Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete afungua ujenzi wa barabara Tunduru - Mangaka matemanga,pia azindua mradi wa maji Nalasi -Tunduru

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) na balozi mdogo wa Japan nchini Kazuyoshi Matsunaga (wa tatu kushoto) wakishirikiana kukata utepe ikiwa ni ishara ya kuzindua ujenzi wa Barabara ya Tunduru-Mangaka Matemanga mradi unaojengwa na Serikali ya Tanzania kwa ushirikiano wa serikali ya Japan kupitia shirika lake la kimataifa la maendeleo JICA.Wengine pichani toka kushoto ni ni Mbunge wa Nanyumbu Dunstan Mkapa,Mkuu wa Mkoa wa Mtwara,Kapten Mstaafu Joseph Simbakalia,Waziri wa ujenzi Dkt. John...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

JK azindua ujenzi wa Barabara ya Matemanga Tunduru Mangaka

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Mbunge wa Tunduru mhandisi Ramo Makani, Balozi mdogo wa Japan Kazuyoshi Matsunaga na mwakilishi Mkazi wa Benki ya maendeleo ya Afrika(ADB) Bibi Tonia Kandiero wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuzindua ujenzi Barabara ya kilometa 195.7 ya Matemanga Tunduru-Mangaka uliofanyika Tunduru mjini.Barabara hiyo imejengwa na serikali ya Tanzania kupitia wakala wa Barabara TANROADS ikisaidiwa na Benki ya mendeleo ya Afrika ADB na shirika la maendeleo la Japan...

 

9 years ago

Michuzi

DK.MAGUFULI AKIWA NA WAKANDARASI KATIKA BARABARA YA TUNDURU-MANGAKA

Maelezo ya Picha zikimuonesha Mgombea Urais Kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha Mtambo maalum unao changanya Saruji, Kokoto na Udongo(Pulverizer or Rotary Mixer) katika ujenzi wa Barabara ya Kutoka Tunduru kwenda Mangaka katika eneo la Kilimasera-Matemanga km 68.2. 

 

11 years ago

Michuzi

JK afungua nyumba za Watumishi wa Afya Matemanga, Tunduru, zilizojengwa na Mkapa Foundation

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kiwete akiteta jambo na mkazi wa kijiji cha Ligela wilayani Namtumbo Bwana Edwin Ngonyani wakati alipokuwa anahitimisha ziara yake wilayani humo.Bwana Ngonyani ambaye alipata ulemavu baada ya kupoteza miguu yote miwili katika ajali ya moto alimweleza Rais kuwa anapata taabu ya kutafuta riziki kwakuwa anatambaa kwa taabu.Rais Kikwete alitoa ahadi ya kumsaidia mlemavu huyo ili aweze kujikimu kimaisha. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wananchi wa kijiji cha...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete azindua ujenzi wa Mradi wa Maji Lindi, awazawadia washindi Nanenane

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mwakilishi wa shirika la misaada la Ujerumani KFW Bi.Katrin Brandes na mkuu wa mkoa wa Lindi Bibi Mwantum Mahiza wakifunua kitambaa kuzindua ujenzi wa mradi wa maji wa mji wa Lindi eneo la Ng’apa mjini Lindi leo.Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Raphael Muhuga kombe la ushindi baada ya taasisi anayoiongoza kuibuka mshindi wa taasisi iliyofanya vyema kuliko zote(Overall Best Exhibitor) wakati...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI BARABARA YA USAGARA-KISESA, PIA AFUNGUA DARAJA LA MABATINI

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi kuzindua rasmi ujenzi wa barabara ya kilometa 16 kutoka Usagara hadi Kisesa mkoani Mwanza jana.Rais Kikwete yupo mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi ya siku tatu. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua daraja la Nyashishi lenye urefu wa mita 67 lililopo katika barabara ya Usagara Kisesa wakati alipokwenda kuweka jiwe la msingi… ...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete azindua mradi wa ujenzi Nyumba za maafisa wa jeshi

Amiri Jehi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt.Hussein Ally Mwinyi(kushoto) Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Adolf Mwamunyange wakiweka jiwe la msingi kuzindua rasmi ujenzi wa nyumba za maafisa wa jeshi huko Monduli mkoani Arusha jana.Katika mradi huo jumla ya nyumba elfu kumi zinatarajiwa kujenga katika kambi mbalimbali za jeshi nchini
Picha na Freddy Maro

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete azindindua mradi wa ujenzi wa Barabara ya Magole-Turiani —Mziha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Mussa Iyombe pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Profesa Juma Kapuya akiweka jiwe la Msingi kuashiria uzinduzi rasmi wa ujenzi wa Barabara ya Magole-Turiani –Mziha sehemu ya Magole-Turiani (48.6km) inayojengwa kwa kiwango cha lami. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

10 years ago

Habarileo

Matumaini yachanua barabara ya Namtumbo - Tunduru

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Saidi MwambunguHATIMAYE ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kutoka Namtumbo hadi Tunduru yenye urefu wa kilometa 187.6, umeanza katika baadhi ya vipande vya barabara hiyo na kuleta matumaini mapya kwa wakazi wa mikoa ya Ruvuma na Mtwara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani