WAUMINI WAANZA KULIOMBEA TAIFA KUELEKEA UCHAGUZI
![](http://2.bp.blogspot.com/-2ZXyDyUE9Os/VZY7V5nQb-I/AAAAAAABRGg/Lr3s4L6zKMs/s72-c/Rais%2Bwa%2BJamhuri%2Bya%2BMuungano%2Bwa%2BTanzania%2Bakiongea%2Bna%2BBaadhi%2Bya%2Bviongozi%2Bwa%2Bkidini%2Bwa%2BKikristo%2Bnchini..jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiongea na Baadhi ya viongozi wa kidini wa Kikristo nchini.(picha kutoka maktaba)
Waumini wa madhehebu tofauti mkoani Tanga wameanza zoezi la kuliombea taifa katika mchakato wa uchaguzi mkuu ujao ili uweze kufanyika kwa amani na utulivu pamoja na kupata viongozi ambao watajali maslahi ya watanzania.Wakizungumza katika ibada maalum ya kuliombea taifa pamoja na kuwasimika baadhi ya viongozi wa makanisa mbalimbali wamewataka watanzania kuacha kushabikia...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog13 Sep
Tamasha la kuliombea Taifa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu kufanyika Oktoba 4, 2015 uwanja wa Taifa jijini Dar
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Msama Promotion ambayo inaandaa matamasha mbalimbali kama lile la Pasaka na Chrismas, ambaye ni Mwenyekiti wa Tamasha hilo, Alex Msama, akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu kukamilika kwa maandalizi ya Tamasha la kuliombea Taifa Amani kuelekea uchaguzi mkuu ambalo litafanyika Oktoba 4, 2015 Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na baadaye mikoa mingine 12.
9 years ago
VijimamboMAANDALIZI YA TAMASHA LA KULIOMBEA TAIFA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU YA KAMILIKA LITAFANYIKA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM, OKTOBA 4, 2015
9 years ago
GPLMAANDALIZI YA TAMASHA LA KULIOMBEA TAIFA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU YAKAMILIKA
9 years ago
Habarileo22 Sep
Bilal awataka waumini kuliombea taifa
WAUMINI wa dini mbalimbali nchini wamehimizwa kuliombea taifa katika wakati huu wa kuelekea uchaguzi mkuu ili shughuli hiyo iweze kumalizika kwa amani na utulivu. Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal alihimiza hayo kwenye ibada maalumu ya kuwekwa wakfu Askofu wa Kanisa la Moravian Jimbo la Kusini, mchungaji Kenan Panja iliyofanyika mjini Tukuyu wilayani Rungwe.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Gwo4-GJfrtM/XlFGOkgh5EI/AAAAAAALe1M/HEwwAelSgBorpZgpIOwAYAqILeklngnCACLcBGAsYHQ/s72-c/84964047-2bfe-41b8-a1cb-d4ac20957042.jpg)
"NAOMBA VIONGOZI WA DINI ZOTE KUUNGANA KULIOMBEA TAIFA MWAKA HUU WA UCHAGUZI" MHE. MBOWE
![](https://1.bp.blogspot.com/-Gwo4-GJfrtM/XlFGOkgh5EI/AAAAAAALe1M/HEwwAelSgBorpZgpIOwAYAqILeklngnCACLcBGAsYHQ/s640/84964047-2bfe-41b8-a1cb-d4ac20957042.jpg)
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mhe Freeman Mbowe (Mb), ametoa ombi maalum kwa Mtume na Nabii Josephat Mwingira kuungana na Viongozi wengine wa kiroho kutoka dini zote kuliombea taifa katika mwaka huu wa Uchaguzi Mkuu.
Mhe. Mbowe ameyasema hayo kwenye ibada maalum ya kuombea na kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa baba wa Nabii na Mtume wa Kanisa la Huduma ya Efatha, Josephat Mwingira, Mzee Elias Mwingira, leo Jumamosi 22 Februari 2020, Kwa Mathias, Kibaha mkoani Pwani.
"Ombi langu maalum kwako...
9 years ago
GPLUZINDUZI WA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI TAIFA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU KUFANYIKA OKTOBA 4, 2015 UWANJA WA TAIFA, DAR
9 years ago
Dewji Blog30 Aug
Uzinduzi wa Tamasha la kuombea Amani Taifa kuelekea Uchaguzi Mkuu kufanyika Oktoba 4, 2015 Uwanja wa Taifa Jijini Dar
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, waandaaji wa matamasha mbalimbali kama lile la Krismas na Pasaka, Alex Msama (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam jana asubuhi kuhusu uzinduzi wa Tamasha la kuliombea Taifa kuelekea ucahguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu utakaofanyika Oktoba 4, 2015 Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Benno Chilele (kushoto), akizungumza katika tamasha...
9 years ago
VijimamboUZINDUZI WA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI TAIFA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU KUFANYIKA OKTOBA 4, 2015 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
GPLMKESHA MKUU WA KULIOMBEA DUA TAIFA KUFANYIKA DESEMBA 31-2014 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR