Bluu, zambarau zilivyotawala AMVCA
Wiki iliyopita Tanzania iliungana na nchi nyingine za Afrika kushuhudia tukio muhimu kabisa kihistoria, ambalo ni Tuzo za Africa Magic Viewers (AMVCA), zilizowaleta pamoja watu kutoka mataifa mbalimbali ya Bara la Afrika.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
KwanzaJamii25 Apr
Shaba ya Bluu yagundulika Tunduru
11 years ago
Mwananchi05 Jan
Rangi ya mwaka 2014 ni zambarau
11 years ago
Habarileo15 Jan
Zambarau mlo kamili Chamwino
KUNDI kubwa la watoto jana lilifika kwenye miti ya mizambarau karibu na kituo cha Polisi cha Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuchuma zambarau ambazo wamedai ni kwa ajili ya chakula na hata kuuza ili wapate fedha za kununua madaftari.
11 years ago
TheCitizen14 Mar
AMVCA were more than just the awards
10 years ago
TheCitizen19 Dec
COVER: Not much for bongo movies at the AMVCA
10 years ago
TheCitizen13 Mar
AMVCA punch holes in Bongo movies
9 years ago
Bongo513 Dec
Lulu, Monalisa, Richie watajwa kuwania tuzo za Africa Magic, AMVCA 2016
![a2-poster](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/a2-poster-300x194.jpg)
Waigizaji Elizabeth ‘Lulu’ Michael, Single ‘Richie’ Mtambalike na Yvonne ‘Monalisa’ Cherry wametajwa kuwania tuzo za Africa Magic Viewers Choice Awards, AMVCA za mwaka 2016 kupitia filamu walizoigiza.
Majina ya filamu zinazoshindana mwaka huu yalitajwa Jumamosi hii.
Lulu ametajwa kuwania tuzo hizo kwenye kipengele cha Best Movie – East Africa kupitia filamu yake ya Mapenzi ya Mungu pamoja na Monalisa kupitia Daddy’s Wedding.
Kupitia Instagram Lulu ameandika: Nina Kila sababu ya Kumshukuru...