Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Blad Key kuisambaza Chap Chap

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Juma Awadhi ‘Blad Key’, yupo katika maandalizi ya kuisambaza kazi yake mpya inayojulikana kwa jina la ‘Chap Chap’. Blad Key alishawahi kutamba na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AZAM TV YAHITIMISHA DROO YA ‘MTONYO CHAP CHAP’

Ofisa Mawasiliano wa Azam TV , Irada Mtonga, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) Meneja Masoko wa Azam TV, Mgope Kiwanga,  akizungumza jambo na baadhi ya washindi (hawapo pichani)…

 

10 years ago

Dewji Blog

Watanzania waombwa kutembelea banda la Access Bank lililopo sabasaba ili wajipatie mkopo wa chap chap

Wafanyakazi wa Access Benki, Frida Moshi akielezea machache wakati akihojiwa na Channel 10 kuelezea huduma wanazozitoa ndani ya banda lao namba nne lililoko katika banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.


Wafanyakazi wa Access Benki, Catherine Gyumi akielezea machache wakati akihojiwa na Channel 10 kuelezea huduma wanazozitoa ndani ya banda lao namba nne lililoko katika banda lao lililopo...

 

10 years ago

Michuzi

NMB Yapeleka huduma ya Chap Chap Mikoani

Benki ya NMB imepokelewa kwa nguvu na wananchi wa mikoa ya Arusha, Morogoro, Dodoma, Singida, Mtwara na Tabora na kampeni yake ya kuhamasisha watanzania wengi zaidi wasio na akaunti kufungua kupitia NMB bila usumbufu wa kuleta taarifa nyingi zaidi ya kitambulisho.Huduma hiyo inayoitwa NMB Instant Account imekuwa kipenzi cha watanzania. Huduma hiyo inamuwezesha mtu yoyote anayetaka kufungua akaunti ya NMB kufanya hivyo kwa dakika 10 tu huku akiondoka na kadi ya ATM papo hapo. Pia...

 

10 years ago

GPL

WATANZANIA WAOMBWA KUTEMBELEA BANDA LA ACCESS BENKI LILILOPO SABASABA ILI WAJIPATIE MKOPO WA CHAP CHAP‏

Wafanyakazi wa Access Benki, Frida Moshi akielezea machache wakati akihojiwa na Channel 10 kuelezea huduma wanazozitoa ndani ya banda lao namba nne lililoko katika banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Lowassa atikisa Dodoma, achukua fomu aanza kusaka wadhamini “Chap Chap”, awazoa lukuki Dodoma

Waziri Mkuu wa zamani na mbunge wa Monduli, ambaye tayari ametangaza nia ya kuwania urais kupitia CCM, akionyesha mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa pamoja na nyaraka nyingine, baada ya kukabidhiwa makao makuu ya CCM, (White House), Dodoma, Alhamisi Juni 4, 2015. Mara baada ya kuchukua fomu hizo, Lowassa, alielekea kwenye ofisi za CCM wilaya ya Dodoma mjini na kuanza kusaka wadhamini, ambapo mamia ya wanachama wa CCM, waklijitokeza kumdhamini, na mmoja wa watu mashuhuri ndani ya chama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani