Bilal awataka waumini kuliombea taifa
WAUMINI wa dini mbalimbali nchini wamehimizwa kuliombea taifa katika wakati huu wa kuelekea uchaguzi mkuu ili shughuli hiyo iweze kumalizika kwa amani na utulivu. Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal alihimiza hayo kwenye ibada maalumu ya kuwekwa wakfu Askofu wa Kanisa la Moravian Jimbo la Kusini, mchungaji Kenan Panja iliyofanyika mjini Tukuyu wilayani Rungwe.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
WAUMINI WAANZA KULIOMBEA TAIFA KUELEKEA UCHAGUZI

Waumini wa madhehebu tofauti mkoani Tanga wameanza zoezi la kuliombea taifa katika mchakato wa uchaguzi mkuu ujao ili uweze kufanyika kwa amani na utulivu pamoja na kupata viongozi ambao watajali maslahi ya watanzania.Wakizungumza katika ibada maalum ya kuliombea taifa pamoja na kuwasimika baadhi ya viongozi wa makanisa mbalimbali wamewataka watanzania kuacha kushabikia...
10 years ago
GPLMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ALIHUTUBIA TAIFA KWENYE TAMASHA LA MKESHA WA KULIOMBEA TAIFA, JIJINI DAR
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ALIHUTUBIA TAIFA KWENYE TAMASHA LA MKESHA WA KULIOMBEA TAIFA,JIJINI DAR
11 years ago
Michuzi
REBECA MALOPE AWAKUNA WAKAZI WA JIJI LA MWANZA,NGELEJA AWATAKA VIONGOZI WA DINI KULIOMBEA TAIFA


10 years ago
Dewji Blog01 Jan
Makamu wa Rais Dkt. Bilal alihutubia kwenye tamasha la mkesha wa kuliombea taifa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na wananchi alipowasili Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jana usiku Disemba 31, 2014/2015 kwa ajili ya kuhudhuria Tamasha la mkesha wa Mwaka Mpya na Dua maalum ya kuliombea Taifa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia Taifa kwenye Tamasha la Mkesha wa mwaka mpya wa 2015 iliyofanyika Disemba 31, 2014/2015 usiku wa kuamkia mwaka mpya...
10 years ago
Vijimambo02 Jan
Makamu wa Rais Dkt. Bilal alihutubia kwenye tamasha la mkesha wa kuliombea taifa


10 years ago
GPLMKESHA MKUU WA KULIOMBEA DUA TAIFA KUFANYIKA DESEMBA 31-2014 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR
10 years ago
Dewji Blog13 Sep
Tamasha la kuliombea Taifa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu kufanyika Oktoba 4, 2015 uwanja wa Taifa jijini Dar
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Msama Promotion ambayo inaandaa matamasha mbalimbali kama lile la Pasaka na Chrismas, ambaye ni Mwenyekiti wa Tamasha hilo, Alex Msama, akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu kukamilika kwa maandalizi ya Tamasha la kuliombea Taifa Amani kuelekea uchaguzi mkuu ambalo litafanyika Oktoba 4, 2015 Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na baadaye mikoa mingine 12.
10 years ago
VijimamboMAANDALIZI YA TAMASHA LA KULIOMBEA TAIFA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU YA KAMILIKA LITAFANYIKA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM, OKTOBA 4, 2015