Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BINAGI MEDIA GROUP YAZINDUA KAMPENI YAKE YA "PIGA KURA EPUKA KULA"

Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Binagi Media Group George Marwa Binagi-GB Pazzo akionyesha Kitambulisho chake cha Kupigia Kura ikiwa ni katika Uzinduzi wa Kampeni yake ya KUHAMASISHA WATANZANIA WOTE kujitokeza Kupiga Kura 0ctoba 25 Mwaka huu kwa ajili ya Kuwachagua Viongozi watakaowatumikia. Kampeni hiyo inafahamika kwa jina la "MTANZANIA PIGA KURA, EPUKA KULA KWA AJILI YA MAENDELEO YAKO".
Katika Kampeni hiyo ambayo inaanza leo Agost 26, 2015 Wasomaji wa Mtandao huu pamoja na Wadau...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA KIRUMBA SANAA GROUP JIJINI MWANZA AUNGANA NA KAMPENI YA "PIGA KURA, EPUKA KULA".

Pichani ni Mwenyekiti wa Kikundi cha Maigizo cha Kirumba Sanaa Group kilichopo Jijini Mwanza Katumba Khalid Maduwa akiwa na Kitambulisho chake cha Kupigia Kura.
Maduwa ambae pia ni Mshereheshaji (Mc Katumba) na Mtangazaji wa 99.4 Radio Metro Fm, ameungana na Binagi Media Group katika Kampeni yake ya Kuwahamasisha Watanzania waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura kujitokeza kwa wingi katika kuwachagua viongozi bora wa kuwatumikia na si bora viongozi ambao wakati mwingine huchaguliwa...

 

9 years ago

Michuzi

WANAWAKE:JIVUNIE KURA YAKO NDANI YA JAMII EPUKA MCHEPUKO.

 HII NAFASI YA PEKEE NA ELEWA MAANA YA MABADILIKO WITO KWA WANAWAKE WOTE [WOMEN AS WINNERBREAD] ELISERENA KIMOLO MWENYEKITI UWT DMV NCHINI MAREKANI. 1.WITO KWA WANAWAKE WOTE.
Tumepata nafasi ya pekee mwanamke kuwa Makamu wa Rais,Mama Samia anafahamu fika matatizo ya mwanamke ndani ya familia,hivyo kwa mara ya kwanza huu ni ukombozi kwa mwanamket .
Tumepata mtetezi katika ngazi ya juu kwa sababu siku zote mwanamke ndie anayehusika zaidi na mambo ya familia , huku Nchini Marekani na nchi ...

 

10 years ago

Mwananchi

Piga mswaki, piga deki, piga amani

Mimi sipendi barua ya vitisho, hata kidogo. Na sipendi zaidi iwapo mtishaji hana hata uthubutu wa kutaja yeye ni nani. Ndiyo maana nilikasirika kupata barua jana. Sijui ilitoka kwa nani, lakini bila shaka mtaweza kuhisi.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Piga kura ya maoni sasa

Bonyeza hapa kupiga kura online

The post Piga kura ya maoni sasa appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Michuzi

PIGA KURA ILI TUPATE UZI MPYA WA TIMU YA TAIFA

Watanzania wanatakiwa kupigia kura jezi ya timu ya Taifa ya nyumbani na ugenini kupitia mtandao wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wa www.tff.or.tz ambapo jezi hizo zimewekwa.
TFF ilipokea mapendekezo ya mwonekano mpya wa jezi ya timu ya Taifa kutoka kwa Watanzania 86. Jezi 11 za nyumbani, bukta nane za nyumbani, jezi nane za ugenini na bukta tano za ugenini ndizo zimepitishwa kwa ajili ya kupigiwa kura.
Mwisho wa kupiga kura ni Desemba 31 mwaka huu. Mpigaji kura anatakiwa...

 

10 years ago

Michuzi

PIGA KURA UBORESHE MAISHA YA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI

a href="http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/Untitled.jpg">UntitledShirika linalojibidisha na kutetea na kulinda watu wenye ulemavu wa ngozi nchini Under the Same Sun, (UTSS) limeteuliwa kushindania Tuzo ya Haki za Binadamu ijulikanayo kama "Tulip" itolewayo nchini Uholanzi. Iwapo UTSS watashinda tuzo hiyo, ni dhahiri kwamba kutakuwa na mapinduzi makubwa katika uboreshaji wa maisha ya watu wenye ulemavu wa ngozi. 
 Shiriki kwa kupiga kura ili UTSS washinde Tuzo hii na kulinda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani