Bilioni 4.75 kutumika Mradi wa Maji Masoko wilayani Rungwe
Na Johary Kachwamba-MAELEZO, DODOMA.
SERIKALI inatarajia kutumia shilingi bilioni 4.75 kwa mujibu wa mkataba, kama gharama za mradi wa Maji Masoko Wilayani Rungwe, na tayari fedha iliyokwishalipwa ni shilingi bilioni 1.27
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Amos Makala (pichani) alipokuwa akijibu Swali la Msingi la Mhe. Profesa. David Mwakyusa, Mbunge wa Rungwe Magharibi aliyetaka kujua msimamo wa Serikali baada ya Mradi wa Maji Masoko Wilayani Rungwe kutokamilika kwa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima19 Nov
Mradi wa maji Rungwe shakani
SHILINGI bilioni 4.7 zilizotolewa na Serikali kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa maji Masoko wilayani Rungwe, Mbeya, zimeleta utata baada ya mkandarasi wa mradi huo, kushinda kesi iliyokuwa ikisikilizwa...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-BEuPiC3mG2U/UycvoNknxrI/AAAAAAAFUN8/HVHq4po_rL0/s72-c/unnamed+(79).jpg)
Waziri Mkuu azindua Mradi wa Maji wa Bilioni 2.27 Kibaigwa, dodoma
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU AZINDUA MRADI WA MAJI WA BOKWA WILAYANI KILINDI
9 years ago
StarTV13 Nov
Vijiji vinne vya wilayani Muheza kunufaika na mradi wa maji
Vijiji vinne vya Milingano, Muungano, Kibaoni na Upare wilayani Muheza mkoani Tanga wanatarajiwa kunufaika na mradi wa maji unatarajiwa kukamilika Desemba mwaka huu.
Mradi huo ambao unagharimu zaidi ya shilingi bilioni moja utahudumia wakazi zaidi ya elfu saba.
Mradi wa maji wa kijiji cha Mlingano ambao chanzo chake kimeanzia katika mto Zigi uliopo wilayani Muheza mkoani Tanga.
Wananchi wa maeneo hayo wanauona mradi huo kama almasi baada ya kusumbuka kwa muda mrefu wakifuata huduma hiyo mto...
5 years ago
MichuziUFARANSA YAIPATIA SERIKALI MKOPO NAFUU WA SH.BILIONI 175.6 KUJENGA MRADI WA MAJI MJINI MOROGORO
Na Farida Ramadhani-WFM, Dodoma
Serikali ya Tanzania na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) zimetiliana saini mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa Euro milioni 70, sawa na takriban shilingi za Tanzania bilioni 175.6 kwa ajili ya kugharamia Mradi wa Maji Safi na Usafi wa Mazigira Mjini Morogoro (MORUWASA).
Mkataba wa mkopo huo umesainiwa Jijini Dodoma na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James kwa upande wa Serikali na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la...
11 years ago
MichuziMRADI WA MAJI ZAHANATI YA MVUTI WILAYANI ILALA ULIOJENGWA NA TBL WAZINDULIWA RASMI JIJIINI DAR
11 years ago
MichuziMANISPAA YA ILALA YASAINI MKATABA WA BILIONI 2.1 KWA AJILI YA UJENZI WA MRADI WA MAJI KATA ZA KIVULE NA KIPUNGUNI
11 years ago
GPLMANISPAA YA ILALA YASAINI MKATABA WA BILIONI 2.1 KWA AJILI YA UJENZI WA MRADI WA MAJI KATA ZA KIVULE NA KIPUNGUNI