA

 
RPC.                                                                                              Ofisi ya Kamanda wa Polisi,                                                                                                                                                                                                                                                                     ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani