Shaba ya Bluu yagundulika Tunduru
Shaba ya bluu ambayo imegundulika wilayani Tunduru mkoani Ruvuma. Albano Midelo, Tunduru MADINI yenye thamani kubwa aina ya shaba ya bluu (blue copper) yamegundulika katika Kata ya Mbesa, Tarafa ya Nalasi wilayani Tunduru mkoani Ruvuma. Kugundulika kwa madini hayo kunaifanya Wilaya ya Tunduru kuwa ndiyo pekee nchini na Afrika Mashariki na Kati kuwa na madini ya shaba ya bluu. Mkuu wa wilaya ya Tunduru, Chande Nalicho, amesema utafiti unaonyesha kuwa tarafa nzima ya Nalasi ina utajiri wa...
KwanzaJamii
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziRais Kikwete afungua ujenzi wa barabara Tunduru - Mangaka matemanga,pia azindua mradi wa maji Nalasi -Tunduru
11 years ago
Mwananchi16 Mar
Bluu, zambarau zilivyotawala AMVCA
10 years ago
Vijimambo24 Oct
Ebola yagundulika New York
![](https://lh5.googleusercontent.com/-EtWZ19V0JkI/VEhzb86ZLkI/AAAAAAAAPck/PEa2KrdUvjA/w1000-h556-p/NYSkyline.jpg)
Dr Craig Spencer ambaye ni mmoja kati ya madaktari wasio na mipaka alianza kujisikia maumivu na homa siku chache tu baada ya kurejea Marekani akitokea Afrika Magharibi.
Siku ya Alhamisi wiki hii Craig alipelekwa hospitali kwaajili ya vipimo na kisha akatengwa kwa uchunguzi zaidi wa afya yake.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari...
10 years ago
Habarileo31 Mar
Gesi zaidi yagundulika Mtwara
WIZARA ya Nishati na Madini iko kwenye mchakato wa kukamilisha uandaaji wa sheria tatu, zitakazowasilishwa bungeni wakati wowote, zenye lengo la kuweka uwazi katika maeneo yote yanayohusu mikataba ya uchimbaji wa madini na gesi.
9 years ago
Mtanzania30 Nov
Almasi adimu yagundulika Tanzania
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
KAMPUNI ya madini ya Petra Diamonds imegundua aina adimu ya almasi ya rangi ya pinki yenye uzito wa karati 23.16 kutoka mgodi wake wa Williamson uliopo Mwadui, Shinyanga.
Kwa mujibu wa taarifa ya kampuni hiyo ya madini, almasi hiyo ya pinki, moja ya madini ya rangi yanayosakwa zaidi duniani ni mfano wa ubora wa hali ya juu na ugunduzi mkubwa na muhimu zaidi kufanywa na Petra kutoka mgodi huo hadi sasa.
“Almasi za pinki hupatikana katika migodi michache...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6LjPLZ8wv3el1pN3r7WHLooxc2suItFrDIJUtMEljWwGI67aRjn3HglUVpUpeUSDaylPYPbvX*SmF-mtCfnU5-fLOIoYDqYf/asers.gif?width=650)
DAWA MPYA YA VIDONDA VYA TUMBO YAGUNDULIKA
10 years ago
Mwananchi08 Dec
Aibu, hatuna hata shaba ya ‘kuzugia’
9 years ago
BBCSwahili08 Sep
Migodi ya shaba kufungwa Zambia na Congo
10 years ago
Mtanzania23 May
Shaba, Kipanga, Chuoni hatihati Ligi Kuu
NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR
LIGI Kuu ya Zanzibar inatarajia kumalizika Juni 3, mwaka huu, huku timu za Shaba, Kipanga, Chuoni, Malindi na Miembeni zikiwa katika hatari ya kushuka daraja.
Miembeni na Malindi zina pointi 23 kila moja na zimebakiwa na michezo miwili, huku Kipanga ikiwa na pointi 20 na mchezo mmoja mkononi, Shaba na Chuoni zina pointi 19 kila moja na wamebakiwa na michezo miwili kila mmoja.
Hadi sasa timu ya Mafunzo inaongoza ligi hiyo ikiwa na pointi 39 kwa kucheza mechi 20 na...