Waziri Mkuu azindua Mradi wa Maji wa Bilioni 2.27 Kibaigwa, dodoma
![](http://2.bp.blogspot.com/-BEuPiC3mG2U/UycvoNknxrI/AAAAAAAFUN8/HVHq4po_rL0/s72-c/unnamed+(79).jpg)
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ameagiza wananchi wa mji wa Kibaigwa kutunza vyanzo vya maji vinavyopatikana katika Wilaya ya Kongwa ili kuendelea kupata huduma ya maji safi na salama ambayo ni huduma muhimu kwa mahitaji ya wananchi wa Wilaya hiyo. Amesema hayo leo mchana (Jumatatu, Machi 17, 2014), wakati akizindua rasmi Mradi wa Maji uliojengwa na Kampuni ya China Hunan uliochimba Visima viwili vya maji Safi na Salama vyenye urefu wa mita 101 katika Mji Mdogo wa Kibaigwa ikiwa ni sehemu ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziWAZIRI WA MAJI AZINDUA MRADI WA MAJI WA SHILINGI MILIONI 300 KIJIJI CHA MVUMI MAKULU MKOANI DODOMA.
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU AZINDUA MRADI WA MAJI WA BOKWA WILAYANI KILINDI
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-s18MPlBsAHE/UyxJxwUUHyI/AAAAAAAFVWM/SAFBg2Cdd3w/s72-c/001.jpg)
WAZIRI WA MAJI JUMANNE MAGHEMBE AZINDUA MRADI WA MAJI KIJIJI CHA KWADELO WILAYA YA KONDOA
![](http://3.bp.blogspot.com/-s18MPlBsAHE/UyxJxwUUHyI/AAAAAAAFVWM/SAFBg2Cdd3w/s1600/001.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Uio9JO2qkNg/UyxJzDOIsKI/AAAAAAAFVWU/10LAS6ZwszU/s1600/002.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-S2HUNEZOPgc/UyxJyyUiuAI/AAAAAAAFVWY/nmi0TYV91W8/s1600/003.jpg)
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU WIZARA YA MAJI AZINDUA MRADI WA MAJI MBAGALA KUU,JIJINI DAR LEO
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-YSbZ-gToqN0/VTtAnpZV86I/AAAAAAAA7fg/-3nKYZwi5f4/s72-c/AMI%2B1.jpg)
NAIBU WAZIRI WA MAJI MH AMOS MAKALLA AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI KIJIJI CHA MKONGO NAKAWALE
![](http://1.bp.blogspot.com/-YSbZ-gToqN0/VTtAnpZV86I/AAAAAAAA7fg/-3nKYZwi5f4/s1600/AMI%2B1.jpg)
Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla amefanya ziara ya kikazi wilaya ya Namtumbo pamoja na mambo mengine amezindua mradi mkubwa Maji kijiji cha Mkongo Nakawale ambao watu zaidi ya 4000 wanapata Maji safi.
Aidha amekagua mradi wa Maji Milonji na ametoa agizo hadi kufikia tarehe 12 mei mwaka huu mkandarasi awe amekamilisha kuchimba...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10